Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

May 23, 2019 Dar-es-Salaam, Tanzania AZAM TV MMEONA UBORA WA KUPIGA MATCH LIVE SIMBA SC VS SEVILLA FC Natumai kituo cha Azam TV wameona namna bora ya kuonesha mechi live ya mpira kama LaLiga TV...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Huko nyuma nilidhani Mashabiki wa Simba SC wana uelewa mkubwa wa Masuala mazima ya Kimpira kuliko wale Mashabiki wa ‘ hovyo hovyo ‘ wa Yanga SC kumbe taratibu sasa naanza kuona hali ni tofauti na...
15 Reactions
69 Replies
7K Views
Yaani nimeona mahali fulani nimechukia sana,nyie hamuoni tunavyojituma na kucheza kiubingwa bingwa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenye shughuli ya kumuapisha ramaphosa hapa naona zaidi ya midege hamsini ya kijeshi IPO angani Afu hii Africa kusini nimegundua mzungu/kaburu ananguvu sana Kila kitu wanasimamia wao Simwoni...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Taja mchezaji mmoja anaye anza na herufi "A" na kuisha na "A"
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Naam timu nne toka Uingereza zilitinga robo fainali UEFA, na hatimaye mbili zinakwenda kucheza fainal baada ya kupindua meza kibabe (Comebacks) huku kule Europa league kuna team mbili toka...
11 Reactions
66 Replies
6K Views
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
5 Reactions
90 Replies
16K Views
Habari za asubuhi wadau, kwa jinsi nilivyo fuatilia ligi kuu ya Tanzania bara TP, hiki ndio kikosi changu bora, unaweza weka chako pia. 1.Aishi Manula 2. Nickolas Wadada 3. Mohamed Hussein...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa anayefahamu Channel ipi wataonyesha basi tupeane taarifa mapema ili sie wengine wa hapa Dar tuifuate stadium ikiwa hautaonyeshwa. Tuombe mungu tu mvua isiharibu burudani hii adimu.
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Binafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao 1.Kindoki 2.Haji Mwinyi 3.Mathew Antony 4.Buswita 5.Kamusoko 6.mahadhi 7.Dante 8.Jafari 9.Boban
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wakuu, Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia" Teh teh teh!
3 Reactions
91 Replies
7K Views
Hatimae yule mtaalam wa asissts za maana anyakuliwa na TP mazembe huku wanajangwani wakiambulia patupu, asajiliwa kama mchezaji huru.
3 Reactions
131 Replies
14K Views
Hata Jana Zahera amelalamika Simba wamepewa ubingwa, kumbukeni Yanga mechi zote round ya kwanza walicheza Dar wakawa wanaongoza, Simba ikiwa mikoani ikishinda na kukusanya points, wakati huo Yanga...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Tafadhari Shufu Somo Hapo Juu,, Ktk makuzi yangu, nikiwa mdogo nilikiwa primary nilicheza mpira wa miguu nikiwa back no 2. Baada ya kumaliza primary ckua na hobby kabisa na michezo yoyote. Hata...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Na Bakari Chiijumba, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Timu ya SimbaSC , Mo Dewji amesema baada ya Kocha Mkuu wa Klabu hiyo,Patrick Aussems kutimiza malengo yaliyowekwa na Klabu,tayari bodi...
11 Reactions
155 Replies
15K Views
Shirikisho la Soka Duniani Fifa limesitisha mpango wa kuongeza nchi zitakazoshiriki Kombe la Dunia mwaka 2022 hadi timu 48. Rais wa Fifa Gianni Infantino mwaka jana alisema mpango wa kuongeza timu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hongera simba sc kwa kujiakikishia ubigwa wa TANZANIA PREMIAM LEAGUE 2018/2019 pongezi kwenu
2 Reactions
19 Replies
2K Views
TFF Imeandaa mashindano ya Kunywa Uji wakati huu wa Ramadhani na Yanga inaonekana Ina uwezo Mkubwa wa kuchukua KOMBE LA UJI MWAKA HUU kutokana na Usajili wake na Ufundishwaji chini ya Super Couch...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Guinea Disqualified From FIFA U-17 World Cup Over Age Cheating Guinea Banned And Disqualify From FIFA U17 World Cup Over Age Cheating CAF Disciplinary committee have recommended the...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mara baada ya kuibuka taarifa ya kupokwa unahodha wa timu ya Taifa ya Ghana Assamoh Gyan alitangaza kutangaza kuchezea timu ya Taifa kuelekea AFCON 2019 nchini Misri. Taarifa hizo zilimuibua Rais...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom