Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari JF. Hawa jamaa siku za jumamosi na jumapili saa 4 hivi wana kipindi eti wanaita sports AM wakati muda wote wanajadili mpira wa miguu tu. Nadhani wana JF mtanisaidia maana ya neno sports na...
1 Reactions
1 Replies
779 Views
Wilder ameshinda kwa knockout raundi ya kwanza dhidi ya Breazeale. Huyu Wilder atakuja kuua mtu ulingoni maana anapiga kama anaua Nyoka. Ni muda muafaka uje mpambano wa Wilder vs Joshua.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Fainali ya Euro 2012, hapo Muitaliano ashapigwa bao la nne dakika ya 88 na Juan Mata, Wahispania wote wamejaa katika lango la Italia wanasaka bao la tano. Waitaliano wapo pungufu. Hali hiyo...
0 Reactions
3 Replies
786 Views
https://www.bbc.com/sport/football/48322521 huyu jamaa hataree
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Tafadhalini sana wapenzi wa timu ya wananchi ambayo mwaka huu haina ubavu wakutwaa Ubingwa Yanga,naomba mnijuze Je Zahera ni Kocha au Dalali?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania 'TPL' kuendelea kupigwa leo Mei 19, 2019 kunako uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambapo Mabingwa watetezi Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, wakiwakaribisha Ndanda...
13 Reactions
122 Replies
12K Views
Tuzo za Mo Simba zilianzishwa na Mwekezaji katika klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji kwa lengo la kutoa zawadi kwa wanafamilia wa Simba ambao wamesaidia klabu kupata mafanikio kwa msimu wa...
2 Reactions
20 Replies
40K Views
Aliyewahi kuwa rais wa chama soka Zanzibar (ZFA) Ali Fereji Tamim amefariki dunia visiwani Zanzibar na maziko yanatarajiwa kufanyika leo alasiri visiwani humo. Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna mambo 5 katika maisha yangu yameendelea kubaki kuwa kitenda wili. Sijui ilikuwa kuwaje hayo mambo yakawa namna hiyo. (1). Uliimwengu jinsi ulivyo.. Ukitazama videos wanazo post NASA ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo tarehe 19 Simba anacheza na Ndanda, keshokutwa tarehe 21 Simba anacheza na Singida United na tarehe 23 Simba anacheza na Sevilla. Tukumbuke hakuna shirika la ndege linaloenda Singida, wala...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
"Viongozi wa timu wasiishie tu kulaumu kua Ligi ngumu na haina mdhamini wakati walikua wanacheza Ligi daraja la pili na la kwanza ambazo zilikua hazina wadhamini na hawakulaumu. Wamekuja Ligi Kuu...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa akina sie tusiokuwa na DSTV wala muda wa kwenda vibanda umiza..nimekutana na link hiyo hapo kwa ajili ya Live streaming karibuni tucheki football Man City vs Watford | Live Streaming Link
2 Reactions
4 Replies
835 Views
Binafsi nafikili ni muda mwafaka wakuachana na hiki kingamzi maana sifikili kama tunakoelekea kitaendelea kuwa kingamzi ninachokifahamu toka kitambo. In short yule mchambuzi na mtangazaji wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
"Liverpool wakibeba ubingwa wa uefa wala sio habari, wameshababe mara tano, kubeba ya mara ya 6 kawaida tu maana hakuna anayeshindana nae katika hilo. Tatizo lipo yeye kubeba ubingwa wa ligi, hilo...
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Hizo ndio rekodi za timu yetu ya taifa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kawaida tuu soka ni mbinu. na mbinu zinazaliwa kila siku! Sasa leo tujadili namna ya kudhibiti team inayomiliki mpira au pasi kwa wingi! Tuanze na mfano wa Manchester City ya pep gurdiola...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa kawaida kwenye team kila mtu ana nafasi yake uwanjani. leo tuongelee jinsi ya kucheza beki ya pembeni na naongea kama mchezaji ambaye nacheza mpira mitaani. so kama kuna kosa mtarekebisha...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo Mei 16, 2019 kwa Bingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, Lunyasi kwa kuwakaribisha Mtibwa Sugar, WakataMiwa kunako uwanja wa Uhuru jijini Dar es...
11 Reactions
140 Replies
14K Views
SIMULIZI;NILIKUPENDA MTUNZI/MWANDISHI;RAJA SAIDY WHATSAPP;+255756920739 SMS/CALL;+255621047841 SEHEMU YA KWANZA ( 01 ) Jua na kiza viliambatana mfululizo na kuzifanya siku ziende kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huu ni mgawanyo wa fedha za Haki za matangazo ya TV kila timu shiriki hupewa £12.5M kisha ongezeko jingine ni kutokana na idadi ya mechi zilizooneshwa live ,hapa tunaona Liverpool kawashinda...
5 Reactions
18 Replies
6K Views
Back
Top Bottom