Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Embu niambienii.........!!!! Ikiwa Man city ni Bingwa wa EPL, pia anacheza Fainali ya FA, Je? Kama anashinda FA cup atacheza na nani Communuty Shield??
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Niwape pongezi za ukweli Manchester City kwa kutwaa ubingwa season hii 18/19. Hakika ushindani umekuwa mkubwa sana, Liverpool akomae na CL huenda akajipoza kule. Back to mada siku ya mwisho wa...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Kufuatia kuondoka kwa nahodha Antonio Valencia klabuni Man Utd, nani anapaswa kuwa nahodha mpya wa klabu hiyo ambayo msimu ujao itashiriki kikamilifu kwenye Ligi ya Europa. Mwanzoni nilipenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara klabu ya Simba ambao ni vinara kwa pointi 81 ikifatiwa na Yanga yenye pointi 80 na Azam nafasi ya tatu pointi 68, itashuka dimbani kumenyana na Azam FC ktk mechi...
0 Reactions
130 Replies
10K Views
Ligi Kuu Bara inaendelea leo katika uwanja wa Uhuru, kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Yanga. Endapo klabu ya Yanga itaondoka na pointi tatu katika mechi ya leo, moja kwa moja Yanga itaenda kuongoza...
3 Reactions
70 Replies
6K Views
Yanayotokea sasa wenye ' Kuujua ' zaidi Mpira tuliyategemea ila tatizo la wana Simba SC na baadhi ya Viongozi mna dharau Kubwa mno hasa pale mkiona Watu kama akina GENTAMYCINE na wengineo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mara hoooo!!! Liverpool awachukui ligi kuu, mara liverpool watafungwa na Spurs fainali Uefa, sisi kama mashabiki wa Liver ata tusichukue kombe lolote lakini mziki wetu mmeupata msimu huu. Tufungwe...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu engineer Leo atashangaza wengi, Liverpool anaenda kufa pale etihad kwa mabao 4 sababu kubwa za kuwafanya watu wachane mikeka yao na kumfurahisha muindi, 1.Liverpool wamerelax wakijua kwamba...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Tofauti na fainali zingine zilizopita, hii imetokea kuwa ni yenye ushindani sana ukizingatia timu zenye mastar wa dunia namaanisha juventus wakiwa na cr7 Na fc Barcelona wakiwa na lionel messi...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Kutokana na sheria za EPL kuwa tofauti kidogo na zile za Kombe la Dunia kuwa wafungaji vinara wakiringana magoli basi kiatu huamuliwa Kwa pasi za mwisho "assist" na Kama nazo Zita lingana...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau, Naamini weekend inaendelea vyemaaa! Mods tafadhalini huu uzi uacheni hapa hapa msiupeleke jukwaa la michezo, maana huu ni zaidi ya taarifa za kimichezo. Tunaongelea utaifa zaidi hapa...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Spazi atachukua ubingwa huo kwa kufunga bao moja, japo itaelemewa kwa kushambuliwa kwa kasi lakini mchezo utamalizika kwa SPAZI 1 na Livr 0.
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Endapo ingetokea man city na Liverpool zngelngana kila kitu(point na goal deference) ubingwa ungeamliwa VP wadau
0 Reactions
3 Replies
840 Views
Pep Guardiola kaibadilisha sana EPL 1.Kaifanya Top 4 kuwa na thamani zaidi. 2.Kafanya alama 80+ kuwa chache kutwaa ubingwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
5 Reactions
127 Replies
13K Views
The International Football Association Board (The IFAB) , imebadilisha baadhi ya kanuni za mchezo wa soka kwenye kikao kilichofanyika wiki iliyopita nchini Scotland . Mabadiliko hayo ni kama...
4 Reactions
49 Replies
26K Views
Katika mahojiano kabla ya mechi ya LIVERPOOL VS BARCELONA, Vidali aliulizwa na waandishi wa habari "Je liverpool itaweza kupindua matokeo?" kwa mbwembwe na bashasha akajibu "kama liverpool...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hii ni Arsenal iliyokuwa imesheheni mastaa wa kutosha tena wengine wakiwa ni washindi wa kombe la dunia. Wataje nyota unaowakumbuka pichani hapo chini!
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Naingalia taifa stars kwa jicho la tatu kuelekea afcon misri, Niukweli usiofichika baadhi ya ligi barani ulaya zimeshatamatika na zingine zipo hatua ya mwisho lakini bado najiuliza TFF...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Kila mara alipokuwa akihojiwa na Waandishi wa Habari mbalimbali alisema tena kwa Nyodo zote kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania ( TPL ) na kwamba hata Kombe la ASFC pia itabeba na...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Siku ya mwisho ya kushangaza epl.Watakao lia ni wengi(Liverpool)
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Back
Top Bottom