Habari zenu wanajumuiya ya michezo JF....
Kwa muda sasa nimekua nikipata mkanganyiko juu ya 'nchi ya Tanzania' machoni pa CAF (Shirikisho la soka barani Afrika).
NINA MASWALI MANNE:
1. Kama...
Nawapongeza Yanga kwz kuamua kboresha accounrt zao za social media kwa kuomba verified tick FB IG na Twiter pamoja na kuwa na App.
Hongereni sana makwasukwasu
Kamati ya Chama cha Soka Barani Ulaya(UEFA) inayoichunguza klabu ya Manchester City kwa kudaiwa kuvunja sheria ya fedha inatarajiwa kupendekeza Klabu hiyo kufungiwa msimu mmoja kushiriki michuano...
Ukiangalia kwa haraka haraka Huwezi ona cha ajabu, Ila ukitathmini kwa kina utatoka na maswali mengi tu .
Kipindi ile kona inataka kupigwa kwanza kulikuwa na mipira miwili uwanjani, wakati mmoja...
Hiii dunia ni ya ajabu sana, naisi nina nyota mbaya nitakufa masikini muda huu ningekuwa tajiri mkubwa sana, NANI ALISEMA HAKUNAGA FIXED MATCH? dah nlikuw na fixed match 3 zina jumla ya odds 2106...
Klabu ya KRC Genk imetwaa rasmi ubingwa wa ligi kuu ya soka ya nchini Ubelgiji, Belgium Jupiler League kwa msimu wa kuanzia 2018/2019.
Klabu hiyo ya KRC Genk ambayo anakipiga nahodha wa Timu ya...
Wanasema wanataka kujenga timu,sawa wanataka kuijenga timu kwa namna ipi . Timu bora inatengenezwa kwa kutumia wachezaji bora ,haijalishi wawe wenye majina na wasio na majina . Ni lazima upate...
Timu ya Taifa ya mpira wa migu imekuwa inaitwa Taifa Stars kwa miaka Mingi. Kwa maoni yangu nadhani sasa ni wakati wa kubadilisha jina hilo ukizingatia kwamba halielezi chochote zaidi ya...
Unaambiwa kufungiwa kwa Manchester City kutawapa faida Arsenal na Manchester United kucheza Uefa.
Arsenal yupo na fasi ya 5 na Man U yupo nafasi ya 6.
Arsenal watapata faida hata kama...
Rasmi Sasa Leo tarehe 16 May dirisha ya usajili limefunguliwa kwa ajili ya msimu ujao.Dirisha litafungwa rasmi tarehe 8 mwezi wa 8 wiki moja kabla ya Ligi kuanza.
England wamebadilisha utaratibu...
Sijalala hadi saa 9 usiku huu sijaamini kilichotokea,hivi kweli?
Tukubali hapa tumefungwa kizembe japo uwezo tulikua nao,sababu nilioziona
(1) Over confidence-tuliamini kuwa game
Ile...
Pep hawezi chukua EPL mara mbili mfululizo , maana ligi ya Epl ningumu sana. Vipi mnalipi tena ndugu zangu juu ya Pep.
Au kingumu England nikuendesha gari tu.Maana Sasa hivi naona anaondoka...
Wadau wafuatiliji, wataalamu na wajuzi wa masuala ya Football kwa pamoja naomba kumjua mchezaji Bora wa Mpira wa miguu wa muda wote.
Ukitoa na statics itakua vizuri zaidi.
Nimesikia Hazard tayari sasa ni 100% anakwenda R. Madrid kila kitu Tayari.
Barcelona wanataka kumtoa Phillipe Coutinho kwa Chelsea ili wapate fungu la kuwanasa Lacazzete au Dybala.
R. Madrid...
Hivi kweli walishindwa kumpata mshindi mmoja wa Golden Boot mpaka watoe zawadi kwa wote watatu? Mbona timu zinapokuwa na point sawa hutizamwa vigezo vyengine ili papatikanwe aliyejuu ya mwenzake...
Habari wakuu!
Miaka ya nyuma kabla Runinga hazishamili na pia kabla mpira wa Ligi kuu ya Tanzania bara kuanza kuonyeshwa kwenye MaTV, basi tulikua tukisikiliza mapambano kupitia Radio Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.