Sote tunaujua uwezo wa timu zote za UK, hasa miaka hii kidogo ukioondoa Man city na Liverpool. Timu za ligi hii hutolewa hatua za mwanzo kabisa makombe ya ulaya
Sasa msimu huu timu zote nne za...
Baada ya kuwa likizo kwa miezi mitatu, hatimae ligi pendwa ya EPL inarejea kesho kwa mechi ya ufunguzi kati ya Man Utd Vs Leicester City kule Old Trafford.
Ni msimu ambao mashabiki wengi wa Man...
Kocha Mwinyi Zahera wa Klabu ya Yanga SC ni kati ya watu tisa waliopelekwa mbele ya Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa makosa ya nidhamu baada ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania...
Ni wazi Barcelona wameanza kupotea taratiibu katika Uefa Champions league ni miaka sita sasa sio muda utasikia ni miaka 10
Binafsi nikikumbuka Neymar alivyokuwa Barcelona ni wazi anahitajika mno...
Marekebisho kwenye title "Sad" sio "aad"
Ander Herrera sad news. He said
''This is not an easy day or an easy decision, but sometimes in life you have to take decisions,” he told the club’s...
Shirikisho la Soka Barani Ulaya(UEFA) limemfungia mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain baada ya kuandika maneno ya dharau na kejeli kufuatia timu yake kutolewa na Manchester United katika...
Tanzania Premier League (Ligi kuu bara) inaendelea leo ikikutanisha Simba dhidi ya Kagera. Simba ni bingwa mteteza anataka kuendeleza ubabe wa kwa kuchukua kombe hili mara ya pili mfululizo, je...
Habari za mchana wa leo chungu ya 6 Ramadhani kwa wenzetu Muslim asalam alykum.
Kesho ni mwisho wa msimu wa ligi kuu ya England, timu zote zitaingia uwanjani. Competitive timu kama Chelsea na...
Ukicheka na nyani utavuna mabua! Hawa mabwana mdogo wa Kagera Sugar wamekuwa na mazea mabaya sana na Simba SC.
Hatujasahau mwaka jana wametuaibisha mbele ya Rais sambamba na kutibua record...
Baada ya Yanga leo kufungwa bao 1-0 dhidi ya Biashara United bao lililofungwa na Tariq Seif dakika ya 9, Simba SC inahitaji point 9 tu ili waweze kutetea ubingwa wao.
[http://phpstack-189796-562565]
Huko TFF hata mipira ya kuchezea ligi kuu hakuna
Today, 2h ago | Shabiki NambaMoja
Inaelezwa timu za ligi kuu zimekuwa zikitumia mipira yao katika michezo...
Kuna Watu wamekuwa wakipinga Sana Kuwa ukiwaambia EPL ni ligi Bora duniani ,,,narudua Kwa herufi kubwa LIGI BORA DUNIANI.... point kuu wanazo Toa wanao pingaga huu ukweli ni Namna tim za Spain...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.