Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tumeona Jana aina ya soka ya england inavyoshindwa kutamba mbele ya style ya mchezo wa ajax ambao ndio hasa wanacheza aina ya Mpira wa Barcelona. Kwa walivyosumbuka Spurs ndivyo ndugu zao...
14 Reactions
255 Replies
19K Views
Yani ile come back ya PSG nilidhani walibebwa ilaa kilichotokea leoo Nimeamini Barcelona ni timu ya Ovyooo sanaaa na Messi is Over rated...!! Yani Serious UEFA huwa mnatolewa kiboyaa...
14 Reactions
36 Replies
3K Views
Mtanange wa leo wa ligi kuu bara, uliopigwa katika dimba la Kambarage pale Shinyanga, Simba ameibuka na ushindi wa goli 2-0. Hongereni kwa hilo. Ila kuna kitu kinanipa mashaka, magoli waliyofunga...
6 Reactions
96 Replies
10K Views
haji manara aliahidi atahamia yanga endapo liver wataitoa barcelona tunamwomba atimize ahadi yake
2 Reactions
84 Replies
9K Views
Tumeteseka na Mafanikio ya Timu yetu ya Liverpool kwa muda mrefu cha ajabu kwa Msimu huu na hasa baada ya ile ' Magical Comeback ' ya jana Usiku nimepatwa na ' Mshtuko ' baada ya Kuwaona Watu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mashabiki wa Yanga ni vema mkawaambia Watanzania ukweli juu ya Marefa na TFF kuibeba Lipuli ktk mchezo wa leo huko Iringa.Maana klabu yoyote ikishinda utawasikia Yanga wakisema Imebeba je Marefa...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimetazama Azam TV Kipindi cha Kipyenga cha Mwisho. Othmani Kazi amechambua kwa kina na kitaalamu sana mechi ya KMC dhidi ya Simba Sc. Hii ni mechi iliyolalamikiwa sana na wapinzani wa Simba Sc...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Maneno ya kejeli yamemtokea puani. Inabidi atimize ahadi yake ahamie Yanga. Lakini nasema, Haji baki huko huko Mikiani. Yanga hatuna dispensary ya Milembe.
2 Reactions
2 Replies
725 Views
Wakuu Huku ligi yetu pendwa ya TPL ikielekea ukingoni tunajua kwamba Simba ambaye ni bingwa msimu uliopita atacheza na timu ya sevilla kutoka nchini uhispania, Nabaki kujiuliza TFF walitumia...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Na Bakari Chijumba, Mtwara. Shirikisho la soka Tanzania(TFF),limetenga jumla ya Dollar za kimarekani Million moja,kwa ajili ya kurekebisha viwanja kumi vya soka nchini,ikiwemo uwanja wa Nangwanda...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mwinyi Zahera amesema malengo yao msimu huu hayakuwa kushiriki michuano ya Kimataifa na hata kufika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Zahera ameyasema hayo mara baada ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nusu fainali ya Pili ya Azam federation inapigwa Leo majira ya saa 9 na nusu alasiri katika uwanja wa Samora mkoani Iringa wanyeji Lipuli wakicheza na Yanga huku Azam wakishangilia fainali kwa...
1 Reactions
216 Replies
21K Views
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta nyota yake imezidi kung’aa baada ya kupata mafanikio siku hadi siku akiwa na...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
Nawe msikilize mzee,ustadh Akilimali utaamini ninachosema
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu wadau, kwa nini tulimshambulia sana Shafii wakati akitoa maoni yake kuhusu Simba kushiriki club bingwa CAF? Je ni kutoiva kimpira au ni unazi tu? Hebu msomeni Van Persie halafu mje na maoni...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Bullet shot ya Kompany ni kama Shot ya "BobLee Swagger" Inanikumbusha sana series ya ya shooter!!
1 Reactions
0 Replies
559 Views
Mabingwa watetezi wa Klabu Bingwa barani Afrika, Esperance ya Tunisia na Wydad Casablanca ya Morocco wametinga fainali ya michuano tajwa baada ya kupata suluhu kwenye mechi zao za leo zilizoisha...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Huu mchezo n miongon mwa michezo mingi ninayoifurahia, napenda kwenda kuucheza ama kuutizama hasa nyakat za jion, mahali tunakupokutana hasa ni kijiwen na wadau wake wengi ni wa juu kiumri kwangu...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom