Totenham wamepindua meza ugenini kwa magoli matatu ya Lucas Moura dk (56 , 59 , 96 ) , hii ni baada ya kuwa nyuma kwa bao 2 hadi dk ya 35
Kila la heri timu za EPL
Mzuqa
Yote yawezekana ukimkabidhi Mungu. Mwenyezi Mungu shuka. Isaidie livaaa ishinde ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Barca.
Na weekend Mancity ifungwe ama itoke sare na Brighton.
Amen
BlackPanther
Mfahamu anayegombea nafasi ya uenyekiti Yanga SC.
- Anaitwa Dr. Mbette Mshindo Msolla.
- Mtaalamu Mbobezi wa kilimo.
-Hajawahi kuwa kocha wala hana taaluma ya ukocha.
- Aliyekuwa kocha wa Taifa...
Hizi video zilizovuja zinazosemekana ni za yule mtu wa Roho zimefifisha habari nyingi zikiwemo mechi kali ya marudiano nusu fainali ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Barcelona... Mashabiki wa...
Naam
Timu ya Barcelona imetolewa michuano ya klabu bingwa barani ulaya na timu ya Liverpool,
Kutoka Barca ya Rijikaard, Pep Guardiola, Luis Enquirie ( rekebisha) na sasa yupo Valverde bado Barca...
Ni Jumanne Ya Tarehe 30 Mwezi huu ambapo Fc Barcelona atamkaribisha Liverpool Nou Camp, na siku hiyo pia Spurs atamkaribisha nyumbani Ajax FC kwa mzunguko wa kwanza kabla ya marudiano tarehe 7...
Mimi ni shabiki wa Man united :)
Sitaki liverpool wachukue kombe la premier league wasije wakafikia record yetu ya kuwa na premier league titles nyingi, na imebaki mechi moja tu sioni kama...
Jioni ya leo Simba imewachapa goli 8 - 1 vijana wa Coastal Union kutoka Tanga..
Vijana hao wanaounda kikosi imara, leo wameonekana kuwa legelege kutokana na kuzidiwa na ibada ya kufunga hivyo...
Wakati mtanange wa Jana wa Barcelona na Liverpool ukiendelea huku Messi aking'aa mchezaji mtukuku Maria Baloteli kupitia Instagram alipost alisema " kwa mapenzi ya Mungu naomba msimfananishe tena...
Mashabiki wa Barca na wa Yanga wanafuatilia kwa umakini
1. Msiba wa Mengi
2. Video zinazohusishwa na Gwajima
Hawa jamaa toka jana wapo busy na hayo mambo mawili hawazungumzii kabisa mpira...
Huyu ni beki bora kama sio wa liverpool basi wa dunia, akitamka maneno haya kuhusu Leonel Messi 👇
Nasema hivi-Bora amekuwa mkweli.
EINSTEIN112
PNC
Prince Kunta
Alvajumaa
Manara alisema ataihama Simba endapo Barcelona itaondolewa kwenye UEFA msimu huu wa 2018/2019 na klab ya Liverpool, kitendo hicho kilikamilika jana cha Barca kusukumwa nje ya uefa. Kwa sasa...
Wakuu wa jukwaa habari zenu!
Leo ndio ile siku ya kuamaliza utata, Mchezaji bora toka kuumbwa kwa Ulimwengu Lionel Messi atakapokuatana na anayedhaniwa kuwa beki hodari kwa msimu huu Van Dijk...
Kocha wa Liverpool klopp anathibitisha kukosekana kwa wachezaji wawili muhimu katika kikosi chake cha kwanza kutokana na majeraha
Hvyo hawatakuwa kwenye timu itakayo wavaa Barcelona UEFA pengine...
Hii ndiyo habari kwa sasa wakuu
Milango ilianza kufunguliwa na Origi ( Dk 7 ) tu , then Wijnaldun (54 , 56 ) halafu origi tena ( dk 79 )
Ngoma bado mbichi mno !
Kazi imekwisha , Liverpool...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.