Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wasalaam wana jamvi,leo nimeamua tumuangalie kocha wa Yanga SC,Mkongomani Mwinyi Zahera(Papaa) Huyu Mwalimu mwanzoni alionekana ni mtu anayejielewa na mwenye uwezo mkubwa wa kuunganisha timu...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Natafuta company yenye kuuza odds nzuri
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kuna kitu kinaitwa clutch moment, kinawahusu sana wachezaji wakubwa, wanaolipwa hela nyingi kwenye timu, ma kapteni n.k. clutch moment ni ule muda mahsusi ambao timu yako inakutegemea ufanye...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Hii tabia kaileta haina manufaa kwa team kabisa. Kocha anaabudu sana ushirikina matokeo yake Yanga inaathirika kila mara. Yanga inapigwa bao mbili na Lipuli sababu wachezaji wanaamini katika...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama aina ya mpira yenyewe ndio hii wanayocheza, hata wao watatufuata tu Mimi ni shabiki wa simba ila siwaombei mabaya lkn hawa watani zangu km wanataka kuwa tofauti na sisi, basi hawana budi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kocha wa Yanga amesema Lengo la timu ya Yanga Mwaka huu ilikuwa ni kushika nafasi ya tano kwenye Ligi Kuu. Sijamwelewa Mzee wa Bolingo!! Chanzo: Mahojiano yake na Azam Tv.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Paapaaa mutu ya watu zahera,ni mutu mukubwa sana UEFA inamujuya kabisa, kawa mikurugenzi wa ufundi wa Paris saint german PSG kabla ya kugombana na Edson cavan akaamua kujiuzulu ,sasa yupo hapa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Utatukanwa Sana, utapewa maneno machafu yote ya DUNIA HII NA YASIYO ya Dunia hii. ...Ukweli mchungu Sana, Unapomuweka mchezaji BENCH Sana Anapoteza Hali Ya kujiamini.... Na haya Ndo matokeo yake...
4 Reactions
30 Replies
6K Views
Matokeo ya uchagizi wa klabu ya Yanga yametangwazwa huku nafasi ya Mwenyekiti akishinda Dr Mshindo Msolla na Makamu Mwenyekiti akishinda Frendrick Mwakalebela Matokeo Mwenyekiti Dr. Jonas Tiboroha...
4 Reactions
63 Replies
10K Views
Pichani ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt Athumani Kihamia akipiga kura kwenye uchaguzi wa Yanga leo. Akiwa kule Tume yeye ni refa ila kwenye tukio la leo alikuwa mchezaji...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanayanga mnakosea wapi aisee hadi mnatiana aiabu hivi...???
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni ufafanuzi zaid wa kisheria ni kweli anaruhusiwa leo kucheza!!
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania TPL kuendelea kupigwa leo Mei 5, 2019 kunako dimba la Sokoine mkoani Mbeya ambapo Tanzania Prisons wanatarajia kupepetana na Simba SC. Mechi inatarajia kuwa kali na...
4 Reactions
96 Replies
9K Views
Na Bakari Chijumba,Lindi. Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mh. Hashim Mgandilwa amewataka wakaazi wa Ruangwa kuwa na utamaduni wa kusaidia timu ya Namungo Fc iliyo na maskani yake wilayani humo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Zamu ya kucheza ni ya mwenye nyekundu Formula gani unayowatesa nayo sana na unaichezaje?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Caf Champions league-Semi final, live....Marudiano/Sec leg Mamelodi-Wyda Casablanca 16:00 Mazembe-Esperance de Tunis 16:00 Kila la heri Wydad.. Mwenye link atupie wandugu!
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Hivi Yanga mnakwama wapi? Ikiwa leo Klabu ya Yanga inaandika historia nyingine ya kuwachagua viongozi wapya na imara, ambao wanaotarajiwa kuipeleka mbele zaidi Yanga na kuleta maendeleo ili klabu...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ratiba ya uchaguzi wa Yanga imetoka katika hali isiyokuwa ya kawaida hamna ratiba ya chakula
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Najua ni mahaba yenu na support kwa team mnazozipenda za simba na yanga ila hawa wachezaji kwao wanaona ni shobo na kero Nitolee mfano wa team yangu simba,ukitoa Kagere ,kwasi na Gyan wengine...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Haji Manara amechachamaa huko Mbeya, amewashukia vikali makocha wa Yanga na Mbeya City. Msikie mwenyewe kupitia link hii
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom