Poleni sana wana huko mbeya,najua pysical fatigue siyo mchezo wako watakaobisha lakini madhara yanaanza kuonekana injuries za ajabu ajabu kwa wachezaji
Jitahidi mnavyoweza mshinde leo lakini...
Nikiwa kama Mwana Yanga SC naomba tumchague Profesa Mshindo Msolla kama Mwenyekiti wa Timu yetu na Eliud Mvela kama Makamu wa Mwenyekirti. Siku ya Jumapili nami GENTAMYCINE nitakuwepo pale Police...
Kwanza kabida mm nishabiki kindaki wa Liverpool jana tumepigwa vitatu na Fc Barcelona. Ila kama shabiki nilitafuta wakumlaumu kwa kipigo kile amekosekana. Nilitaka niseme labda refa ila hapana...
Itoshe kusema kitendo cha kuwasimamisha waaamuzi waliochezesha Mechi ya TPL kati ya SIMBA SC na KMC ambao ni Bw.Kambuzi na wasaidizi wake kimekuwa Kaburi/Hujuma/Hitimisho la mechi za Simba SC...
Nimeikumbuka ile man u ya Roy Kean,Nick Butty,David Becam na Jap Stam,kuna usuluhu pale kati na watu wanapambana kweli kweli.Pogba anamiguu kama kijiko yaani ni noma!
Ibrahimovic anapiga vichwa...
[emoji375]Uhasimu wa El Classico
Kwenye fainali ya Liverpool na Madrid msimu uliopita inasemekana baadhi ya mashabiki wa Barcelona walinunua jezi za Liverpool na kwenda kuishabikia Liverpool.
...
Hadi Sasa mpira Ni mapumziko Hulu mbeya city wakiongoza goli 1 kwa Bila lililofungwa na Iddy seleman " Nado"
Beki Paul Bukaba ameumia na kutoka nafasi yake amechukua Erasto Nyoni
Kwa kweli Messi ninamwona kama complete player katika kizazi hiki cha mpira wa miguu kwa sasa japo naichukia BARCELONA.
Jana aliweza kurudi uwanjani kwa mara ya kwanza kuchezea timu ya taifa...
YANGA VS AZAM. Yanga alishinda goli 1-0 dhidi ya Azam pamoja na mapungufu ya referee kutoa maamuzi lakini hukusikia kocha, viongozi wala mashabiki wa Azam wakisema referee kawabeba Yanga...
Hawa wachezaji wa arsenal hivi kweli wafamilia inayowategemea? Wanashindwa nini kujituma uwanjani badala yake wanakuwa goigio kiasi hiki? Ningekuwa Mimi ni kocha wao Leo wangekula vimbo za Uhakika...
Feisal Salim 'Feitoto' ... Kwa takwimu Msimu huu pekee ameshapata kadi 15 za njano. .
.
Aliukosa mchezo wa ugenini dhidi ya Mtibwa kwa kosa la kua na kadi 3 za njano mfululizo. .
.
Mchezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.