Africa nzima inayo hii habari. Timu tishio katika michuano ya Club Bigwa Africa inakutana na timu nzito TP Mazembe,zikiwa ni timu pekee Afrika Mashariki na Kati katika hatua ya robo fainali...
wanasimba..
vizuri tupate jibu la tatizo la simba ugenini ni nini? maana anafungwa kwa goal difference zaidi ya goli moja..
mbona timu zingine away zinashinda na hata sare zinapata ugenini.. ila...
Habarini wanajamvi....
Hivi Simba tukiingia robo finally(ingawa ni miujiza) au tukitolewa/tukaishia nusu finally je mwakani tutapeleka timu nne?
Naomba kueleweshwa...
Ili Nchi husika ipeleke...
Kwa uwekezaji wa simba inamaana kuwa inahitaji mafanikio ya ndani na ya njee sasa kwa baadhi ya wachezaji tuliyonao ni vigumu kufanikiwa.
Hawa hawatakiwi kuwepo simba
1.tshabalala
2.gyan
3...
Hivi wakati haya mashindano ya vijana ya Afrika yanapangwa kufanyika Tanzania kipindi hiki hawakujua hali ya hewa itakuwaje hapa Tanzania.Baada ya Qatae kuchaguliwa kuwa mwenyeji wa kombe la dunia...
Aman kwenu
Njoon tucheke
Hahahahahahaaahahaaaa tp mazembe ilikuwaga ile ya samata ila hii ni kibonde kwa mchina lazima ife na imekufa kweli
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wote na wanaSimba mnatakiwa kujiandaa mapema. Kwa vipato vyetu kutungua suti dukani hiyo jumapili inaweza kuwa ngumu,anza kabisa kesho kuongea na fundi,mpe tahadhari ijumaa iwe imekuwa...
'Tumetuma malalamiko dhidi ya @CAF_Online kwa kufanya mabadiliko ya waamuzi wa mchezo wa marudiano wa #CAFCL tutakaocheza Jumamosi./We have formally lodged a complaint against CAF for the abrupt...
Wanamsimbazi na hata baadhi ya viongozi mpaka sasa hawaamini kama timu yao ndio imeukosa ubingwa wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara msimu huu, lakini moja ya wajumbe wa Baraza la Wadhamini wa klabu...
Shabiki lialia amekutana na bodi ya wakurugenzi ya Simba na kupewa ofa ya kwenda Congo kushuhudia game ya TP Mazembe.
Shabiki huyo pia atasalia Dar kutazama mchezo wa nusu fainali dhidi ya...
Tetesi za usajili kutoka klabu mbalimbali za Ulaya zikiwemo Chelsea, Arsenal, Liverpool, Man City, Man United, Barcelona, Real Madrid n.k leo Jumapili 07/04/2019..........
Chelsea...
Janny Sikazwe (aliyezaliwa Mei 26, 1979 Kapiri Mposhi) ni mwamuzi wa soka wa kimataifa wa Zambia.
Safari yake ya mafanikio ya uamuzi aliianza kwenye mashindano ya COSAFA U20 mwaka 2008 wakati...
Kuelekea mchezo wa robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wawakilishi pekee Afrika Mashariki na Mabingwa wa Nchi Simba SC Mnyama, atapapatuana na TP Mazembe siku ya Jumamosi Aprili 6, 2019...
Hii ilikuwa ni ile Barcelona yenyewe, yaani Messi, Iniesta, Xavi dhidi ya Celtic ya akina Victor Wanyama mwaka 2012 kwenye Uefa. Barcelona alikufa 2-1 licha ya muda mwingi wa mchezo kumiliki mpira...
ni kuhusu gazeti la championi, so far nimeona matangazo mawili makubwa, posters za barabarani! kuna lile la buguruni sheli ambalo limetumia picha ya cristiano ronaldo, halafu kuna lile la mwenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.