Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nafanya kuwanyunyizia vurugu za Simba kutoka vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo international reputedly social media. Yakubu ni beki wa Azamu FC anaye maliza mkataba wake. Rais wa Ghana...
5 Reactions
37 Replies
7K Views
Yawekana Kocha wa Kibrazili Pitso Mosimane alikosekana katika mtanange uliofanyika katika uwanja wa Lucas Moripe ambapo Mamelodi Sundowns’ waliwafanyia kitu kibaya Al Ahly ya Misri kwa kuwafunga...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Afadhali wangeandika Kiswahili. Haya ni majanga. Hivi wandishi wote watakuwa wanaume?
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna siku nilimsikiaga akilalamikia viwanja bongo ni vibovu ,nikajiuliza hivi afrika yetu hii ukitoa south africa na nchi za kiarabu hali ya viwanja vya mpira si inafanana? Jamaa ni muongo na ana...
7 Reactions
28 Replies
5K Views
Wadau, nawaza kwa sauti, kwa mfano ligi ya Uingereza ikaisha na top 6 zikawa kwenye nafasi walizonazo kama zilivyo sasa, yaani Liverpool, Manchester City, Chelsea na spurs zikapita kwenda...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mfanyabiashara na mdhamini wa zamani wa Simba, Azim Dewji ameitabiria makubwa klabu hiyo katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
BAADA ya klabu ya Simba kutinga kwenye Shirikisho la Soka la Mpira Afrika (CAF) wakihitaji kupewa mwongozo kwa nini wamebadilishiwa mwamuzi wa mchezo wao klabu ya Horoya AC kutoka Guinea wametuma...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mchezaji mtata, Diego Costa amepatikana na hatia ya kumtukania refa mama yake mzazi. Itakumbukwa jamaa alitoa matusi mazito kwa refa baada ya kulimwa red card wakati Atletico Madrid ilipokuwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
KUPATA VICHEKESHO KAMA HIVI ANDIKA HUJUMAZAREFA KWENDA NO 156791 ALL D BEST SIMBA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Soka la bongo bana,Yanga imetangaza kumsajili Kelvin Patrick Yondani ,wakati Simba wakitangaza kumwongezea mkataba Kelvin Patrick Yondani toka mwaka jana 2011.Utata,kuna Kelvin Patrick Yondani...
0 Reactions
15 Replies
17K Views
Jamaa wa yanga utawasikia ,agh ndo basi bana mshatoka hata hivyo mmejitahidi kufika robo fainali,nani kakuambia wewee?spirit ya simba ya this time nimeipenda,hakuna kuridhika,we want more and...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Aman iwe juu yenu wakuu Kama kichwa cha habal kinavyosomeka hapo Hawa jamaa watauana mpira ni mkali hatari Tiar juve anaongoza Mkali ronaldo kashachana na kufamania nyavu Sent using Jamii...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo Dunia itasimama kwa dakika 90 kushuhudia mtanange wa aina yake katika ligi ya mabingwa ulaya hatua ya robo fainali kati ya Man Utd Vs Barcelona mechi itakayopigwa katika dimba la Old Trafford...
4 Reactions
123 Replies
10K Views
Hatimaye mchezaji Mtanzania aliyekuwa akicheza soka la kulipwa nchini Sweden Haruna Moshi amerejea nchini na kusema hana mpango wa kurejea tena nchini sweden. Tunaomba Agent wake aongee ukweli na...
0 Reactions
92 Replies
13K Views
Fifa imeifungia Chelsea kutosajili kwa misimu miwili kwa kukiuka taratibu za usajili kwa kusajili wachezaji chino ya umri WA miaka 18 == Chelsea have been given a two transfer window ban by FIFA...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Hii Ni aibu kwa TFF na Board ya Ligi mpaka Sasa kwenye ligi kwenye ligi ya Tanzania Kuna vilabu vimebakiza mechi 5 kamaliza ligi huku Simba akibakiza mechi 16. Mpaka Sasa Simba hajacheza na hizi...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Group D #CAFCL -Al Ahly Sc(Egy) -Simba Sc(Tan) -JS Saoura(Alg) -Association Sportivè de Victorié/Vita Club(DRC) Nimejaribu kuangalia Makundi yote manne yaliyopangwa Jana na CAF na nimekuja...
25 Reactions
171 Replies
15K Views
Nimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Kwasasa huyu ndio kipa anayenikosha kwa uwezo wake mkuu wa kupangua mashuti ya timu pinzani yanayoelekezwa langoni kwake. Kwa msimu sidhani kama ana mpinzani katika kuzuia mashuti, ni wakati sasa...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Bado nina Jezi za Kutosha tu za Timu ya Taifa ya Uganda ( The Cranes ) hivyo ambaye anataka anitafute haraka kwa PM ili nimletee hapo hapo alipo tena bure kabisa ili Jumapili wote tuzivae na...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom