Habari zenu wakuu,
Niende kwenye mada moja kwa moja...bila shaka sote tunafahamu kuwa Kesho (tarehe 06/04/2019) Simba Sports Club ya Tanzania inaanza Kutupa karata yake ya mchezo wake wa kwanza...
TAARUKI MSIMBAZI, WAANZA KUTOFAUTIANA NA MWEKEZAJI
Na SaleheJembe
Hali ya sitofahamu imeanza kutokea huko MSIMBAZI baada ya MWEKEZAJI wao kuanza kutofautiana na Viongozi wa Club
Kiongozi mkubwa...
Hebu eleze kulingana na vigezo hivi
Speed(uharakawalionao je unazidiana au unalingana)
Weight(uzito wao)
Height(urefu)
Check hizi highlight
Kwa Anthony Joshua'
Alafu check za Floyd mayweather...
Pambano hili limepigwa leo asubuhi katika jiji la New Jersey,hakika huyu binti wa Kimarekani Claressa Shields kutoka jimbo la Michigan ameonyesha uwezo mkubwa wa kusukuma makonde dhidi ya mpinzani...
Tuondoe ushabiki ushabiki wa Simba na Yanga na kadhalika
Wekeni moyo mmoja wa kusaidiana kusajili wachezaji wazuri katika nafasi zote ikiwezekana kuanzia KIPA, MABEKI, VIUNGO NA WASHAMBULIAJI...
Kila msimu mpya, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) hutoa mabadiliko ya “Sheria za Mchezo” zinazoelezea kiundani taratibu za mchezo huo. Zifuatazo ni Sheria 17 za mpira wa miguu.
Sheria #1: Uwanja...
Hello GT.
Mwenye kujua matokeo ya hii MECHI please let's me know .Niko Kijijini ,
Nadhani hii timu yangu itafanya vizuri Leo wakuu ,
======
Kikosi cha Yanga dhidi ya Gor Mahia FC kuelekea mechi...
Mbumbumbu fc leo wanaenda kulitumbukiza taifa kwenye aibu nyingine kama ilivyo kawaida yao kulipaka tope taifa.
Kama ilivyokua kwa manabii na wafalme mbalimbali enzi hizo wakionyeshwa matukio ya...
Tiger Woods completed one of sport's greatest comebacks to end an 11-year major title drought at the Masters on Sunday by claiming a fifth Green Jacket.
A gritty two-under 70 clinched a one-shot...
Wakati Taifa Stars ikikata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Mataifa ya Afrika na Simba kuingia Robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika, CCM ilijinasibu kwamba hayo yametokea kwa kuwa ni utekelezaji...
Leo ulikuwa mchezo wa marudio kati ya simba ya tanzania na TP MAZEMBE ya congo.
Simba imeshuhudia kichapo kwa lugha nyingine kipigo cha magoli manne kwa moja,
Jiji la dar limezima,Tanzania leo...
Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.
Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake...
Hakika Mabingwa wa Soka la Kimataifa ni SIMBA SPORTS CLUB,wengine hawa ni ubabaishaji tu.Rekodi za Taifa letu hakuna Klabu yoyote Tanzania itakayothubutu kuikaribia na ndio maana Omba Omba Yanga...
Nawasubiri kwa hamu wale ambao ' walinidhaki ' mno pale niliposema kuwa tayari Simba SC tumeshatolewa katika hatua hii ya Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika na TP Mazembe waje tena waendelee na '...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.