Kama kichwa kinavyojipambanua, Mimi sipo kwenye uyanga Wala usimba, washabiki wastaarabu napenda wanavyoelezea hasa wanapobishana. Lakin washabiki wakorofi na wananazi wa hizi timu mbili hajikuta...
1: HATUA ZA MAKUNDI:
Kwanza turekebishe jina, kuna watu wanasema tunaingia AFCON mara ya pili, wakati ule mwaka 1980 ilikuwa ni African Cup, jina AFCON limekuja miaka ya karibuni.
Thread...
Timu ya soka ya Manchester United leo imemtangaza Ole GUnnar Solskjaer kuwa kocha wao kwa mkataba wa miaka 3
Solskjaer ambaye December mwaka jana aliteuliwa kuwa kocha wa muda kuchukua nafasi ya...
Kuna jambo kubwa sana ambalo haliongelewi kiviile. Wengi tutasema hamasa, tutasema Wachezaji wanaocheza lakini mpishi wa yote haya ni mzee Salim Bakhresa ambaye aliamua kuwekeza kwenye soka la...
kwa hali ya sasa bila kumumunya maneno timu ya England ipo daraja la juu ukilinganisha na miaka kadhaa ya nyuma. England ya sasahivi inaweza kuleta upinzani mkubwa au kushinda timu yoyote duniani...
Ni mchezaji asiye na maneno mengi, ambaye hakuwahi kupendwa sana na watanzania wengi. Lakini ni mchezaji ambaye tunamwona akizidi kuimalika kwa kiwango kikubwa sana kadri siku zinavyoenda
John...
Sisi binadamu ni viumbe wa ajabu sana, wagumu kuelewa, wepesi kusahau. Pia ni wepesi kulaumu mambo yanapokwenda ndivyo sivyo lakini wagumu kupongeza pale mambo yanapoenda vizuri.
Leo nataka niwe...
Niwapongeze wamiliki wa timu ya azam japo bado wanasafari ndefu ya kwenda ila ndo timu iliyopika wachezaji wengi walipo taifa stars. Mimi sio mjuvi sana wa mpira ila kama kuna mchezaji nimemusaau...
Anaekukimbiza nae ni muhimu sana kwenye mashindano ndio maana wakasema usujisifu kukimbia msifu na anae kukimbiza.
Tumeshawapongeza mashujaa wetu kwa kufuzu ila lipo la kutafakari
Hapo awari hii...
Wana jamvi saalam, ama baada ya saalam naomba tuyatafakari haya yafuatayo :
Kabla ya mechi ya Jana kuna watanzania walibeza sana kamati ya kuhamasisha ushindi kwa mdai kwamba imekaa kisiasa badala...
Huyu n msemaji wa ruvu shooting ambaye amejizolea umaarufu mkubwa wapenzi wa soka hapa Tanzania na nje ya Tanzania,
Leo nimeamua nikukumbushe tu siku timu yake iliposhinda, angalia jinc...
Mlinzi huyo wa kushoto raia wa Ufaransa amesaini mkataba wa miaka 5 wa kuitumikia klabu hiyo ya Ujerumani
Hernandez atajiunga rasmi na Bayern Munich mnamo Julai 1 mwaka huu wakati ambao dirisha...
Madrid akili yao yote ni Hazard kwa sasa
Huwaambii kitu kwa Hazard
Wamewasahau kina Neymar, Mbape, pogba na harakati zao zote kwa sasa ni Hazard
Je ni kweli hazard anawazidi kiwango Neymar...
Kama mtanzania mzalendo nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa klabu ya Simba kumaliza mwaka 2018 ikiwa miongoni mwa klabu 16 bora barani Africa.
Pongezi kwa Mo na Uongozi makini na mashabiki...
Uganda,tayari walishafuzu so imefanyika plan ili Tz waende kutoa gundu ila naamini Uganda wangekuwa na point 5 ,Tz tusingevuzu.
Vijana msidanganyike Uganda wamecheza chini ya kiwangu coz hawakuwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) katika taarifa yake iliyosainiwa na Mkuu wa kitengo chake cha habari , Tumaini Makene , imeipongeza Timu ya Taifa kwa Ushindi mnono dhidi ya Uganda na...
Mkuu wa wilayani ya Kilolo Asia Abdalah amesema atawashughulikia mashabiki wote wanaoshabikia Timu za nje zinapokuja kucheza nchini Tanzania, ameongeza Kama timu ya Tanzania iwe Ni Simba au Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.