Kwa kweli picha iliyoonyeshwa na TFF na Serikali katika kuthamini mchango wa wachezaji wa Stars katika kutuletea furaha Watanzania ni kuwa hata yaliyofanywa na Kamati eti ya hamasa ni kutafuta...
Yaani kabisa niishangilie Simba kuwa inawakilisha nchi, hapana hilo sitaweza
na hata wao Simba hawataweza, Ushindi wao dhidi ya Vita umekuwa kero sana
kwangu, Walipofika panatosha MUNGU IBARIKI TP...
Kapteni wa Taifa Stars, Samatta ameomba TFF impatie Mchezaji mwenzake Kapombe zawadi kama Wachezaji wengine, likishindikana hilo amewaomba Wachezaji wenzake wote wamchangie mwenzao huyo na kama...
Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano...
Hivi Adam Nditi yuko wapi siku hizi? Huyu jamaa kuna kipindi alivuma kama MTANZANIA ANAYECHEZEA CHELSEA B. Na tuliambiwa anaenda pandishwa timu A. Kuna tetesi alikuwa karibu sana na Shaffih Dauda...
habari za ushindi wa Tanzania dhidi ya Uganda sijazifurahia maana jana nimetoka huku bagamoyo hadi temeke ili nishangilie taifa stars lakini nikaambulia kulizwa na mabomu na kupigwa na maji...
Leo hii tumejionea faida kubwa ya wachezaji wa kigeni wanao cheza nchini na juhudi za watanzania kuiga
Ukiangalia kwa undani mchezo wa Leo kati ya UGANDA Na TANZANIA utaona nikwajinsi gani...
Kwanza niwapongeze Wachezaji na Benchi la Ufindi la Taifa Stairs kwa kufuzu AFCON2019. Mimi ni mmoja yua walioboreka sana kwa kufungwa kule Lesotho, lakni kwa kutoka kwenu draw na UG kule kwao...
Emu muone hapa na lipua lake. Nyimbo ameimba diomond shabiki wa simba ila mbwebwe unatuletea mashabiki wa yanga? Mkurabita mkubwa wewe, takukuru wa kijani wewe.
Jana tumefanikiwa kucheza AFCON na wote tumekimbilia kumpongeza Makonda huku tukimsahau mhamsishaji mkuu ambaye amefanikiwa kuwafanya watu waelewe na kukubali kuwa "Inawezekana",Yes,We can!!
Haji...
Mwenye kujua mapato ya mechi ya Taifa star na uganda atujuze maana mkulu alitutonya uwezo wa kiwanja ni watu 65000 na waliongia na kubaki nje idaki haiajulikani...basi hicho kilichipatikana mwenye...
Ni mwezi huu klabu ya Simba imefanikiwa kuingia robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika,timu ya taifa imekata tiketi ya kushiriki mashindano ya mataifa ya Afrika na bondia mtanzania...
Ni wendawazimu tu kufikiri eti KUNA ZAMU ZA KUSHIRIK AFCON. hii akili sijui ni ya wapi? Afcon inataka maandalizi na mapambano ya dhati ya nia dhabiti na malengo mahsusi. Specific Objectives.
Sasa...
Mwaka 1980 ni miaka 39 iliyopita. Ni kitambo. Tanzania ya wakati ule ilikuwa bado ni nchi ndogo sana. Kiuchumi na hata katika suala la idadi ya watu.
Mwaka ule mtu ukikatiza mbele ya meza ya...
Ni kawaida yetu kuwa na shughuli za zimamoto. Jinsi ambavyo mechi ya jana ilitengenezwa ilikuwa kama vile ndo tumefaham siku za hivi karibuni.tumeona mechi za awali zilivyokuwa taifa stars ikiwa...
Kwa mlioangali mpira Jana watoto wa Taifa Stars walipiga mpira mzuri sana mpaka ikawa ngumu kujua yupi ni Man of the Match.
Kwa maoni yako wewe unaona nani anastahili kuwa Man of the Match?
Usalama wa watanzania ulikaribia kuhatarishwa na wale wote waliouza tiketi nyingi mno kuliko uwanja za kuingia uwanja wa mkapa kuangalia mechi ya taifa stars v Uganda. Hii ilikuwa na malengo gani...
Nimewaza ni nafasi gani hii adimu sana ambayo wachezaji wa Taifa Stars wamepata ya kuonekana kuonyesha vipaji vyao. Nikasema kweli Mungu hamtupi mja wake!
Platform kubwa kama hii wachezaji wa...
Usalama wa watanzania ulikaribia kuhatarishwa na wale wote waliouza tiketi za kuingia uwanja wa mkapa kuangalia mechi ya taifa stars v Uganda. Hii ilikuwa na malengo gani? Kuibia watu? Kuua watu...
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.