Tayari Kenya na Uganda wamefuzu...vile vile majirani zetu wa Burundi nao wamefuzu jana...kazi kwetu sisi leo jioni tukaze buti....endapo tutashindwa kufuzu itakuwa ni aibu ya mwaka kwani...
Hivi kwenye mechi ya simba na yanga kuna shabiki au kiongozi wa team mojawapo anayeweza kuingia kwenye chumba cha team pinzani nakupulizia dawa? Uwanja wa wa taifa ni neutral ground zikucheza...
Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Maombi yangu maalum ni kwa Lesotho kupata ushindi mnono wa goli 3 bila kesho dhidi ya Cape Verde.
Kama Lesotho atapata pointi 3 zote kesho na timu ya wema sepetu na bashite ikapigwa 2 bashite na...
Huu mwaka umeanza kutujia vizuri kabisa na tunaanza kuyaona matunda ya juhudi zetu za "miaka nenda rudi" katika kujiinua kisoka.
Ni ukweli usiopingika, tumekuwa watazamaji kwa wenzetu kwa miaka...
Tumejitahid sana kuhamasishana na kujitokeza kuishangilia timu yetu ya taifa, huku tukijipa moyo kuwa Uganda hana cha kupoteza kw kuwa ameshafuzu. Nasikitika sana kuona siasa na ahadi nyingi...
Ndugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu...
Sasa wakuu na wajuvi wa mambo, njooni mtujuze bia moja hapo Serena Hotel ni sh. ngapi? Halafu tugawe kwa nusu bei.
Huu ni uhuni mwingine toka kwa Makonda! Ilipaswa sehemu kama Tabata kuwe na...
Nilikuwa naskiliza kipindi chao cha michezo muda si mrefu(clouds FM) mchambuzi amesema kuwa Libya wanacheza na South Sudan leo na kutoa uchambuzi mrefu tu kuhusu huo mchezo! Mbona ratiba ya CAF...
Mwaka 2000 wakati Wajerumani wakipitia kipindi kigumu kwenye mashindano ya EURO-2000 ndicho kipindi walimuita Lother Mathius aje kuokoa jahazi. Kipindi England walipokuwa na wakati mgumu 2011...
Kama tunavyojua leo timu yetu ya Taifa itakuwa ikitafuta tiketi ya Afcon.Kwa wale tutakaokosa nafasi ya kwenda Uwanjani tujuzane sehemu ya kwenda shuhudia mtanange huo,binafsi nafikiria kuwa...
Ili kodi za watanzania kila mtu, wakiwemo watoto wapenzi wa soka, Basi leo Dakika 90 tu nawaomba mechi hii muoneshe maana ni wazalendo na hata asiye na salio la kifurushi afurahie kodi yake...
Asee nimeamini mkono mtupu haulambwi , tumeona wachezaji wa Simba wakitangaziwa donge nono baada ya kufanya vizuri dhidi ya As Vita , pamoja na kweli As Vita ni timu kubwa vijana wakajituma...
Waandaji au promoter wa hassan Mwakinyo wanamdanganya kwa kupewa bondia Nyanya kama huyu Sergio
Hata wale mlioangalia pambano inaonyesha saana kuwa bondia Sergio ni bondia muuza vitumbua yaani...
Walikuwa wakiojiwa na mtangazaji wa azam aliyepo uwanja wa taifa Timuzo Karugira. Wanasema mambo ya kusubiri mechi ya mwisho uku ukiomba timu fulani ifungwe wewe ushinde inakuwa sio,kama ni hesabu...
Habarini wanajamvi.....
Leo ni mechi kubwa ya kufuzu Afcon 2019,kati ya Tanzania Vs Uganda,na Cape Verde Vs Lesotho...
Hizi timu zote isipokuwa Uganda ambao tayari wameshafuzu,zinapambana ili...
Pambano linafanyika Kenya katika ukumbi wa KCC liko live KBC baina ya Hassan Mwakinyo wa Tanzania dhidi ya Rodriguez Wa Argentina
-------
Bondia Mtanzania amefanikiwa kumpiga kwa TKO mpinzani wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.