Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kesho ni siku muhimu sana kwa Watanzania. Tunaiombea sana timu yetu ya Taifa Stars ifuzu kesho. Ninamshauri Kocha Amunike kuwa kesho kipa atakayeanza awe ni Dida na siyo Manula. Mapungufu ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Asitokee mtu akamdanganya mtanzania kwa namna yoyote ile, ushiriki wetu wa michuano ya mataifa huru Afrika ni muhimu kuliko siasa za kisasa za vyama vingi. Kuonekana kwetu katika michuano hii ya...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Zambia anaongoza kwa goli moja lakini ni bonge la game! Zambia ili aende Misri lazima ashinde ilhali Namibia yake sare tu na atasonga. Sasa balaa linaendelea.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Burundi Taifa Dogo Limefuzu Afcon Leo Hii, Sisi Tunahamasisha Watu Kujaa Uwanjani Na Kuambiwa Tutauziwa Bia ½ Bei Kuliko Kufanya Maandalizi Toka Zamani. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Maumivu nlopata siku twaenda fungwa na Lesotho kule bondeni hata wangemueka dem gani mkali(mzuri) kupita hao wakina wema bado singekuwa na morali wowote kushangilia. Kwanza kufuzu kwenyewe eti...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ?? Naomba mawasiliano kama inawezekana kupata Mawasiliano ya football academies zozote zilizoko Ulaya. Nina watoto under 16 hapa Tanzania nahitaji nitume video zao mbalimbali nione kama...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Wadau kama heading inavyosomeka. Nipo Arusha, nina binti yangu ana umri wa miaka minane (08). Nilikuwa na wazo la kumjenga mwanangu awe mcheza tennis mzuri. Kwa anayefahamu, naomba aniunganishe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Km mfuatiliaji wa mpira wa miguu utagundua askari wa ulaya wao wanaolinda usalama huwezi kuwakuta wanaangalia mpira hata km game Kali VP? Ila bongo hata mechi ya jkt ruvu na ndanda wanaangalia...
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Salaam ndugu zangu. Kwanza awali ya yote, nimpongeze ndugu yetu RC Paul Makonda kwa kuona kuwa sasa Taifa Stars inahitaji hamasa kufuzu AFCON. Hili ni jambo zuri na la kizalendo ambalo kila...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naibu waziri wa maji mh Awesu amesema atawalipia kiingilio mashabiki wote atakao wakuta uwanjani kesho katika mechi ya Stars na Uganda. Awesu amesema atafika mapema uwanjani akiwa amevalia jezi...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Cristiano Ronaldo has been fined €20,000 for his 'cojones' celebration. His contract at Juventus pays him: €31,000,000 per season €2,410,464 per month €602,616 per week €86,088 per day €3,587...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tv ya taifa ya Tunisia, Tunis tv. Jana walionyesha mashaniki wa Esperence wakisheherekea kwenye viunga vya mji wa Tunis baada ya kuambiwa kuwa hawakutani na simba sc ya Tanzania. Wanasema bora...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimepitia katika Instagram page ya #TFF nikitafuta taarifa rasmi za viingilio na wapi nitaweza kununua Ticket leo mapema ili nijiandae kwa mchezo wa kesho kushangilia maana na mm nimehamasika...
0 Reactions
5 Replies
975 Views
Wakuu, Kesho Taifa linaingia vitani kwenye soka kusaka heshima, na kujiweka kwenye ramani mpya ya ulimwengu wa michezo duniani kwa kufuzu Afcon. Tunapokuwa kwenye nyakati kama hizi kitaifa ni...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuelekea kwenye mchezo wa kufuzu kushiriki michuano ya AFCON 2019, Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) limetangaza majina 14 yatakayokuwa kwenye kamati iliyopewa jina la Saidia Taifa Stars ishinde...
2 Reactions
146 Replies
15K Views
CAF opened an investigationI Against simba. watani kunani huko kwenu mbona mnachunguzwa
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Ebwana heee!! Awajama wanapenda sifa bwana kama mnavyojuwa timu yao ya taifa imeishafuzu kwa point 13 kiasi kwamba ata tukishinda au lesotho kushinda atuwezi isogelea kileleni ata kidogo. Ajabu...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
MODS: uchawi siyo uchawa kuna maneno ambayo yamekuwa fuelled na yanga kupitia msemaji wao na kocha wao zahera alichowaambia wacongo wenzake kwamba simba huwa wanapulizia sumu kwenye vyumba vya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wadau.. Naona mikia wamesahau point zao sita wamezipataje ? mechi za away zote zimechezwa usiku mikia wakafungwa zote.. alivyo mpuuzi mechi yake na vita kaiweka tena usiku.. amesahau...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwenye mkeka wangu nimemuua Uganda na Cape Verde
0 Reactions
6 Replies
610 Views
Back
Top Bottom