Moja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO...
Huyu jamaa hajielewi na mashabiki wa simba wanaomsaport
1.wewe boss wako ni Samba Zahera boss wake ni Yanga shughulika na Habari za Simba
2.Kutokusafiri na timu Iringa hilo halikuhusu...
Habari wanajamvi, natumai mu wazma kbsa.
Leo tarehe 2/2/2019. Kuna michezo sita kutoka ktk makundi yote manne yaani A, B, C na D.
Katika Group A. Timu ya Lobi Star ya Nigeria ikiwa nyumbani...
Leo ndio leo asiye na mwana(kandambili) abebe jiweee,
iwe isiwe lazima kombe linyakuliwee,
hii ni mechi kali ,
kati ya mnyama na timu tp wazembe,
mechi inachezwa leo jumapili tr 03/04/2011
Muda wa Yanga kukodishwa Kwa Manji umefika.Yanga mpira ni sayansi sio maneno Na magazeti.Tp Mazembe ni timu kubwa duniani yanga haifanani nayo .Wanachama wa yanga acheni kusema sana hatimaye...
Naombeni mtujuze ticjet zinauzwa wapi na bei zake tafadhari naomba kwa yyte mwenye uelwqa anisaidie hao wanaoongea kuhakasisha watu sioni hata mmoja akizungumzia swala la Ticket l.
Sent using...
Wakuu wote wa JamiiForums,
Leo jumanne jioni ya saa 10 katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam itapigwa mechi kati ya Yanga ya Tanzania na TP Mazembe ya Congo DRC!
Ni mechi ya kimataifa, Kombe la...
Kwa jina la Mwenye enzi Mungu,mtoa Neema kubwa na Ndogo ..naomba uibariki Timu ya Taifa la Leshoto itakapopa mbana na Cape Verde ! Kwa kufanya hivyo utakuwa umeisaidia nchi moja ya Afrika...
Mashabiki wa Tp Mazembe wameonekana wakishangilia katika makao mkuu ya timu Yao mjini Lugumbashi Mara baada ya kupangiwa Simba katika Droo ya robo fainali
Mashabiki hao wanaamini kuwakwepa waarabu...
Kwa Mashabiki, Wapenzi na Wakeleketwa wote wa Simba SC. Kwanza tujipongeze kwa Sapoti tuliyoipa timu yetu Mpaka kufikia hatua ya ROBO FAINALI, ni matumaini yangu kwamba SIMBA itaunguruma mbele ya...
Kocha wa simba, ndugu Patrick Winand J. Aussems, aliyezaliwa tarehe 6 February 1965 huko Moelingen, Ubelgiji. Huyu bwana hatajwi sana kwenye mafanikio ya simba, wanasimba wanawataja sana akina...
Baado ya droo kupangwa jana na timu ya Simba kupangwa na timu ya TP Mazembe ya mjini Lubumbashi mimi mtoa mada nesikia mashabiki wa Simba wakiinadi timu hiyo ya DRC kama ni timu nyepesi eti...
Habari zenu jamani, najua wahusika wapo hapa jukwaani tubaomba sana Uongozi muweke kiingilio cha bei ya chini ili wananchi tuujaze uwanja ktk kushangilia mechi ya Taifa Stars Vs Uganda ipo nguvu...
Kichwa cha habari chajitosheleza hapa naomba kuzimza na kamati ya Ushindi wa Stars ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda, binafsi nimehamasika saana na ushawishi unaofanywa na kamati lkn...
MWALIMU wa timu ya soka ya taifa ya Brazil Carlos Dunga ambaye anaaminika kuwa ndiye mwalimu kiburi,
mwenye kujiona yeye ndo yeye, asiyesikia la kushauriwa,
mwenye vinyongo na waliomzidi...
Nimetafakali kwa kina nikajiuliza hivi tarehe 24 boko anaweza pata clear chance akaweka mpira kambani ili sisi watanzania tusiende misri? Je Juko Mushidi anaweza kukomaa kwelikweli pale nyuma ili...
Kwa taarifa nilizopata ni kwamba mtoto wa mwisho wa Messi amemuomba baba yake amletee mpira wa UEFA, sababu ni kwamba amemiss kuona mpira mpya wa michuano hiyo.
Je, Messi atatoa hela yake anunue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.