Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwakuwa washindi wa pili wa makundi (kama alivyokuwa Simba) watapangwa na waliokuwa washindi wa kwanza, Simba hana jinsi Zaidi ya kusubiri mojawapo kati ya mechi hizi za robo fainali. Leo ndiyo...
12 Reactions
106 Replies
15K Views
Imekuwa ni kawaida na desturi nchini Tanzania ambapo Watu wengi hupenda tu Kusikia maneno matamu matamu, mazuri nay a kutia moyo ila pale ambapo akijitokeza Mtu ambaye huwa ni Mkweli na siyo...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nasikia uwanja wa Mkapa unafungwa mara baada ya mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes tarehe 24 March kwa ajili ya marekebisho ya AFCON under 17, na Simba wamechagua uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nionavyo mimi na kwa mpira waliounyesha simba jana. Naona hakuna timu itakayomzuia simba kubeba kombe la champions league. Sababu zipo mbili 1. Simba wamecheza na kuwafunga al ahly ambao ni...
8 Reactions
90 Replies
7K Views
Simba Sc nafasi ya 20,ipo 20 bora na kina Enyimba, CS Constantine Yanga ipo nafasi ya 54 Source CAF 5-Year Ranking - Wikipedia
4 Reactions
29 Replies
11K Views
Jimbo la Catalonia linalopigia Uhuru wake Kutoka nchini Spain Leo limetangaza timu yao ya Taifa itakayocheza na Venezuela tarehe 23 Machi Timu hiyo itaongozwa na wazoefu Xavi Hernadez na Gerard...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa hakika sikupenda hii ishu niilete huku JF kwa sababu inahuzunisha tena kwa mtu mzima mwenye familia na majukumu chungu nzima halafu apoteze 3m (bonge la mtihani)...so nimeleta huku ili wale...
21 Reactions
176 Replies
14K Views
Habari wapendwa!!! Baada ya kushudia mtifuano wa Simba SC na As Vita Congo na Simba SC na kuibuka mshindi dakikia za 88 na Simba akiongoza mabao 2 Kwa 1 katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
CHUNGU NAMBA 1 KUNA Al Ahly Wydad Esperance Tp mazembe CHUNGU NAMBA 2 KUNA Simba Sundown Horoya Cs Constantine Katika dro ni chungu namba 1 against chungu namba 2 Kwa hiyo Simba anaweza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kichwa cha habari hapo juu chajinyumbulisha. Katika miaka yangu ya kufuatilia soka sijawahi kusikia popote duniani club ya soka inaendeshwa kwa bakuli style wanayofanya Yanga. This is too much...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanzania Premier League leo: Simba Soccer Club 2 Ruvu Shooting 0 Wafungaji wa Magoli Paul Bukaba dakika ya 53 Medie Kagere 56, Mechi imechezwa uwanja taifa dakika 90 na Simba SC wameondoka na...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Nikili kwamba sikuwa mfatiliaji wa hii michuano toka nimezaliwa ila nimeanza mwaka juzi. Ile fainali ya mwaka jana wakati exprence de tunis wanapindua matokeo kibabe ndo ilinishawishi kuwa mpenzi...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
pata habari mbali mbali za kimichezo hapa www.djmwanga.ga
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Nimekuwa nikifuatilia ligi kubwa 4 za ulaya EPL,La liga ,Bundesliga pamoja na France ligue 1 na hata michuano ya uefa kwa miaka kadhaa sasa lakini sijawahi kuona mashabiki wakizimia zimia hovyo na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ilikuwa mwaka1998 mechi ya kirafiki kati ya Bena Tshadi na Basang kutoka kasai m mechi ilianza kawaida tu Mpaka pale mvua ilipoanza kunyesha,timu ya basang ilitoka nje ya uwanja kufuatia mvua...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Inasikitisha sana Yanga kupenda kulalamika kuwa Simba huwa inapulizia dawa kwenye dressing room. Mmewajaza ujinga As Vita wakaja kupiga picha na mask na kuzipost mtandaoni. Yanga acheni majungu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu mashabiki wa Simba, Hongerezi kwa ushindi mzuri tulio upata jana.. do or die imefanya kazi. Wakati mechi inaendelea jana na baada ya mwamba wa lusaka kufanya yake kuna vitu nilikuwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi..... Nimeona TFF wakitangaza kamati yenye wajumbe 14 ikiongozwa na DAB ya kariakoo(Dar Mpya) kama Mwenyekiti.... Unaunda kamati ili iweje? ifanye nini? Taifa stars si...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
wadau woote asanteni sana kwa mchango wa mawazo wenu, nilileta tatzo la pari.match kugoma kunipa pesa yangu lakin juzi wamenitumia pesa yote, kunakaka yangu aliwapigia.sim akawatukana sana na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Waswahili husema kiporo Cha tajiri huwa hakichachi, msemo huu umedhihirishwa na matajiri wa msimbazi kwa kuendelea kutoa dozi kwa timu za Tanzania premier league maaruf kama TPL, Leo mnyama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom