Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Manara amepost maneno na kumuonya Zahera eti ameonekana na timu ya AS Vita Club swali 1.Zahera amevunja sheria ipi ya mpira 2.Mamlaka yapi yanampa Manara kutoa kauli hizo 3. Anawahadaa na...
9 Reactions
74 Replies
6K Views
Kwenye social media mbalimbali hawa Vita wanaeneza tuhuma na wanadai wametuma malalamiko CAF,kwamba Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Simba wame spray sumu. Lakini kwanini malalamiko iwe baada...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Kundi hili ni gumu kama la Simba, ukiangalia pointi zinafanana kabisa. Wakenya pambaneni na nyie muwakilishe E.A kwenye shirikisho kama Simba kwenye club bingwa. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Siku zingine Watu wenye umakini na jambo fulani wakiwa wanaandika na kushauri hapa msiwe wepesi sana wa Kutukana au Kudhihaki na badala yake muwe mnayasoma vizuri, kuyatafakari na hasa muyafanyie...
16 Reactions
82 Replies
13K Views
Yule mchambuzi matata wa soka aliyeitabiria simba kuburuza mkia ktk kundi lake ameibuka na kudai yeye ndiye ameipa hamasa simba mpaka imefika robo fainali.
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Simba kwa mara nyingine imeendelea kupata tabu ugenini kwa kupigwa 2-0 na JS Saoura. Mechi ya mwanzo iliyopigwa taifa Simba walishinda 3-0 kupelekea Saoura kumtimua Nabil Neghiz aliyekuwa kocha...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini, Injinia Patrick Mfugale, alisema ndani ya muda huo uwanja huo utakuwa umekamilika. Alisema uwanja...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
habari za uhakika zinasema chumba cha yanga kilipuliziwa sumu kali iliyomuathiri sana kipa proffesional toka congo ambaye pia ni keeper namba moja wa team ya taifa ya congo aitwaye klaus kindoki...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Huyu jamaa ametutia gundu toka amekuja tz team ambazo zinakuja kucheza na simba tukizishabikia zinafungwa...hii ni kutokana na gundu lake. Nashauri wana yanga kwa kuwa tumeusoma mchezo ili kuitia...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Timu mbovu ya Genoa imemaliza na kusitisha mipango ya timu ya Juventus kuifanya ligi hiyo kama picha ya kihindi , ambapo sterring anapiga wenzake mpaka mwisho wake . Juve imepigwa 2- 0
1 Reactions
5 Replies
959 Views
Ushindi wa mabao 2-1 walioupata Simba jana dhidi ya Vita Club umewapeleka robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika. Hakika wanastahili pongezi kwa mafanikio hayo Watani zetu...
31 Reactions
54 Replies
6K Views
[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya nyumbani) AS Vita (3 points) Simba SC (3 points) JS Soura (3 points) [emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya ugenini) AS Vita (1 point) Simba SC (3 points) JS Soura (3...
7 Reactions
203 Replies
28K Views
Habari Wadau. Kwanza nitoe pongezi nzito kwa Simba SC na Tanzania kwa ujumla kufuatia kufuzu hatua ya robo fainali Africa Champions League, maana hatua hii inaitangaza Club na Taifa. Kumalizika...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Manchester United Fan Commits Suicide After losing Ksh 60,000 in a Single Bet—Photo Manchester United Fan Commits Suicide After losing Ksh 60,000 in a Single Bet—Photo Download Now...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Leo nilishuhudia mechi kati ya timu ya Yanga na Lipuli. Bao lililofungwa Yanga hawakustahili kufungwa kama kweli wangekuwa na kipa mwenye uwezo. Mpira umepigwa umbali wa mita 25 na kwenda moja kwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
tarehe 16 mwezi uliopita sisi vijana wa simba tulimuoa dada yanga na akachagua kuvaa dera ya njano kama shera..basi kwakua dini yetu ya CAF inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja tukaamua tumshirikishe...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Tanzania inawakilishwa na klabu ya Simba. Jana,Simba wamehitimisha michezo yako mitatu ya ugenini/nje ya Tanzania/kimataifa. Katika michezo yote...
18 Reactions
115 Replies
11K Views
Wakuu na wadau wa soka naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa club yetu kubwa ya yanga afrikani kuandikishwa kwenye mpango wa kunusuru kaya masikini nchini (TASAF). Kwani kwa kufanya hivyo...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari ni kama mlivyozisikia,Simba SC tumeingia robo fainali na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania. Tumepitia katika wakati mgumu sana,dhihaka,dharau na kebehi kwa kipindi chote cha mapambano...
22 Reactions
29 Replies
3K Views
Wale wanaorekodi maajabu ya dunia please naomba msiliache hili jamani eti kocha unaacha kwenda iringa na timu yako kupambania ushindi unabaki dar kusubiri simba afungwe.Matokeo yake mtaka vyote...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom