Kuliko kulipa viingilio kwenye mechi za Simba zisizowahusu mwisho wa siku Simba inashinda na inakuwa mmeisaidia kupata mapato makubwa ya viingilio si bora hizo hela mngeichangia timu yenu.
Ni Kweli Rais Magufuli ana Roho Mbaya?
Watu wengi humu wamekuwa wakisema maisha yalikuwa mazuri sana wakati wa awamu ya nne, siwezi kupinga ama kuafiki hilo kwa kuwa sifahamu maisha ya kila mtu...
Club hii imekuwa ikishuka sana kwenye msimamo wa ligi kuu kutokana na kukosekana kwa morali kwa wachezaji na timu nzima kukumbwa na ukata wa fedha.
Wananchi wengi ni wapenzi wa mpira na wanapenda...
Hakuna tangazo linaloniboa kama hili katika Azam media, Azam two na Azam sports HD, umaskini wa yanga unaletwa na wachezaji kutojituma na mashabiki wao wenyewe.
MASHABIKI wanashinda mtaani na...
Muda si mrefu Kagame Cup itaanza makundi yalishapangwa ,Yanga yupo kundi moja na Simba ..Simba hii ambayo imeifunga Vita, Nkana,Al Ahly, Soura wajiandae kabisa
Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita...
Kuna wachezaji 11 kwenye mechi uwanjani lakini Kuna wachezaji muhimu kuamua matokea ya mechi uwanjani.
Tumeona hayo kwa Barcelona umuhimu was Messi pia tumeona kwa Juventus umuhimu was Ronaldo na...
Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni Yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia...
Kama kichwa kinavojieleza Apo juu Kuna baadh ya mechi mnazipa kipaumbele Sana kuzichambua mfano mzuri mechi ya arsenal na man u hamkuchambua mlitupelekesha tu Ila angeshinda uyo man u mngechambua...
Fitina zenu zimegonga mwamba,na mlitegemea tufungwe na AS VITA,mpaka kocha wenu kabaki Dar,Lipuli imewafunga,na As Vita tumewafunga.
Shame on you,mlianza kwa Mbabane,Mkaja,Soura,mafarao,na...
Gemu ya leo masaa machache yaliyosalia ni fainali, lkn Simba wananafasi kubwa ya kufanya vyema.
Rekodi zinaonyesha Simba hawajapoteza mechi yoyote kwenye uwanja wa nyumbani! Dua na maombi...
Habar wana Jf mimi huwa si mdau Wa kuandika humu ila kwa hili ngoja niseme Leo nikiwa katika pita pita zangu huku mkoani Iringa ghafla nakutana na Gari ya timu ya Yanga inaelekea maeneo ninayo...
Eti underdog,
Simba ni mnyama wa mwituni, akikosa nyama hula hata majani,
Nani aliyepinga kuwa Simba hawaingii hatua ya robo fainali?
Yuko huyo zahera? Timu yake imelipuliwa na lipuli huko...
Mechi za mwisho za makundi ya CAF Champions League zitapigwa wikiendi ijayo.
Simba Sc ya Tanzania inashika nafasi ya nne katika kundi lake lakini bado ina nafasi ya kufuzu robo fainali. Mechi za...
Hakika pamoja na Yanga kuishangilia Timu ya Vita kwa nguvu zote hatimaye ule usemi wa "This is Simba " umedhihirika leo Uwanja wa Taifa kwa Vita kulala kwa Bao 2-1 mbele ya Mnyama.Yanga tulieni...
Hongera Wana Yanga badala ya kuishangilia timu yenu huko Iringa eti Mnaishangilia AS Vita ya Congo.Mmevuna mlichopanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho tar 9.3.2019 Simba inajitupa uwanjani kukipiga na J's Saoura na kabla ya mchezo huo As Vita watamenyana na Al Ahly, je matokeo ya mechi hii yaweje ili iwe advantage kwa Simba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.