"Sio mara ya Kwanza huyo Manara kuongea vitu ya ovyo, mimi ni Mkongomani, mimi ni mwalimu wa timu ya Taifa , AS Vita ina wachezaji wanne national timu. . Kocha mkuu wa AS Vita ni kocha mwenzangu...
Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.
Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa...
ni nchi saba tu ndizo zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya caf 2020/2021 Mungu akijalia na hata simba ikiingia robo fainali itakuwa imeiongezea nchi alama 2x5=10 ambazo bado hazitoshi...
*MFUMO WA RANKING NA NAFASI YA TANZANIA KATIKA MASHINDANO YA CAF*
*HISTORIA FUPI*
Shirikisho la soka barani Africa CAF kabla ya mwaka 2004 lilikuwa na mashindano makubwa matatu 1. Champion League...
Kituo namba moja kwa burudani tz clouds FM kesho jumamosi kitarusha live mchezo kati ya simba na As vita ya kongo.
Ni kwa mara ya kwanza kituo hiki kurusha moja kwa moja matangazo ya mpira wa...
Kwa ule upuuzi makomandoo wa mikia waliofanyia as vita umebadilisha mechi kuwa ya kulipiza kisasi na sio yenye lengo la kucheza kirafiki na kwa adabu ugenini.
Leo tujiandae kwa vituko vya aina...
Rais Magufuli alipokuwa Uwanja wa ndege wa Dodoma tarehe 29/04/2017, aliagiza Ujenzi wa Uwanja wa mkubwa wa michezo mkoani humo unaofadhiliwa na Mfalme wa Morocco ujengwe karibu na eneo la Nane...
wakati mjadala wa nani mkali kati ya Leonel Messi na Cristiano Ronaldo ukiendelea Messi ameibuka na kumpa big up mpinzani wake akidai kuwa aliamini Atletico walikuwa na nafasi ya kufanya vyema kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Gelasius Byakanwa Leo Jumamosi Machi 16, 2019 aongoza mazoezi ya viungo na wakazi wa wilaya Tandahimba.
RC Byakanwa akiongozana na mwenyeji wake Mkuu wa Wilaya...
Simba ya Tanzania inajivunia ushindi wa nyumbani wa asilimia 100 ya Caf Champions League na inaweza kuandikisha record ya kuingia robo fainali kwa kuwafunga wageni As vita wa Jamhuri ya...
Serikali imepiga marufuku mashabiki wa Yanga kuishangilia timu ya AS Vita kwani kufanya hivyo ni kukosa uzalendo
Kutakua na askari uwanjani watakaokuwa wanaaangalia mashabiki wote wanaoishangilia...
Nashangaa simba wanakazana na mwinyi Zahera na kumuhadaa tatizo mnadanganywa na msemaji wenu na mnajaa na kuanza kulipuka kama mabomu ya Mbagala leteni ushahidi pia tatizo liko wapi
Haya maswali wanayouliza waandishi wa habari wa kitanzania hakika nimeamini wao "Ndio wanaochafua nchi yetu huko nje"" na si mara ya kwanza hata kocha wa Simba wa sasa amekuwa akilalamika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.