Leo droo za ueropa na uefa champions league zitafanyika.
Droo hii inafanyika pale mchini Zürich, Uswis. Majira ya Mchana.
Timu zinazosubiri kupangwa uefa champions league ni;
Manchester united...
Hajawahi Kunidanganya na ndiyo amekuwa akinipa Matokeo ya Mechi mbalimbali za Simba SC na hata zile za Taifa Stars nami huwa nawawekea hapa hapa kila Kitu na mara nyingi 85% huwa ni kweli kama...
Ebwana kama wewe unajua timu yako imepita kuingia katika robo fainali basi ni vyema ukajua pia kama timu yako imepangiwa na nani. Sasa mambo yote hapo chini kwenye picha ujue kwamba kivumbi...
Habari zenu Wakuu
Kuelekea Mechi Ya Jumamosi Kati Ya simba na AC vita club ya Congo embu Cheki Hizi rekodi za UEFA
.PSG kapigwa Kwao
.Real Madridi Kapigwa kwao
.Baryen Munich Kapigwa Kwao
Na...
Big up kwa timu tajwa hapo juu kwa kufuzu kuingia robo finali, kwani timu hizi zimewatoa vigogo wakiwa hawaamini kama walikuwa na vigogo wenzao, mfano UTD hawakupewa nafasi ya kuitoa PSG...
Katika vitu vilivyosumbua Arsenal kwa miaka mingi ni kupata ushindi dhidi ya Timu kubwa kwenye EPL , mara zote wamekosa kabisa kujiamini wanapopambana na timu hizo , na wamekuwa wakipigwa goli...
Kwa kifupi gym nilishaacha kwenda long time nikaamua kuanza kupiga push up home tu!
Kwa kifupi huwa naenjoy sana hasa marafiki wakija kunitembelea huwa nawapa challenge ya kushindana na Mimi huwa...
1. Kuwa Mshabiki wa Liverpool FC
2. Kuwa Shabiki wa Simba SC
3. Kuwa Shabiki wa Mchezaji Lionel Messi
4. Kuwa Shabiki wa Mchezaji Sadio Mane
5. Ipende sana Bendi ya Wenge Musica BCBG yake JB...
Kuna ushabiki mwingine sio fair kabisa yani kuna mashabiki wa Yanga wanaibeza Simba kuwa hamna cha maana walichokifanya mpaka sasa kwenye mashindano ya Champions league kisa imepoteza michezo ya...
Kama ni kitu nachokiihisi UEFA NI KUTAKA JUVENTUS NA BARCA WAINGIE FAINALI
Yaani MESSI vs RONALDO
kama ilivyokuwa mwaka jana BARCA kupewa Roma kwa bahati tu alikanyagwa ila lengo lilikuwa hilo...
Tangu sakata la Mo dewji kutekwa linalosubiri report ya IGP ili kurudisha imani ya wafanyabiashara wakubwa haswa wa kihindi na jumuiya ya kimataifa ya wafanyabiashara ambao hawaamini billionaire...
Naona # kibao zinatembe janvini na kwenye social media naomba kujuwa ni # hipi inaweza motivate mashabiki na wachezaji kama nilivyo zitaja hapo juu. Get ready for the come back au do or die?
Sijaelewa mantiki ya Zinedine Zidane kurudi tena kuifundisha Real Madrid.
Kipi kimemsibu Florentino Perez na menejimenti kiujumla??
Yote kwa Yote ilikuwa ni suala la muda jambo hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.