Kwa ubabe waliouonyesha usiku wa kuamkia leo ni wazi hao vijana wadogo na wapambanaji watafika mbali.
Matokeo ya usiku ulioisha hayakutarajiwa na yeyote!Wengi wetu tuliamini kwa kufungwa kule...
Mimi ni mzarendo tena kweli kweli ila kwa matokeo ya fc vita ya leo bila shaka safari yenu imefikia ukingoni, unafahamu ni kwanini?
Kwanza mechi ya leo saa nne uwezo wakushinda haupo wala...
Muda wote wa mchezo kuna mtu alikuwa akiwamulika haswa kipa usoni uhuni ule fifa na caf wanauona????kama wanauona iweje wafumbie macho.kwa upuuzi na fitna za timu za kiarabu ndiyo maana wakikutana...
Katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa wa Caf , CS Constantine wa Algeria itakuwa timu ya kwanza kwa robo fainali ikiwa wataepuka kushindwa Ijumaa nyumbani wakati wakicheza na Club Africain ya Tunisia...
Wanayanga wenzangu napenda tushirikishane wazo hili ili kujenga Yanga imara kwa muda wote na kuendeleza soka la Tanzania kwa ujumla. Naumia sana kuona soka letu na timu zetu kongwe haziendelei...
Nimekuwa nikishangaa sana, serikali imejenga Uwanja wa mpira wa miguu wa kisasa,kwa mabilioni ya fedha.Lakini imeshindwa kununua kibao cha kisasa kinachoonesha namba ya mchezaji anayepaswa kutoka...
Nipo kwenye screen naangalia mech ya Simba na soura,
Half time ,soura anaongoza kagoli kamoja, lakini mnyama wa mwituni bado anawinda, atamkamata tu mwarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano ndani ya miaka mitano tukiwa tumefanikisha kujenga academy kwenye kila mkoa, vijana wa kike na wa kiume kutoka kwenye mkoa husika watajiunga na hizo academies, watalipa ada ambayo...
Kwanza poleni lunyasi. Pamoja na kupokea kichapo toka kwa J.S. Saoura bado mna nafasi kubwa ya kufuzu na kuingia robo fainali. Katika kundi lenu mnapishana kidogo sana. Mfano timu ya kwanza ina...
Wawakilishi pekee Tanzania na Afrika Mashariki na mabingwa wa Nchi, Simba SC, Mnyama wanatarajiwa kuondoka jioni hii kwenda nchini Algeria kupitia Dubai, UAE, kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa...
In short Mechi ni half time huko Kinshasa matokeo bila bila...
Wanasimba tuombe tu matokeo yawe hivyo hivyo ama as Vita wafungwe ingawa waarabu wanaonekana kuzidiwa kabisa hapa, wanakaba tu!
Simba...
Nipo kwenye screen naangalia mech ya Simba na soura,
Half time ,soura anaongoza kagoli kamoja, lakini mnyama wa mwituni bado anawinda, atamkamata tu mwarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shirikisho la soka barani ulaya limemaliza utata wa penalti ulitokea kwenye mechi ya mtoano kati ya Man United na PSG na kusema kwamba penalti ilikuwa stahiki.
Mpira ulipigwa na diego dolot na...
Huyu chalii ya arusha imepigwa bao, pamoja na gharama kubwa sana mauzo Yale, namuona anapagawa, juzi baada ya kibano alitoa povu kibao akidai , .....'this a disgrace. They put four people that...
Habarini wakuu, nataka kujilipua kwa kutandika mikeka ya milioni 1
Naomba mtaalamu anisaidie, kitakachopatikana kama nitafanikiwa
basi mgao utakuwa 60% kwa 40% Kama tutakosa hana lawama kwangu
ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.