Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewalipia viingilio mashabiki wa soka katika jimbo hilo kwaajili ya kushuhudia mchezo wa Ligi...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Emmanuel Amunike alikuwa mmoja ya wachezaji wazuri wa naijeria miaka ile ya 90 mnyakyusa huyu na wenzake akina amokachi,george finidi,rashid yekin n.k Sijajua kwa nini alidhani kuwa mbora katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nani atasonga hapo..
0 Reactions
97 Replies
11K Views
Mimi Kama mdau wa soka ninaumia Sana kuona mambo yanavyoendeshwa shaghalabaghala na Tff. Tff Kama wasimamizi wakuu wa Mpira wetu, nadiriki kusema wameshindwa kuusimamia badala ya kutupereka mbele...
9 Reactions
10 Replies
3K Views
Head coach wa team ya taifa Tanzania, Amunike ametangaza list ya wachezaji 25 ambao watatuwakilisha katika pambano dhidi ya Uganda kwenye AFCON 2019. Wapo wachezaji makini sana amewachagua akiwemo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
RATIBA YA FA HATUA YA ROBO FAINAL *ALLIANCE vs YANGA *KAGERA SUGAR vs AZAM *KMC vs AFRICAN LYON *LIPUL vs SINGIDA UNITED *** NUSU FAINAL <*>LIPUL/SINGIDA UNITED vs ALIANCE/YANGA <*>KMC/AFRICAN...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Leo tumeambiwa Kocha wetu anatangaza mjina ya Wachezaji watatuongoza katika njia ya Kwenda Misri! Kwa tabia ya Kocha wetu unaweza kushangaa kusikia amemuacha Boko ,na kumchukua Haruna Moshi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nimeskia promo mbalimbali kwenye vyombo vya habari kuhusu mchezo wa bahati nasibu maarufu kama BIKO...,ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote aliyeshinda ili nami nijaribu...
1 Reactions
474 Replies
132K Views
[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
541 Views
This is a disgrace. They put four people that know nothing about football in charge of looking at the replay for VAR,” he posted on Instagram stories. “There is no penalty. How can it be a...
1 Reactions
3 Replies
810 Views
Soka linalopigwa na BvB, Manchester city na Juventus Turin kwa sasa pale ulaya ni bora na zuri. Zile zama za kina Barcelona na Real Madrid zimefika mwisho. Kwa mtu aliyeangalia game za Juventus...
2 Reactions
56 Replies
7K Views
Hivi man u ni wa kumfunga psg nyumbani tena 3-1 dunia simama nishuke mimi maana ntaona mambo ya ajabu sana[emoji124][emoji124][emoji124]
0 Reactions
27 Replies
3K Views
kwa haya madudu ya TFF...kuunda kamati za wanasiasa, ligi mbovu iliyojaa rushwa na kutokuunda kamati technical sportsmen wa kushauri na kubuni strategies za ushindi kwa timu yetu ya taifa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
mara paap! kikosi cha TANZANIA vs UGANDA hiki hapa. 1. AISHI MANULA 2. HASAN KESSY 3. MOHAMED HUSEN 4. BANDA 5. KELVIN YONDANI 6. JONAS MKUDE 7. SIMONI MSUVA 8. SALUM ABUBAKAR "SUREBOY" 9. MBWANA...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Ukitaka habari zake waulizwe Yanga SC au tazama clip hapa
5 Reactions
13 Replies
5K Views
Mkongomana wa Yanga ambae ndiye Kocha Mkuu Mwinyi Zahera amefunguka na kuipa asilimia 60 klabu ya Simba kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Aidha ametoa asilimia 40 kwa klabu...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Real Madrid kwenye Klabu Bingwa Ulaya (UEFA Champions League). Kabla hawajamsajili Ronaldo: 2004/05 - 16 bora 2005/06 - 16 bora 2006/07 - 16 bora 2007/08 - 16 bora 2008/09 - 16 bora Wakiwa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya kipigo hicho cha kudhalilisha mithili ya mbwa koko aliyekunywa supu ya mgonjwa , Madrid wametolewa rasmi kwenye mashindano hayo Bila shaka huu ndio mwanzo wa kuanguka kwa utawala wa timu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii mechi huwa naiangalia kila siku nikifanya utafiti wa kina kuona kama Yanga alinunuliwa! Kwa kuwa Yanga mpo humu mtuambie mlikula bei gani kama walivyokula Al Ahl, Azam, Lipuli, Stand? Ila...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom