Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ushindi wa goli 1-0 wa Barcelona dhidi ya Real Madrid ukiwa ni ushindi wa pili ndani ya siku 3, unaifanya Barcelona kuwa timu ya kwanza katika Historia ya Ligi Kuu nchi Uhispania kushinda mechi...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana MMU mwenye uelewa wa boxing naomba anifafanulie kwa nini Anthony Joshua na Mayweather haitotokea wakapigana
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hayo ni maneno ya Haji Manara YANGA KUUKOSA UBINGWA WA LIGI KUU BARA KWA MISIMU 10 IJAYO - SALEH JEMBE
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Huwa nachukia sana Viongozi wa Timu za Ligi Kuu ambazo huwa zinacheza na Yanga SC. Kabla ya Mechi zao na Yanga SC utawasikia wanajitapa na kutamba kabisa hadi kutupa Moyo Sisi tusiowapenda Yanga...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukisangaa ya Musa utaona ya Farauni. Leo j5 pana mechi kali dunia nzima wanaiona katl ya Real Madrid ya Barcelona kombe la mfalme. J1 hii timu hizi zinakutana tena kwenye La liga. Wapangaji wetu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wakuu Natumani ni wazima wa afya niko hapa kuona mawazo yenu juu ya ninachokiwaza kuhusu hawa wana masumbwi bora kabisa kwa sasa ulimwengu lakini katika uzito tofauti mmoja...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwanza kabisa niseme mimi ni mtazamaji mzuri wa mipira ya uwanjani (Na hata leo niko uwanjani kwa mechi ya Alliance na Yanga) . Kitokana na kuhudhuria huko nimebaini kuwa timu mwenyeji za Mwanza...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
1.Mwanasoka mkongwe wa brazil Pele, alijipatia jina hilo la utani lenye maana katika lugha ya kibrazil na kireno “ miguu sita” (six feet),kutokana na kuwa na vidole sita katika kila mguu...
5 Reactions
15 Replies
5K Views
Yanga fc leo wanashuka dimbani katika uwanja wa majaliwa, lindi kikipiga na namungo fc katika mchezo wa kombe la FA, _______________ Kipindi cha kwanza kimeisha kwa dakika 46 uwanjani hakuna...
3 Reactions
128 Replies
14K Views
1.Arsenal wanashikilia rekodi ya kuwa timu pekee kucheza mechi ya UEFA ikiwa na wachezaji 11 wa mataifa 11 tofauti. Yaani kila mchezaji alikuwa na taifa lake! 2.Real Madrid inashikilia rekodi ya...
12 Reactions
44 Replies
22K Views
Ushabiki mwingine sio kabisa yani mashabiki wa Yanga kila match ya Simba hata kabla haijaanza wanasema match imeuzwa. Yani team itoke kufungwa match mbili mfululizo kwa idadi kubwa ya magoli...
13 Reactions
45 Replies
6K Views
Ligi Kuu ya Tanzania kwa mzunguko huu wa lala salama, hakuna Klabu ya mpira yenye uwezo wa kuifunga Simba SC kutokana ubora wa kikosi. ••Watafanya Nini Sasa Uwezo Hamna Simba SC imekuwa...
6 Reactions
128 Replies
12K Views
Huu ndio ukweli MCHUNGU ! Matola ana roho ngumu sana kwa Timu yake ! Je, upi ni utabiri wako?
7 Reactions
184 Replies
16K Views
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Simba SC, leo Februari 26, 2019 wanashuka dimbani wakiwa ni wageni kumenyana na Lipuli FC katika mchezo wa marudiano wa raundi ya pili msimu huu...
6 Reactions
264 Replies
30K Views
Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo. Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina...
5 Reactions
72 Replies
11K Views
Hapa inaonekana wachezaji wa Mbeya City wakiwa 11 uwanjani ingawa mmoja wao alipewa kadi nyekundu. Update toka gazeti la Mwananchi: WAKATI macho na masikio ya mashabiki wa Yanga yameelekezwa...
0 Reactions
73 Replies
15K Views
Hivi kwanini TFF wanatutajiaga mapato ya uwanja wa Taifa tu? Hasa mechi za Simba vs Yanga Huko mikoani watazamaji wanaingiaga buuureee? Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi Sioni faida yao Azam hadi sasa, au bado mapema?
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Kuna habari inazunguka mitandaoni kwamba Kocha wa Yanga ( Ambaye pia ndio Mganga wa timu hiyo kutokana na kuwahi kufanya shughuli za uganga kwao Congo ) , Ndugu Zahera Mwinyi ana mpango wa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Hii imetokea Leo kwenye mechi dhidi ya simba
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Back
Top Bottom