Wadau wa soka naamini mmeona mgawanyo wa mapato katika Mechi ya Simba na Yanga. Binafsi naiona TFF inavinyonya Vilabu kwani kuna mapato yanaitwa
1.TFF
2.TPLB
3.GHARAMA ZA MECHI
Binafsi naona...
Mkuu wa kitengo cha habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara amemvisha jezi ya Simba, mkuu wa wilaya ya Arumeru ambaye shabiki wa Yanga na aliyewahi kuwa Msemaji kunako timu hiyo Jerry Muro, katika...
Moja kati ya mashabiki feki na waajabu kutokea ulimwenguni ni mashabiki wa Yanga, Wakati timu yao ikiwa kwenye kipindi kigumu cha kutembeza bakuli la michango ya kuendesha timu wao kama kawaida...
Baada ya mechi ya mtani wikiendi, Simba Leo yuko jijini Arusha kuendele na safari ya ligi kuu kwa kukwaana na African Lyon. Simba inayokabiliwa na mechi nyingine dhidi ya Azam Ijumaa inaingia...
Nimeota kama tunahitaji ushindi mechi na Uganda mgeni rasmi aje rais Mstaafu Ali hassan Mwinyi hakika naona AFCON EAC
Ikumbukwe;
Uganda wamepita
Kenya wamepita
Tanzania?
Cc: Hon Karia
Cc: Hon...
Katika dokezo lililotolewa juzi la makundi ya timu kuwania kushiriki AFcon 2019 Tanzania ina fursa ya kuingia. Je watanzania tufanye yapi ili timu yetu nayo iweze kushiriki na ikiwezekana ichukue...
.....Kwa maono Ya MO naona Simba inakuja kupasuka na kusukwa Upya.... Kuna wachezaji wengi watapotea Pale... Baada ya LEAGUE kuisha.
But Kuna Mwanga Unakuja mbele. Hongereni Sana
Sent using...
Kweli "Nyani haoni kundule" Klabu ya Yanga Na mashabiki wake wamekuwa wanahubiri Washabiki wa Simba kung'oa Viti Uwanja wa Taifa.Napenda kuwa kumbusha Mashabiki wa Yanga wawe Na Kumbukumbu Mechi...
Kesho kutakuwa na mechi kali kati ya watani wa jadi yaani Yanga na Simba.
Kwa ushauri wangu nakuomba upange timu mahiri yenye kuzuia akina Okwi, Kagere, Bocco, Chuma n.k. Kamwe siku ya kesho...
Jarida la soccer nchini Brazil (placar) limemtaja Neymar kama mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika historia ya soccer la Brazil baada ya nguli Pele
.Aidha mourinho amelipinga jarida hilo...
Kocha wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amekisifu kikosi cha klabu ya Simba na kusema Wachezaji wa Yanga walikosa ubunifu ndio maana wamepoteza mchezo wa jana
Zahera amesema ushindi wa jana wa...
Goli kama lile alilofungwa Kabwili huwezi kumfunga Kakolanya , huo ndio ukweli
Binafsi nimefurahishwa na ushindi wa Timu yangu ya Simba lakini ni wazi kabisa kwamba kutokuwepo kwa Kakolanya...
Kimya kimetawala Yanga haina mwenyekiti na uchaguzi uko kimya. Hii inamaanisha nini, Manji karudi au TFF na BMT walitishia nyau kutangaza uchaguzi wa mwenyekiti na wajumbe wengine?
Manji ni mtu...
Raisi wa Russia Vladmir Putin mwenye umri wa miaka 66, jana alijiunga na wacheza judo na kupiga zoezi kwa saa moja bila kupumzika.
Putin mmoja wa viongozi huyu wenye nguvu duniani alijiung ana...
Nilichokiona kama taifa tuna safari ndefu sana kimichezo kama tutakuwa na aina hii ya viongozi katika ngazi ya vilabu, yani Mh Rais aache kufanya kazi za maana aingilie vitu vya kijinga kijinga
Kuelekea pambano la kukata na shoka Jumamosi Februari 16, 2019 la watani wa Jadi (Kariakoo Derby) katika mfululizo wa Ligi Kuu ya Tanzania 'TPL' Simba SC Mnyama, Wekundu wa Msimbazi dhidi ya Yanga...
Sijui ni nini ushabiki unakua mkubwa mitaani kuliko kiwango tunachokuja kuonyeshwa uwanjani....hizi timu kwa Mimi naona in kama zimezeeka sasa so kama ilivyokuaga miaka ya nyuma...nilitegemea...
Hellow, ndugu wanajukwaa naombeni mwenye group lolote la michezo anajoin au kama hakuna tunaweza tukaanzisha group letu wenyewe
mwenye Link Atuwekee Sote Wapenda Soka
Nawasilisha
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.