Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nilikuwa naangalia kwenye simu yangu nipate update ya Game ya Simba vs Yanga Mara naona imeandikwa itachezwa @10:30 AM...imenisikitisha sana! It is a human error but it can also be a negligence...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuelekea mechi ya watani wa Jadi, Yanga dhidi ya Simba Jioni ya tar 16/02/2019 Uwanja wa taifa, Dar es salaam Weka ubashiri wako hapa ukiweka mbali ushabiki na mahaba kwa timu yako Sent using...
0 Reactions
119 Replies
12K Views
Leo tarehe 12/2/2019 clabu ya simba imekanusha kwa vitendo kwamba underdog sio jina lake sahihi, baada ya kushikilia nafasi ya pili katika ligi hii kubwa ya clabu bingwa Afrika . Hii ni baada ya...
1 Reactions
59 Replies
14K Views
Kasema yafuatayo: 1. Wanayanga wote watakaoenda Uwanjani wahakikishe wameshandika ' Urithi ' kwa Watoto na Wake zao. 2. Wanasimba wote wahakikishe wanavalia tu Nguo Nyekundu na asibakie Mtu...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Jioni moja ya mwaka 1977 katika uwanja wa Taifa ( sasa Uhuru ) Simba SC ilifanya mauaji ya Shurabela, kwa kuwakandamiza Yanga goli 6-0 huku Abdalllah Kibadeni Mputa akitupia Hat trick katika...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Mechi za Simba na Yanga huwa zinakosaga mchezo wa kiufundi zaidi ni kukamiana,tuombe viongozi wa timu hizi wabadilike wazio ngoze timu hizi ktk weledi wa mpira badala ya mambo ya...
0 Reactions
4 Replies
875 Views
Mara nyingi kocha wa Yanga Mwinyi zahera amekuwa amekuwa anatoa kauli kwamba timu yeke inapocheza na timu yoyote timu wanayocheza nayo inakuwa imehongwa na timu nyingine ili kuikamia Yanga ifungwe...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Katika press conference aliyofanya leo sambamba na Dismas Ten,Mwinyi Zahera amesikika akilaumu upangaji wa ratiba ya michezo ya ligi pamoja na kumtuhumu Refa aliechezesha mchezo kati ya Yanga na...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu, itabidi Katikati mtanange ujao, Wekundu wa Msimbazi wawapige Yanga sio chini ya goli tano ili tuheshimiane.....
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Kumekuwa na shida sana kuhusu kupata tyiketi ktk mchezo wa watani wa jadi wa Yanga na Simba kiasi cha kuleta mkusanyiko mkubwa sana siku ya mchezo pale tiketi zinapouzwa uwanjani. TFF watujuze...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa aliyetazama game ya Real Madrid na 'watoto'wa ajax Amsterdam atakujax baliana nami kuwa madogo wapo vizuri sana Nakumbuka Jana Kipindi cha Kwanza karibu chote Mpira umechezewa half ground...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa hali iliyofikia viongozi wa chama wakae walitafakari hili kama vile chama kilivyoiokoa channel ten ndivyo hivyo chaweza kuinusuru klabu ya Yanga, tena uzuri hakutakua na gharama za kununua...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Dr. Mwakyembe anakerwa na jina tajwa hapo juu ila hachukii trwni ya umma kuitwa ya Mwakyembe NB: mwenye kale ka clip atupie plz... This Tanzania... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Habari Zenu! Jumamosi Hii Tanzania Itasimama Kushuhudia Mechi Kubwa Kuliko Mechi Yoyote Hapa Afrika Mashariki Na Kati, Kariakoo Darby Yanga Watakuwa Mwenyeji Wa Mchezo Huu, Utakaofanyika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba tutabiri kwa pamoja kama Wanamichezo baada ya jana tu Timu ya Chelsea ya nchini Uingereza kupokea Kipigo / Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) kutoka kwa Manchester City kwa Kufungwa Goli...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) Jumanne ya Februari 12 watakuwa kwenye uwanja wa...
8 Reactions
385 Replies
25K Views
Jamani jamani kati ya vitu tulivyorithi kutoka kwa wakoloni wetu hawa wa mwisho ni majigambo! Mpira wetu na wao unafanana kwa kuchezwa na mdomo. Tena bora hata wao wanajitahidi timu yao ya taifa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari Wakuu! Wanayanga tupo? Mimi ndo natoka zangu maeneo kazini kwangu naelekea Uwanja wa Taifa kushuhudia mtanange wa kihistoria kati ya Simba dhidi ya Al Ahly. Ninatumaini kuwa kwa pamoja...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Simba leo tunapindua, matokeo, hakika tutawashangaza hatoki mtu Leo. kwa mchina ni machinjioni kwa yeyote anaye karibishwa tulianza na Swaziland mbane, akafuata nkana akaja mwarabu js soura toka...
8 Reactions
164 Replies
18K Views
Kazi imeisha kwa mchina lakin ndio kwanza tunaanza upyaa huku mwendo w kagere kufumba jicho moja. This is Simbaaaaaa.[emoji116][emoji116][emoji123] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom