Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni goli la Feisal Totooo,Yanga waendelea kujikusanyia point muhimu.Nimeona nilete hii habari maana jana yote hakuna aileleta watu wamekuwa kimya sana baada ya Al ahly kuingia jijini.
1 Reactions
1 Replies
766 Views
Hakika Soka la Bongo ni Siasa tupu ni kama Chadema vs Ccm.Ukipigania haki yako ndani ya TFF utashtakiwa FIFA na ikishindikana utajikuta uko PCCB na hatimae Mahakama za Kisutu hiyo ndio TFF yetu ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kumshikilia aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Michael Wambura kwa tuhuma za rushwa na leo itamfikisha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Uso wa Mo Dewji katikati ya ujanja na ujinga wa Haji Manara Kalamu ya Ally Kamwe Kwa Jicho lingine. Kwa mtazamo mwingine, Press ya Simba Sc leo imetuonyesha kilichojifisha katikati ya ujanja na...
9 Reactions
28 Replies
5K Views
jina la ubatizo chelsix,daah life iko na kasi sana
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Mchezo unatarajiwa kupigwa katika dimba la Namfua Singida Twende pamoja ........... MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida United dhidi ya Yanga kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa pili Uwanja wa...
1 Reactions
203 Replies
18K Views
Pamoja na yote yaliotokea uwanjani lakini samata ameunyesha kiwango kizuri..i can see a better future for him kama atatulia na kuelekeza akili yake kwenye soka..ila akiendekeza misifa badala ya...
0 Reactions
95 Replies
17K Views
Msafara wa klabu ya Simba SC, Mnyama ukiwa na wachezaji 20, benchi la ufundi pamoja na baadhi ya viongozi umeondoka nchini leo Januari 29, 2019 kuelekea nchini Misri tayari kuwakabili klabu ya...
4 Reactions
86 Replies
10K Views
Kocha bora wa mwezi january na kocha mkuu wa clab ya KMC bw Etiene Ndeyiragije huenda akatua msimbazi. Kutokana na clabu hiyo kupata matokeo mabovu, mashabiki na wanachama waliomba kocha mkuu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Aisee katika hali ya kushangaza nikiwa naona kipindi fulani kwenye TV nilishangaa kuona Yanga wamefungua akaunti kwa ajili ya kuomba watazaji michango. Wanawachoresha wachezaji wakishawishi...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City. Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi...
14 Reactions
170 Replies
15K Views
SHUKRANI: Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugezi Simba na Mwenyekiti wa Simba waliwashukuru watu wote kwa support yao kwa Simba mpaka sasa kwa nyanja zote. SHABAHA Majengo makubwa yalijipangia wote...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Arsenal alipofungwa bao 5 na Liverpool akaja kugeuza matokeo na kumtandika Chelsea bao 2 mtungi , hakuna haja ya watanzania kukata tamaa , leo ushindi ni wetu. Nakala : Shafii Dauda
6 Reactions
36 Replies
5K Views
baada ya yanga kupoteza alama 7 mpaka sasaiv kufatia kukubali kichappo cha bao 1-0 kutoka kwa stand united SC ya shinyanga imefanya vita ianze upya zidi ya watani wao wa jadi wekundu wa msimbazi!!!!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Peter Manyika golikipa wa zamani wa Yanga amekaririwa na blog ya Salehe Jembe akimshauri Beno Kakolanya arudi kumwomba msamaha mwalimu wake Zahra ili arudishwe kikosini. Pia amegundua Benno...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Yaani hakuna ubishi kila mpenda soka Tanzania alipoona hekaheka za usajili Kwa akili ya klabu ya Simba alikubali kwamba Simba wameamua na mambo yatakuwa safi Lakini pamoja na gharama MO...
4 Reactions
14 Replies
8K Views
Wasalaam! Kwa wapenda michezo wote wa Tanzania. Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) ndilo limepewa dhamana ya kusimamia mpira wa miguu Tanzania kwa usawa na haki. Lakini kwa hali halisi...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Mara baada ya msemaji wa simba sc kutoa kauli tata bosi wa klabu hio Tajiri kijana bwana Mo Dewji kupitia platform yake ya Facebook na Instagram amempiga kijembe cha kiaina msemaji huyo...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
huu ndo ushindani wa ligu unaonoga wa mpira wa miguu mmana hujui nani keshio atakuwa kileleni......wanacheza ligi zote Ligi kuu yenyewe,FA cap,UEFA Champion League ,Europa Cup lakini hakuna viporo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom