Ukiachana na ushabiki wenu wa mpira wa simba na yanga, ukachimba zaidi utaibuka na mambo mapana sana juu ya uanzishwaji wa timu hizi mbili,
Lengo kuu la Nyerere na Karume kuanzisha timu hizi...
Kocha hajafukuzwa
Benchi la Ufundi halijaguswa
Wachezaji hawajachunguzwa au kuwajibishwa
Viongozi hawajafukuzwa wala kuhojiwa
Timu iliyofungwa na Simba katika mechi ya kwanza ilishamtimua Kocha...
Simba imepigwa na Al Ahly, sasa ni wajibu wao kukaa chini na kufanya tathmini kwanini walipigwa.
Kwanza ni kujidanganya sana kuwa Simba inaweza kuifunga Al Ahly, timu yenye rekodi nzuri mno...
Huu mjadala imetawala kwa sasa duniani kote nani zaidi kati ya Mess na Maradona..
Binafsi Mess ni bora zaidi ya Maradona, licha ya kwamba Maradona sijamwangalia wakati wake zaidi ya kwenye...
Watu wangu wa Arsenal tusikufe moyo ni Ten minutes past,and anything can happen in football,Bado tuko strong nikaa man city wanataka ku revenge na sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Klabu ya Simba ya Tanzania inayoshiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika hatua ya makundi iko mbioni kuweka rekodi barani Afrika kwa kuwa timu ya kwanza kufungwa magoli mengi katika hatua ya...
Fear factor ninile hali ya kuogopwa na timu mbali mbali mara ukutanapo.
Hii factor huzisaidia sana timu kubwa kuweza kupata matokea mazuri ikiwa hata imecheza vibaya sana dhidi ya timu za...
Mechi 6 za mwisho kat ya Yanga na Al ahly.
Kwetu Yanga 0 - 0 Al ahly.
Kwao Al Ahly 2 - 0 Yanga
Taifa Yanga 1-0 Al Ahly
Kwao Al Ahly 1 - 0 Yanga , tukatolewa kwa matuta 5 - 4. Apo Al ahly...
Tumeangalia mechi ya Al Alhy na Simba huku wachezaji wazawa watatu tu Aishi Manula, Jonas Mkude na Rashid Juma wakipata nafasi ya kuanza wengine waliobaki ni hawa tunaowaita wa kimataifa, kwa muda...
Waweza sema kama Beberu (Aussems) hajakidhi matakwa ya Mo na Manara kuifanya Simba iwe kama Mazembe au Barcelona basi Mo akampigia magoti Masoud Djuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tofauti kubwa ya kiwango walichoonyesha dhidi ya AS vita na kisha Al Ahly, hawataweza kuwafunga hata hapa nyumbani, watachezea japo sio goli nyingi kama za ugeninu wakijitahidi
Wakienda...
Simba ni kama WAKURYA wababe wakiwa TARIME wakija dar wanauza mayai. Ile ni aibu KUBWA haijawahi kutokea kwa kilichofanyika sinto kaa kuwasamehe hawa watu bora niwe shabiki hata Wa netboll...
Kwa muda wa kama wiki tatu hivi nimeanza kuangalia ligi kuu ya nchini ujerumani. Game ya tarehe 26 january kati ya Freiburg na Hoffenhaim iliyoisha kwa ushindi wa hoffenhaim kushinda 4-2. Hii game...
Tumekusia juzi kwenye mkutano maneno uliyosema kuhusu ndugu yetu aliyeumizwa na risasi 32. Ila nakukumbusha yaliyomkuta mwenzio Alhaji Omary Juma wa Yanga . Una nyumba ya vioo halafu unaanza...
Nikiwa Shabiki kindakindaki wa yanga.. nimeamua kuweka bet iwapo underdog fc watamfunga Al ahly.. basi ntampa mdau dadangu aende kujipigia mpaka achoke! najua haiwezekani coz mbumbumbu...
Nilishasema huyu mtu hana tofauti na malinzi, Rais alikuwa Sir leodiger Tenga tu hawa wengine wamekuja kuzoa utajiri tu
Kumbe alimfungia wambura ili azitafune bila kelele
Wapenda sport wenzangu mnatambua kuwa kesho 2/2/2019 kuna mchezo kule Misri. Sijaona Chanel ya TV ikijinasibu kuturushia matangazo hayo mubashara kama ilivyokuwa kule Congo. Hivi ni Chanel gani au...
Hawa tff wamekuwa sababu kubwa ya wadau wa Michezo kukimbilia mahakamani, hebu angalieni suala la kakolanya wamelikalia kimya huku mchezaji akiendelea kuharibu kipaji kwa kukaa bench, wanategemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.