Bahati (chance) ilitumika kuifikisha Simba hatua ya makundi kwenye mashindano yanayoendelea ya CAF. Kubahatisha huku ni dhahiri kutokana na idadi kubwa mfululizo ya magoli inayofungwa na ndugu...
Kocha wa Al Ahly Martin Lasarte ametaja majina ya kikosi chake cha wachezaji 21 ambacho kimesafirisha usiku huu kuja Tanzania ili kukabiliana na Simba SC katika mechi ya hatua za makundi ya klabu...
Kwanza niwahongere wana Simba kwa kutupa raha! Wachezaji na wapenzi wa Simba mmefanya wandaz!
Sipati picha kama leo tungefungwa 5 tena! Sijui tungelalaje leo, maana vyura majike wangepiga...
Ilitarajiwa wangekutana na joto kali lakini daah,haka ka mvua jamani,watakutana na hali nzuri tyu ya hewa kilichobaki wachezaji wa simba mpambane sana
Nimefurahia kauli ya Mo kuhusu wachezaji...
Na wa Porto pia. Tunakutana hapa kuuona mwisho wa simulation & diving masters na wamwaga pombe. Macho yangu yatakuwa kwa Verratti, Marquinhos, Danilo na Casemiro. Fingers crossed angalau moja ipite.
TAHADHARI NA WITO KWA WANA SIMBA WOTE:
Kumekuwa na wimbi linaloendelea sasa mitandaoni la kutoa mambo yanayofanya taharuki au kuleta mijadala milngoni mwetu.
Hasa taarifa hizi:
1. Kocha msaidizi...
Kwa sifa alizonazo mnyama simba mfalme wa nyika ni
wazi sasa hivi timu ya simba kulitumia jina hili kimataifa tunamdhalilisha mnyama huyu yeye kama mnyama jasiri lakini pia tunaua au kudhoofisha...
Kutokana na tabia iliyojengeka ya ushindani kati ya klabu mbili kubwa za mpira nchini yaani Simba na Yanga; uzalendo wa nchi umekua ukikosekana hasa pale timu yetu ya ndani inapokua inacheza na...
Kwanini azam tv kila siku mnatuwekea matudio ya mechi ambazo simba alishinda tu kwanini hamuweki ambazo alishindwa ili kama ni kufanya masahihisho tujue wapi tumefail.
Hizi mechi za kmataifa...
Wakuu Kuna Taarifa Kwamba Michael Wambura Yuko Pccb Upanga Wamemkamata Toka Juzi Jumamosi. Na Kuna Taarifa Kwamba Wanaweza Wakamfikisha Mahakamani Leo Na Wakampa Kesi Ya Money Laundering...
Ukweli mchungu Karia ana asilimia kubwa ya kushinda ,kila la heri Ally - JamiiForums
Michael Richard Wambura alikuwa hajui anapambana na nguvu gani.Kipindi cha uchaguzi nilitamani sana Ally Mayay...
1. Kuona askari wenye virungu wakisindikiza wachezaji wakati wa kutoka au kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
2. Askari Polisi kujazana uwanjani na kuanza kutazama wachezaji ndani ya...
Mimi ni shabiki wa yanga a.k.a ombaomba, vyura fc na majina mengine mengi mnyotuita ila ndo nipo huko. Niliiona press yako Bw Mohammed na nimeona posts zako Manara kule insta. Wote mnomba...
Sarri zamani alikuwa na kosa mmoja, la kuwapangua wachezaji huku Kante akipelekwa mbele, Kovacic/Ross nao wanapatikana mbele, alafu mlinda ukuta anakaba kama anaangalia movie la Sunnillshet vile...
Get rid of David Luiz; Kepa and Alonso from first team.
Davis Luiz si wa kuamini anacheza slow hana pace akikutana na mtu kama aguero ni zahma
Alonso same, Pia hilo kipa ni kimeo.
Kante acheze...
yaani sisi tupo kwenye vita kali na mabebebru halafu serikali ya zanzibar inawalamba miguu?kwa ajili gani jamani?watalii? tutaenda sisi wenyewe wasitutishe bana, watakuja hata rafiki zetu w...
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la soka nchini TFF Michael Richard Wambura amefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo amesomewa mashitaka 17,yanayohusiana na ubadhirifu na matumizi...
SIMBA SC NI ZAO LA YANGA SC
Jambo moja ambalo wengi hawalijui ni jinsi Yanga na Simba zilivyotokea na chanzo cha upinzani wao mkali.
Mwaka 1928 Yanga ya sasa ilijulikana kama ' the Navigators '...
Nimekuwa nikijiuliza kwanini Mbwana Samatta ameganda pale pale Genk KRC pasi na kusonga mbele.?
Wamekuja wakina Bailey wamesepa..
Wamekuwa wakina Ndidi wamesepa...
Kwani uwezo wake unatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.