Wakati tetesi zikivuma kuwa Steven Gerrard anajiandaa kutangaza kustafu kabisa soka katika timu yake ya L.A Galaxy.
Leo tuangalie viungo watatu wa Kiingereza waliotamba kwa miaka 15 iliyopita...
MAFANIKIO YA CHRISTIAN RONALDO NI MAUMIVU MAKALI KWA MAMA YAKE MZAZI. '
Usibishe. Tangu akiwa angali tumboni mwa mama yake mzazi 'Maria Dolores'. Tayari Mwanasoka Bora Ronaldo alisha yaonja...
Leo hii usiku majira ya saa 5 kamili usiku michuano ya vilabu bingwa barani ulaya itakua inaendelea
Zamani ilizoeleka katika hatua ya robo fainali zilikuwepo timu 2 au mbili, lakini hadi sasa...
Sababu zipi timu zetu za Afrika zinakuwa nyanya (5-0, 5-0, 2-0, n.k) ugenini na kuwa imara (3-0, 2-0, 1-0, nk) nyumbani tofauti na Ulaya ambako timu inapindua matokeo hata ugenini. Hii ni dalili...
Wengi hamuijui hii,
MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI,
Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO, kati ya ARGENTINA na MAREKANI
Kipute kilipigwa dk 90 wanaume wakatoka...
Habarini za mda huu wadau wana sport wenzangu, naombeni uliza eti kuna apps ya kutabiri matokeo ya mpira yani , TIPS BEATING PREDECTION nimesikia kwamba kuna iyo apps ndio maana nime leta hii mada...
Paul Pogba anatarajiwa kuchukua majukumu yake ya upigaji penalti kwenye mechi ya Arsenal itakayochezwa muda mchache ujao.
Marcus Rashford alipewa majukumu hayo kwenye mechi na PSG na kuivusha...
Bolton confirm players and staff have been paid February salaries
By Dan Sansom
Last Updated: 12/03/19 5:05pm
Bolton have confirmed that all outstanding salaries for players and coaching staff...
Muda mfupi uliopita haji alikuwa na press conference, lakin muda wote WAKATI anaongea sijakuelewa kabisa ulichotaka kukiongea, Mara Simba n timu kubwa haiendeshwi kwa mabakuli, Mara Simba ndio...
umevimbiwa na shibe, unawaita mashabiki mpururo wale wa buku 7000/= unasahau kuwa wale ndio huwa wanajaza uwanja? ni dharau na kiburi kilichopitiliza
waombe radhi
Hapa siizungumzii Manchester City, la hasha nawazungumzia manchester united, mabingwa wa kihistoria kunako ligi ya uingereza, naam ni manchester united ama mashetani wekundu ukipenda.
Man U kama...
Wakuu, jana palikuwa na mechi (TPL) kati ya Biashara United na Ndanda FC, kilichonifadhaisha mtazamaji nilikuwa peke yangu katika banda umiza.
Hii imenifanya kuona umuhimu wa 'media' zetu kutumika...
Kama kichwa kinavyojieleza,
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Yanga kwa kutuletea Maestro Middo Papii Kabanga Shishimbi kakifunika kikosi kinachosemwa cha 1.3 b...
Mwenendo wa timu ya Real Madrid unamaanisha kwamba muda wa kocha wake mpya unahesabika .
Hii timu haina utaratibu wa kuvumilia ujinga , kipigo cha leo cha 3 - 0 dhidi ya CSKA MOSKVA ni cha...
Mbunge kutoka Uingereza alitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Ulimwenguni(FIFA) kuchunguza tuhuma za kuwa nchi ya Qatar ilitoa kiasi cha Dola Milioni 400 kwa FIFA ili ipewe uenyeji wa Kombe la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.