Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama kuna Mtu ambaye atakuwa na furaha Kubwa na ya Kifani pale Timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars ) ikifungwa na Kushindwa Kufuzu AFCON basi bila Kupepesa Macho, Kumung’unya Maneno wala...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Yanga, Azam na vilabu vingine vya ligi kuu mnaonaje Tanzania tukipulizia dawa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo vya timu ya taifa ya Uganda. Maana nyie ndo mnajua kama dawa ilikuwa inafanya kazi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Huu ndio mchanganuo wa prizes mpya za CAF kuanzia 2017-2020 kwa CAF Champions. Baada ya kukunja mabilioni kwenye hatua ya makundi,sasa Mnyama wenu tumekunja tena USD 650,000 sawa na takribani TZS...
19 Reactions
96 Replies
11K Views
Kuondoka na kurudi kwao kwenye vikundi vyao kunafanana kabisaaa! wote waliandika wenyewe barua za kujiuzulu ambazo hazikuidhinishwa na mikutano yao mikuu. Ova
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunajua kuwa Babu Cheche na baadhi ya viongozi kwa kushirikiana na wachezaji kadhaa waliamua kumhujumu Pluijm ili atolewe apewe team huyu anayeitwa babu cheche. Inafahamika pia mshahara anaopokea...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna maneno mengisna miongoni mwetu washabiki wa Simba ,kuwa Kocha Mwinyi Zahera alikuwa bega kwa bega kuisaidia Vita .Matokeo yake alikosa muda wa kuungana na timu yake kwenda kuwavaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Top 3 wanaoteseka na kuumia zaidi kwa maana mda wote walikuwa wanaomba simba fc apoteze. Umaarufu wao pia utashuka mtaani hadi Simba atakapotupwa nje ya mashindano ya Club bingwa Africa . 1...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa barua kutoka RITAzilizosomwa Radio Uhuru fm katika kipindi chao cha michezo sio halali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Goalkeepers: Denis Onyango (Mamelodi Sundowns, South Africa), Robert Odongkara (Adama City, Ethiopia), Salim Jamal Magoola (Al Hilal, Sudan) Defenders: Murushid Jjuuko (Simba, Tanzania), Denis...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wasalaam.. Kwanza kabisa lazima tukubali mpira ni mchezo wa kistaarab na wa amani na wakudumisha mahusiano....na si vurugu na uhuni. Simba wanakuwa wajinga na wahuni kuwazuia wenzao kufanya...
4 Reactions
76 Replies
8K Views
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura! Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo: 1 Al...
10 Reactions
189 Replies
22K Views
INASIKITISHAA SANA NOW DAYS KILA.MTU ANAJAZA UJINGA WAKE HATA OOST.ZISIZO NA MASAANA..ILIMRADI AMEMALIZA SIKU INASIKITISHA SANA
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wote mtakubaliana na mimi kwamba as vita aliecheza kipindi cha kwanza sio yule aliecheza kipindi cha pili...zilikua ni team mbili tofauti kabisa. Kipindi cha pili as vita walionekana kulegea na...
6 Reactions
131 Replies
13K Views
Binafsi naona ratiba inaibeba Simba SC na kama watalitambua hilo, wanaweza kupenya kwenda robo fainali. Simba SC ataanza nyumbani na Saoura kabla ya kucheza mechi mbili mfululizo ugenini na AS...
38 Reactions
60 Replies
11K Views
Kuelekea mechi ya Simba SC dhidi AS Vita Club kutoka Kongo, hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, mchezo utakaovurumishwa Jumamosi Machi 16, 2019 kunako Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
14 Reactions
185 Replies
19K Views
Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo..Lazima wafungwe hawa under dog
12 Reactions
300 Replies
20K Views
Do or Die Aussems Anza hivi kesho 1-Aishi Manula 2-Zana Coulibaly 3-Mohamed Hussein 4-Erasto Nyoni 5-Pascal Wawa 6-James Kotei 7-Mzamiru Yassin 8-Clatous Chama 9-John Bocco 10-Meddie Kagere...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi ni Yanga damu, so nimemaindi Simba kuqualify! Tusameheane tu! Acha nikapate kinywaji! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
938 Views
Sasa naanza kuelewa kwanini rage aliwaita simba mbumbumbu....zile video clips zikiwafikia CAF mtajiweka kwenye position mbaya sana nyinyi mbumbumbu..ndio mwanzo wakuanza kucheza bila mashabiki...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Wasalaam Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii. Kama unabisha tukutane saa tatu...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Back
Top Bottom