Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mwaka unaisha nikiwa mpenzi wa hasa mziki nakuletea nyimbo 20 zilizonigusa sana mwaka 2018 nawe unaweza weka zako 20- kwangwaru by hermonize 19-call what you want by taylor swift 18-perfect by ed...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, kuna baadhi ya watu wanabeza uwezo wa samatta kuwa ni wa kawaida, nadhani hawamfatilii , jamaa kwa sasa yuko kwenye kiwango cha hali ya juu hata kucheza Epl, na ndio maana club yake wamempa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kurudi kwa kishindo kwa magoli 5-1, tuandae kikosi cha mauaji leo uendeleze mvua ya magoli. Na tuongelee usajili dirisha dogo na Januari
0 Reactions
7 Replies
1K Views
UONGOZI SIMBA SC WAWAMWAGIA FEDHA WACHEZAJI Uongozi wa Mabingwa Tanzania Bara Simba SC kwa kushishirikiana na Muwekezaji wao Mohammed Dewji (Mo) umetimiza ahadi yao kwa kikosi Cha Simba SC kwa...
16 Reactions
37 Replies
6K Views
Wakuu habar za mda huuu baada ya salam nitoe pole kwa Mashabiki wenzangu wa Simba kwa kutolewa ktk mashindano ya shirikisho japo nimefirahi timu yetu ya nyumbani ya mkoa wa kigoma kusonga mbele...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya chama kutupa zawadi ya Christmas wana msimbazi ni wakati wa kumuuliza anataka zawadi gani kutoka kwetu Je unataka kukaa madale ? diamond tutamtimua Je unataka kuwa msemaji wa simba ...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
Baada ya simba kupata gori moja na mpira kuisha mashabiki wa Simba walifurah sana swali hv Nkana wanawaaonaje kwamba itakuwa rahsi kuwafunga mechi ya marudiano
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Draw ya makundi ya kombe la klabu bingwa barani Afrika (Caf Champions League) itafanyika Cairo Misri siku ya Ijumaa December 28 na klabu ya Simba itawakilishwa na mwenyekiti wa bodi Swed Kwabi...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Kipindi nakuwa nilitokea kuwa mnazi kindakindaki wa timu ya Simba, ingawa kwa sasa sio kwa asilimia zile zile nilizokuwa nazo kipindi kile. Wakati ule nilitokea kuvutiwa na baadhi ya Majina ya...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Me ni mshabiki name mwanachama wa Yanga SC, but nilipata wasaa wa kwenda Taifa na kuangalia game ya Simba na NKANA, dah Nimejifunza mengi Sana, ..moja, Mpira ni BIASHARA NZURI SANA UKIIJULIA...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
MIKIA kila jambo wao wanaona jipya! Wakimataifa, wababe wa soka nchini tushaujaza uwanja wa Taifa mara kibao, tushacheza group stage michuano inayoandaliwa na CAF, Kila hatua ama jambo mnaloliona...
6 Reactions
68 Replies
6K Views
Binafsi sioni Nkana ikiizuia Simba ya Cletous Chama... vs
10 Reactions
119 Replies
20K Views
hivi nyie vyura mtacha lini ushoga.Jana mkana alivyoshinda gori la kwanza mlishangilia mpaka wengne mlijinyea. Lakin mkubwa chama alivyo wakalisha wanaume zenu red devils mkanza kija kwa simba...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Jackpot hiyo tupia bet Zako hapo tuone nani Yuko correct
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kutokana na taarifa ya kuondoka kwa mshambuliaji wa kimataifa wa club ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi nikiwa mtanzania mzalendo na mwenye kuitakia mafanikio timu pekee inayowakilisha Jumuiya ya...
8 Reactions
23 Replies
5K Views
kwa mara ya kwanza nimewekeana na mtani wangu kiasi cha shilingi laki moja endapo mtabeba ubingwa ni kwel ligi ni ngumu lakini nawaamini hasa ukizingatia yanga katuacha point nyingi...
1 Reactions
6 Replies
966 Views
Kuna uzi ambao bado una hang hapa ubaoni uliowekwa na ndugu yetu aka Louis II kua mbwana Samata kijana wetu anaecheza huko belgium ati hana lolote na kwamba ati anabebwa na bahati tu ! Hakuishia...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Guinean club Horoya AC staged one of the greatest African club comebacks to defeat Libyan visitors Al Nasr 6-2 in Conakry on Sunday and book a Caf Champions League group place. Trailing by three...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Simba leo ilikuwa waondoke. Na aliyekuwa awaondoe ni mzee wetu mmoja wa hapa hapa Tz tena Dar. Wale makomandoo waliozuia watu wetu wasiingie Taifa tutawatafuta tu tuwachape kama mlivyowachapa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom