Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kufuatia striker Machachari wa Simba Mganda Emmanuel Okwi kuwa mbioni kutimukia Kaizer Chiefs ya huko Afrika kusini ni wazi kabisa kijana mdogo Walter Bwalya kutoka Nkana Fc ya Zambia ni mbadala...
1 Reactions
44 Replies
14K Views
Hii timu ni afadhali hata Tukuyu Stars ya Mbeya kiukweli !
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Msikilize huyu eti anasema Singida Utd imesajiri majembe kutoka timu ya taifa ya Liberia na Nigeria. Mtangazaji naye hajielewi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Goli la mwisho jana lililopolita kwenye tobo anaonekana hana kiwango,au kahongwa na mahasimu wetu. Huyu dida afukuzwe kabisa shame on him. Halafu huyu beki mpya nywele rangi ya pilau naye hamna kitu
5 Reactions
36 Replies
4K Views
.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wadau.. mashabiki wachache wa al ahly wakishangilia baada ya kupangiwa mnyongee simba kwenye kundi lao... hapo ni mazoezini tu bado kwenye mechi kwa taarifa tu misimu zaidi ya 20...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Kila siku hawaishiwi maneno mala ushindi wanaoupata yanga kwa sasa ni upepo tu umewatembelea,mara ooh Timu mbovu haina kitu, Lakini kitu kimoja wanashindwa kukijua ni kwamba yanga Haina pesa...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Cheza na Vitu vyote ila siyo Haja Kubwa na ikija huwa haiangalii Wewe ni Baunsa au nani bali ikija yenyewe inachochujua tu ni kutoka nje kwa kupenya kwa njia ya Kasi ya ajabu kabisa na ukisema...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Haya maisha bhana Timu tajiri nchini juzi juzi ikicheza na timu ya Nkana waliingia uwanjani na basi la abood baada ya basi lao kupata ajali na kuharibika ambapo mpaka mida hii wameshindwa...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwenendo wa Yanga katika ligi kuu Tanzania inawatesa sana mashabiki hasa wa Simba ambao wamekuwa wakiibeza timu yetu,ambayo imekuwa ikiendeshwa kwa asilimia kubwa na michango ya wadau wa Yanga...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu naamini viongozi wakubwa wa simba wapo humu kwa hyo kama shabiki toa maoni yako kuelekea mchezo huo kuanzia kikosi kianze kipi na wachezaji wapeni ushauri...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kichwa cha uzi chahusika. Mi naona Simba itaanza japo ndio timu yangu
6 Reactions
44 Replies
4K Views
The Olympics are finally coming to Africa—at least its youth games. In 2022, Senegal will host the fourth summer youth Olympic games, the first to take place on the African continent. The...
1 Reactions
2 Replies
897 Views
Ni katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Gent fc Ssmata akiingia nyavuni katika dakika ya 23 Ya mchezo Hongera sana Mbwana samata. Sasa hivi kwa goli zake 15 katika ligi amefungana na King Messi wa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau wasalam Kijana wetu wa Tz 24yrs anapigana na Wahab kutoka Nigeria (WBF) naona wako na kocha wake Emmanuel Mnondwa tena anafuta kwa kofia yake ya ......ya chama. Dogo mzuri ila inaonesha...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Hellow wanamichezo mwenye ratiba CAF anijuze kundi la wekundu wa msimbazi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
CAF (@CAF_Online) Tweeted: [emoji991] total Champions League draw is complete #TotalCAFCL CAF on Twitter Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Kipigo cha 3-2 walichokipata Simba toka kwa Mashujaa ya Kigoma kimewatoa na kuwatupa nje kabisa katika mashindano ya FA. MIKIA buana, kelele nyingi vitendo 0 😁😁😁 #ASFC Timu zilizofuzu kuingia...
5 Reactions
146 Replies
17K Views
Habari wanajukwaa. Nikiwa kama shabiki wa simba naumia sana na mwendo wa klabu yetu katika mechi muhimu lakini timu inafanya vibaya. Ligi wakati inaanza tulikuwa tunatoa sareza kijinga na kujikuta...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Viongozi wa Simba wana matatizo gani na sheria? Rage alifungwa, Hans Pope alifungwa, Wambura alifungwa na huyu Aveva naye anaenda kufungwa. Kwanini hivi?
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom