Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kupitia press conference iliyofanyika makao makuu ya klabu ya yanga leo hii kocha mkuu Mwinyi Zahera, ametoa ofa ya chakula cha mchana kwa waandishi wote wa habari za michezo walio hudhuria...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
"kufuatana na nguvu yetu tulionayo(wachezaji)inatubidi tuangalie wapi tutapata faida,tupo na ligi kuu,tupo na Azam federation cup, mapinduzi cup na Sport Pesa inabidi sisi kama yanga tuwe na...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mara zote niliwapinga sana wale ambao walishangaa timu mbovu ya Yanga inavyoongoza ligi kuu , lakini leo nimeona namna inavyobebwa na ninaamini hii timu huenda imefika hapo ilipo kwa kubebwa ...
2 Reactions
76 Replies
12K Views
KANAKAMFUMO ANALIA NA YANGA KWA MAFANIKIO YA SIMBA KLABU BINGWA. MCHAMBUZI KANAKAMFUMO UKIFATILIA GAZETI LA MWANASPORT LA LEO UTAONA UCHAMBUZI WAKE KAMA VILE ANAUMIA KWA NINI SIMBA INAFANYA...
10 Reactions
104 Replies
11K Views
KATIKA kuhakikisha Azam TV inakidhi mahitaji na matakwa ya wateja wao, Kampuni ya Azam Media itaanza kurusha matangazo ya mechi za Kombe la FA la England. Michuano hiyo inatarajiwa kuanza katika...
6 Reactions
17 Replies
6K Views
Kadi nyekundu ya Eric Bailly jana, kadi hiyo imemupa tano beki huyo raia wa Senegal. Baada ya Maurinio kufurushwa sasa lazima kuweka nidhamu kwenye defence. Eric Bailly alitoa onyo kali kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nawapongeza wachezaji wa zamani wa Yanga ambao wanaenda kuongea na kumpongeza kocha mkuu wa timu Yanga kwa kile alichofanya mpaka sasa akiwa katika mazingira magumu. Wasisahau kumdokezea kuhusu...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za jumapili wanajamvi. Kama swali linavyo jieleza. Najua kuna taasisi zinazosimamia mchezo wa mpira wa miguu bara na visiwani, ! Je kwanini hawana wazo la kuzifanya timu za mpira wa miguu...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Haina ubishi MUNGU katuletea mtu mwenye kutupa furaha msimbazi,yaani kwa uwezo anauonesha uyu jamaa ni Atari kwa afya za magori kipa, kama tungepata mshambuliaji mwenye urafik na nyavu yaani simba...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Hivi wadau hizi timu kaharibu ni kweli zimezidiwa au hua Kuna kamchezo kanaendelea Kati ya wamiliki wa timu na wenye makampun ya Bet tusije kua tunapoteza hela tu Kama kweli watu wanashinda hela...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Geita Gold Mine V. Mashujaa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Binafsi mimi ni shabiki wa Yanga. kitendo alichofanya Kakolanya kwa mtu mwenye busara hakiwezi kuvumiliwa. Kwanza akumbuke kuwa Klabu ya Yanga ndo imempandisha chati badala yake analeta mgomo. Ni...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Manchester United wamemtimua kocha wao Mourinho kwa kufungwa goli 3 kwa 1 na Liverpool. Lakini Liverpool hao hao wakawafunga Arsenal goli 4 kwa 1 lakini huko Arsenal hakuna mgogoro na wala habari...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Post deleted by author.
10 Reactions
105 Replies
8K Views
Nimekua shabiki wa mziki wa bongo na nje ya bongo kwa muda mrefu ila naona sipati burudan kama wanayoipata mashabiki wa football rasmi nimeamia kwa dhat kwenye football na club zangu nilizochagua...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya FIFA kuifungia nchi ya Sierra Leone kutokushiriki mashindano yoyote yanayosimamiwa na bodi hiyo ya soka duniania, shirikisho la mpira wa miguu Afrika, CAF limeipiga chini Siera Leone...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea tena leo Disemba 29, 2018 kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja tofauti. Gumzo ni Simba SC kuwakabili Singida United kwenye Dimba la Taifa jijini Dar...
4 Reactions
105 Replies
15K Views
Mbeya City leo wako nyumbani uwanja Sokoine jijini Mbeya kumenyana na vinara wa ligi kuu vijana wa Jangwani Yanga. Yanga inasaka record kuwa timu ya kwanza katika ligi ya Tanzania kufikisha...
4 Reactions
306 Replies
30K Views
Hatua ya makundi katika ligi ya Mabingwa Africa inatarajiwa kutoka leo na upangaji wa makundi hayo ukifanyika Simba SC ndio mwakilishi pekee wa ukanda huu wa Africa Mashariki. Je, atapangwa na...
4 Reactions
312 Replies
48K Views
Kama kawaida wa Kimaitaifa leo tumeshapangiwa group letu lenye timu kutoka Uarabuni moja na Congo moja. Toa ushauri wako tufanyaje tuweze songa mbele katika hatua ya robo fainali na nusu na kisha...
3 Reactions
106 Replies
11K Views
Back
Top Bottom