Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hey members!! Pata shika linaendelea uko kombe la mapinduzi Zanzibar ambapo YANGA SC wanakichapa na Rambaramba za Ice cream FC. Azam FC wanapata bao la (1) kwanza kutoka kwa Chirwa dakika ya...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwa namna nilivyoangalia kikosi cha Yanga SC kinachoanza leo dhidi ya Azam FC kwenye michuano ya Mapinduzi Cup, Yamkini historia ya mabao mengi itaandika leo kwenye uwanja wa Aman, Zanzibar Azam...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni nimeangalia kipindi kimoja tu cha mechi kati ya KVZ vs YANGA ila uyu dogo anaitwa mustapha a.k.a N'golo Kante ni balaa. Yani skills kama zote, ni swala la...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
MANCHESTER, ENGLAND ASIKWAMBIE mtu, ukiwa na pesa kila mtu anataka kuja kufanya kazi kwako. Si anajua utamlipa vizuri? Basi hilo ndilo linalotokea huko Manchester United. Kuna makocha sita...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WADAU WOTE WA #FIXED MACH TICKET YA LEO HII APA SURE 10001% GUARANTEE 100% [emoji1250]DIRECT INFO FROM THE CLUB'S[emoji1250] KARIBUNI WOTE[emoji387] BADILISHA MAISHA KUPITIA BETTING[emoji387] TIME...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Ni muda mrefu sasa mimi kama mpenzi na shabiki wa mpira wa miguu ambao ni mchezo namba 1 kupendwa sana duniani na Tanzania ikiwemo, nimekuwa nikifuatilia mechi mbalimbali za mpira wa miguu hapa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
WADAU WOTE WA #FIXED MACH TICKET YA LEO HII APA SURE 10001% GUARANTEE 100% [emoji1250]DIRECT INFO FROM THE CLUB'S[emoji1250] KARIBUNI WOTE[emoji387] BADILISHA MAISHA KUPITIA BETTING[emoji387] TIME...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Unaweza kuniuliza kwanini nasema chuki binafsi, Haji hataki Dauda aikosoe Simba kwa namna yoyote ile Wachambuzi wengi wanatoa maoni yao juu ya Simba na Haji asemi chochote ila kwa Dauda ni ugomvi...
23 Reactions
140 Replies
19K Views
WADAU WOTE WA #FIXED MACH TICKET YA LEO HII APA SURE 10001% GUARANTEE 100% [emoji1250]DIRECT INFO FROM THE CLUB'S[emoji1250] KARIBUNI WOTE[emoji387] BADILISHA MAISHA KUPITIA BETTING[emoji387] TIME...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Leo ndio siku ambayo unbeaten majogoo wanapigwa kipigo na mzee wa upara pep gardiola, Liverpool ni wazuri ila kwa jinsi mechi gardiola amevoipania, ushindi ni wake kabisa, pep make sure klop are...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Nahodha mpya wa Yanga SC ni Ibrahim Ajib mara baada ya Kelvin Yondani kuvuliwa kitambaa hicho kufuatia matukio yake ya utovu wa nidhamu.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mama mzazi wa mwanasoka wa man United na ufaransa Paul Pogba amechaguliwa kuwa balozi wa soka la wanawake nchini Guinea huku Kaka zake Pogba wakimsadia kazi hiyo imeelezwa na BBC ikumbukwe Kaka...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jurgen Klopp anaamini nahodha wa Manchester City Vincent Kompany alifaa kupewa kadi nyekundu wakati wa mechi ambayo Liverpool walilazwa 2-1 uwanjani Etihad. Kompany alionyeshwa tu kadi ya manjano...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hapa Bongo na Afrika Mashariki yote tunaye masta mmoja tu. Si mwingine bali ni Lecturer wa sexy soccer Triple C Mnyama Chama mwenye uwezo wa kupiga magoli ya slow motion. Nakubaliana na wasemayo...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Mi napenda kuwaambia watu wa Yanga, timu hii tunaweza iendesha sisi wenyewe. . kule ulaya, mfano mashabiki wa Barcelona kutoka maeneo mbalimbaliwa wao wanahakikisha wanatia kitu katika mfuko wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika pitapita nimeona hili goli sikuamini limefungwa katika ligi za Tanzania na sio ulaya au kombe la dunia au champions league nikaona bora na wengine waone ambao hawajaona na coach kashasha...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
BENNO KAKOLANYA SIMAMA WEWE MWENYEWE. Mambo yaliharibika zaidi mara baada ya kuondoka George Lwandamina, timu ikawa chini ya Noel Mwandila akisaidiwa na Shadrack Nsajigwa 'Fusso' . . wachezaji...
13 Reactions
101 Replies
12K Views
Wahenga wa kabumbu la bongo, ulimkubali beki yupi kwa ubora enzi hizo kati ya Costantine Kimanda (Yanga) na George Magere Masatu (Pamba, Simba)?
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Christian Pulisic amejiunga na Chelsea kwa ada ya Paundi Milioni 57.6 lakini atabaki Borussia Dortmund kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu 2018/19 Mchezaji huyo raia wa Marekani mwenye miaka 20...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom