Taarifa zinaonyesha kwamba Golikipa wa zamani wa Timu ya Taifa ya DRC na TP Mazembe Robert Kidiaba amechaguliwa kuwa mbunge nchini humo katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni .
Taarifa zaidi...
Mshambuliaji wa Klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Misri ameibuka mshindi wa kinyang'anyiro hocho kwa kuwabwaga, Sadio Mane na Pierre-Emerick Aubameyang
Hii ni mara ya pili kwa Mo Salah...
Wanaoweza kuichangia Yanga wako wengi sana wa sh. 500 hadi 10,000 vijijini hadi mijini hasa kwa kipindi hiki ambacho timu haina hela lakini inafanya vizuri uwanjani. Huyu kocha ndiye nguzo kuu ya...
Hey Members!!
Katika kombe la Mapinduzi Zanzibar,
Leo ilikua zinacheza timu kati ya YANGA SC na MALINDI katika uwanja wa Aman Nchini Zanzibar.
Mpira umeisha dakika 90.
YANGA 1 na MALINDI 2.
Na...
Yanga ina mafanikio yake na simba inayo ya kwake
YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB
Young Africans S.C headquarters located on Twiga street, Jangwani, Dar es Salaam
Tanzania Mainland Premier...
Tuweke akiba ya maneno kila tunaposhiriki kwenye mashindano yoyote, mpira una matokeo ya kushinda, sare na kufungwa, hivyo viongozi, wanachama ma mashabiki wa simba tuwe na kiasi wakati tunaisifu...
Wagombea Uenyekiti ni Dk. Jonas Benedict Tiboroha, Mbaraka Hussein Igangula na Erick Ninga.
Wagombea wa umakamo ni Titus Eliakim Osoro na Salum Magege Chota.
Kwa upande wa nafasi za Ujumbe ni...
Kwa mujibu wa shirika la habari za michezo la Sky Sports, kiungo wa Arsenal ya Uingereza, Aaron Ramsey amekubali kujiunga na klabu ya Juventus ya Italia mwisho wa msimu huu
Mchezaji huyo wa...
Habari members!!!
Dakika 90 zimeisha kati ya Simba SC na Mlandege uku Simba akiibuka kidedea kwa ushindi wa Goli Moja dhidi ya Mlandege nao wakiambulia Patupu(Sifuri).
Goli likifungwa na Haruna...
Mchezaji wa klabu ya Yanga, Mzibambwe, Thaban Kamusoko, ameamua kuachana rasmi na Klabu hiyo.
Mchezaji huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameandika akiwashukuru wadau na mashabiki wa timu...
TIMU ya Arsenal imepangwa kukutana na Manchester United Uwanja wa Emirates katika raundi ya nne ya Kombe la FA. The Gunners wanashikilia rekodi kwa kushinda kombe hilo mara 13, nao United ndiyo...
Hakika ni busara kwa Viongozi kuwa na busara ya kuwasikiliza walio chini yao.
Klabu ya Simba ina kabiliwa na Mashindano makubwa barani Afrika.
Mashindano hayo yanahitaji Wachezaji wenye uwezo na...
United imepangwa kucheza mechi ya ufunguzi dhidi ya Kaimu bingwa wa Ligi Kuu ya Kenya, Bandari FC, katika michuano ya SportPesa Cup inayotarajiwa kutimua vumbi kwa msimu wa tatu mfululizo kuanzia...
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika limeitangaza rasmi leo nchi ya Misri kuwa mwenyeji wa michuano hii itakayofanyika mwezi wa 6 mwaka huu.
Hii ni baada ya muundaaji wa mwanzo Cameroon...
Wakuu habari zenu,
Naombeni kujua mechi kati ya spurs na chelsea itaonyeshwa kwenye chaneli gani na kstika king'amuzi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kupitapita nimekutana na Makala ya mwanaspoti ikielezea habari ya mchezaji chipukizi aliyezaliwa singida anaeitwa Michael John Lema.
Mchezaji huyu kwa sasa anachezea timu ya sturm graz ya...
Wasalimu ndugu zangu na wasio ndugu pia baada ya salama nijielekeza moja kwa moja ktk mada kama. Ilivo.... Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya mashujaa kutoka mkoa wa kigoma kushinda mchezo...
Kilichofanya mashabiki Wakajaza uwanja katika mechi yenu na nkana ni kiingilio cha chini ambacho watu wa chini waliweza kukimudu so msije mkavimba vichwa mkapandisha viingilio vya mechi ijayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.