Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Vinara wa ligi kuu Yanga Leo wakiongoza na Nahodha wao mpya Ibrahim Ajib watakuwa wakipapatuana na wachimba madini kutoka shinyanga Mwadui fc. Yanga itakosa huduma ya kinara wa ufungaji Makambo...
3 Reactions
353 Replies
27K Views
Klabu ya Simba ina viungo wazuri kwa kipindi hili. Lakini je nani ni bora na anafaa kuanza kikosi cha kwanza kati ya Chama na Haruna Niyonzima?
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari wana sports, Kumekuwa na kelele nyingi sana kati ya hawa jamaa mwingine akitumia media na instagram kuisema vibaya SImba,Haji amekuwa akimtuhukmu Shaffi kama adui namba moja wa klabu ya...
5 Reactions
11 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka nchini TFF, Hamidu Mbwazeleni amefariki dunia leo Kufuatia msiba huo Rais wa TFF Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Bado wiki moja imesalia michuano ya SportPesa Super Cup 2019 iweze kuanza ambapo kama ilivyoripotiwa awali, michuano hiyo kwa mwaka huu itaendelea kuhusisha timu za mataifa ya Kenya na Tanzania...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa mwandishi Bin zubeiry anaelezea hapo chini; Nilipata fursa ya kufanya mahojiano na Maulid Bakari Dilunga, mshambuliaji wa zamani wa kimataifa Tanzania, aliyefariki dunia, Juni 10...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
HUYU NDIYE JAMES AGYEKUM KOTEI Wakati anasajiliwa Simba mwaka 2016 alipewa mkataba wa "mashaka mashaka" wa mwaka mmoja kwa majaribio ,baada ya timu hiyo kunogewa na huduma yake ikafunga nae...
5 Reactions
7 Replies
5K Views
Ni habari ya kuhuzunisha. Phillemon Mafinga kafariki akiwa ma miska 49 Wakongwe humu mliokuwa mnafuatilia mpira miaka ya 90 mnaweza kumfaham huyu jamaa. Alikuwa forward hatari wa timu ya taifa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kipa wa Klabu ya Arsenal ya Uingereza, Petr Cech ametangaza kuwa atastaafu kucheza soka baada ya kumalizika kwa msimu huu wa 2018/19 Cech mwenye miaka 36 alijiunga na Arsenal mnamo Juni 2015...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naam ni tarehe 15 january na kwa mujibu wa baraza la wadhamini chini ya waziri mkuchika walisema manji leo anarudi ofisini kinywa cha mzee kinanuka lakini hakisemi uongo,wanayanga mjitokeze kwa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Club ya Cardiff inaonesha nia ya kuwania huduma ya Mtanzania Mbwana Samatta. Binafsi namsihi Mbwana amalizie msimu na KRC Genk ili aanze maisha mapya na msimu mpya na asiache unfinished business...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Huo uwezo wake si wakawaida-haiwezekani! Kipa gani yupo makini kupitiliza namna hiyo!?Mm kuanzia leo nawasiliana na babu kule kijijini tulijadili suala la uwezo wa kupitiliza wa huyo mtu! Ni hatari!
6 Reactions
78 Replies
10K Views
By Sangu Joseph Kwanza nitoe hongera kwa Klabu ya Soka ya Simba kwa ushindi walioupata wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura ya Algeria ni cha kujipongeza kama nchi, lakini kuna kitu nimekiona baada ya...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Ushiriki wa mashindano kombe la Mapinduzi linalofanyika kila mwaka ni wa hiari au lazima .... ? Mashindano haya ni ya muhimu kuongeoza shamrashamra za kumbukumbu muhimu ya Mapinduzi matukufu na...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Mshambuliaji hatari wa Genk Mbwana Samatta ameisaidia timu yake kupata ushindi kwa kufunga goli 3 peke yake katika ushindi mnono wa Goli 5-2 walioupata dhidi ya Broendby katika mechi ya kufuzu...
9 Reactions
41 Replies
6K Views
Mpaka sasa ni dakika 45 za kwanza zinakaribia kuisha mechi ni bila bila, ila As Vital wameshalimwa kadi nyekundu yenye utata. Hawa waarabu ni hatari kwa fitina. Half time Al Alhy 0-0 As Vital...
4 Reactions
113 Replies
15K Views
Aseee huyu kipa anayetulindia goli Yanga ..ni shati aseee ... Magoli anayofungwa aseee ... Bora kindoki .Nyikaaaa njooo uchukue hii ng'ombe yako
4 Reactions
29 Replies
4K Views
binafsi sina tatizo na haji manara sababu simfaham na hanifaham pia physically. nimemfaham kwa kumwona kwenye media. lakini kutokana na mabadiliko makubwa ya kimuundo yanayofanyika katika klabu ya...
3 Reactions
49 Replies
14K Views
Patashika ya Ligi kuu ya wanawake 'Women's Premier League' iliyoendelea leo kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam kwa kuwakutanisha watani wa Jadi upande wa wanawake, imeshuhudia Simba...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
ZIMEBAKI saa kadhaa kabla ya Klabu ya Azam FC kuvaana na Simba katika fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayofanyika Uwanja wa Gombani, Pemba leo saa 9.30 jioni. Wakati Azam FC ikitinga fainali...
1 Reactions
154 Replies
22K Views
Back
Top Bottom