Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kila mchezaji wa Simba atakayepata nafasi ya kucheza mechi hiyo, anapaswa kuhakikisha hafanyi makosa ya utovu wa nidhamu hasa kucheza rafu zinazoweza kuwapatia wapinzani faulo zitakazotumiwa na...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari za chini ni kwamba madawa ya kuongeza nguvu yamepigwa marufuku michezoni. Haiwezekani As Vita watumie vumbi la kongo na waachwe tu hivi hivi.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Sasa hivi nimekuelewa tafsiri yako ya UNDERDOG Mwanzo Nilikasirika saana,yaani unaiita Simba UNDERDOG yaani MBWA WA CHINI Ujumbe wako Shafii waliokuwa hawajakuelewa naamini wamekuelewa kwa...
10 Reactions
93 Replies
13K Views
Wadau wa jf, Jana nilitoa mada kuhusu kutokuwepo kwa habari za matokeo ya mchezo wa Simba huko Congo kuna watu walijibu kua mchezo ulimalizika wakati magazeti yamesha chapishwa hivyo had I toleo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Upo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba...
8 Reactions
143 Replies
15K Views
Kwanza hongera JF kwa kurudi hewani Ningependa kujua mtazamo wa watu juu ya wachambuzi hawa wawili wa soka hapa Tanzania. Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey, Wamekuwa wakichambua soka stesheni ya...
5 Reactions
101 Replies
22K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
FULL-TIME: Simba SC 3 - 0 JS Saoura Klabu ya soka ya Tanzania Simba SC imemenyana na klabu ya JS Saoura ya Algeria katika michuano Klabu Bingwa Afrika ikiwa ni mchezo kundi D UPDATES: SUB...
32 Reactions
1K Replies
100K Views
Kutokana na kasi na uwezo mkubwa wa timu ya AS Vita hasa wakiwa kwao, hiki ndio kikosi ambacho kitawapa tabu kikipangwa. 1) Manula 2) Mlipili 3)Bukaba 4)Juuko 5) Wawa 6) Kotei 7) Niyonzima 8)...
3 Reactions
45 Replies
11K Views
MTANDAO huu kwa muda mrefu sasa umekuwa ukifanya tafiti na kufuatilia mwenendo wa klabu ya Simba katika mechi za ligi kuu soka Tanzania bara msimu huu. Mwishoni mwa juma lililopita, Simba...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
wadau wa soka kama inavyosomeka hapo juu ninaomba ufafanuzi maana hasa ya kikosi cha kwanza,kikosi cha pili na timu B. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari yenu wote humu, Hivi karibuni nimeona andiko moja lisemalo 'yanga wanamuhitaji mtu kama Haji Manara'. Nimesikitishwa na mwandishi aliyeandika andiko hilo kwani ameandika kishabiki bila...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Kuna dhana kuwa Simba wana kikosi kipana , hii sio halisi. Matokeo ya finali ya Mapinduzi cup yanapingina na msemo huu. Ukweli ni kwamba Simba ni ya Okwi, kagere, bocco, mkude, shabalala, chama...
5 Reactions
64 Replies
6K Views
Simba SC safari bado tunayo tuzidi kupambana kwa maslahi ya klabu yetu na Nchi, Viongozi, Wachezaji, Wanachama Mashabiki na Wadau wa soka, kwa matokeo ya kufungwa na AS Vita Club ni sehemu ya...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Sijafa moyo na hatujafa moyo,tuna imani tutaingia robo fainali,kama sio leo basi kesho. Constantine wamewatandika TP Mazembe 3G wakiwa kwao. Nyumbani ni nyumbani tu. Nakubali kuwa beki yetu jana...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
kikosi cha yanga leo dhidi ya stand united match time: 10:00 jioni stadium: ccm kambarage kikosi: 1.claus kindoki 2.paul godfrey 3.gadiel michael 4.andrew vicent {dante} 5.kelvin yondan 6.abdalah...
2 Reactions
135 Replies
14K Views
Watu wanachonga Sana Mara baada ya simba SC kupigwa tano -kwa bila na As vita club.lakini wanashindwa kujua kuwa hilo ni kawaida almost duniani kote,ukiangalia Jana hata timu kubwa Kama Tp mazembe...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika soka lolote linawezekana, japo ukweli ni kwamba soka la kisasa ni la kisayansi na linaenda sambamba na uwekezaji. Washindani wenu wakuu katika kundi AL AHLY na AS VITA wamewazidi katika...
1 Reactions
9 Replies
982 Views
MWAKA 1998 YANGA SC WALIFANIKIWA KUINGIA HATUA YA MAKUNDI CLUB BINGWA YANGA WALIWEZA KUWEKA RECORD MATATA AMBAYO SIDHANI KAMA KUNA TIMU ITAKUJA KUIFIKIA YANGA ILIWEZA KUWEKA RECORD YA KUFUNGWA...
3 Reactions
123 Replies
14K Views
......Mkiambiwa UnderDog muwe mnaelewa. Shafiii ndo Mchambuzi Bora Tanzania... Tatizo mashabiki wengi Majuha na Hawajuhi chochote zaidi ya Upuuzi... Wanapenda kusikia maneno matamu matamu Hata...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom