1.Thamani ya kikosi cha Al Ahly ni Tsh Billion 89.3 huku thamani ya washambuliaji tu ikiwa ni Billion 50.3 wakati kikosi kizima cha simba sc kina thamani ya Bilion 1...Je Beki Sergi Wawa,Juko...
SASA HIVI ANACHOFANYA NI KU PROVE KWA HALI YOYOYTE ILE KWAMBA SIMBA NI VIBONDE...baada ya kuwapiga wa algeria 3 roho ilimuuma sana,juzi tumekula 5 bila nikaliona lilikuwepo uwanjani pale kinshasa...
Nimeoiona Barua Ya Tff Yao inayosema Imemfungia Michael Wambura Maisha Asijishughulishe Na Soka.
.....
Je Tff Wamekazia Maamuzi Ambayo Yalishakuwa nullified Mahakamani au Kuna Maamuzi Mengine...
MWAMBIENI MWINYI ZAHERA,KUFUNGWA KWA YANGA HAKUJATOKANA NA UCHOVU.
Nimemsikia kocha wa Yanga Mkongomani Mwinyi Zahera akizungumza na waandishi wahabari 22 Januari ,2019 baada ya timu yake...
kikosi cha yanga leo vs kariobang shark
muda: saa 10:15
stadium: uwanja wa taifa
chanel: star tv, tbc 1, ss9
kikosi.
1. klaus kindoki
2. paul godfrey
3. gadiel michael
4. andrew vicent
5. kelvin...
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua ubingwa wa Uingereza ilikuwa siku ya Jumamosi, Aprili 28, 1990 baada ya kuifunga QPR goli 2-1.
ANC ilikuwa chama cha upinzani nchini Afrika Kusini.
NCCR...
Staa wa club ya Juventus ya Italia Criastiano Ronaldo leo mapema aliwasili Mahakamani Hispania akiwa na mpenzi wake kwa ajili ya kusikiliza hukumu ya kesi yake ya ukwepaji kodi nchini Hispania...
Taarifa za Barcelona kumchukua boateng kwa mkopo kutoka sassuolo imeshtua wapenzi wengi wa mchezo wa soka duniani na wengi wakiamini si chaguo sahihi kwa Barcelona binafsi nafikiri ni chaguzi...
kwa namna simba wanavocheza wakiwa ugenini ni tofauti kabisa wanapokuwa nyumbani.
1.Kocha wenu hana mbinu za kucheza nje na anashindwa kujua anacheza na timu gani
2. Wachezaji hawajitambui...
ratiba ya kombe la sportpesa 2019..
msimu huu litatimua vumbi katika ardhi ya TANZANIA.
JUMANNE 22/1/2019
1. BANDARI vs SINGIDA (SAA 8:00 MCHANA)
2. KARIOBANG SHARK vs YANGA (SAA 10:15 JIONI)...
Habari wadau,
Naomba tuungane mashabiki wa simba, na timu zingine Tanzania ambao ni wazalendo, tushauri timu yetu.
Wote tunajua fixture ya simba inayofata ni ngumu sana kuliko iliyopita.
Maana...
Mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na FC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta.
Klabu ya Genk ya Ubelgiji imekataa dau la Euro milioni 13 kutoka kwa timu ya Cardiff...
Mechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi GROUP D imemalizika kwa timu hizo kugawana pointi moja moja baada ya kufungana 1 - 1
Refa amelikataa goli safi la JS SAOURA lililofungwa ktk muda wa...
Dogo kazaliwa mwaka 1995 tu,yupo Genoa sasa hivi akitokea Cracovia Krakow akiwa katupia goli 32 katika mechi 63. Msimu huu yupo Genoa ambapo mpaka sasa kashatupia goli 9 katika mechi kumi na ndio...
Nimetuma hela kwenda S-Pesa na meseji kutoka Tigopesa kuwa hela imetumwa Sportpesa ila kwenye account ya Sportpesa haijaingia.ili tatizo hata kwenu lipo?
TUNAYAWEZA YOTE KATIKA OKWI ATUPAE NGUVU.
Mwaka 2003 Simba ilipocheza na Zamalek mashabiki nchini Misri walishangazwa mno na timu hiyo kufungwa 1-0.
Kilichowashangaza ni tangu tarehe 13/12/1996...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.