Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna vipande vya video vinasambaa mtandaoni vikimuonyesha msemaji wa Simba Haji Manara akiwa jukwaani uwanjani wakati Simba ikicheza(Sina uhakika kama ni kule DRC dhidi ya AS Vita Club) huku...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kweli ni kitu cha kushangaza sana kwa timu hii kukataa wachezaji wazuri , au labda Arsenal haihitaji wachezaji wa zamani hata kama ni wazuri ?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Yanga ipo uwanjani leo uwanja wa Kambarage Ajabu ni kwamba kipa wake Kindoki ataanza leo huku akiwa kafiwa na mzazi wake juzi Nisaidieni kushangaa wanaJF MZEE Kindoki Nkinzi ambaye ni baba wa...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Hivi hii ndio ile timu manara alisema wanaitaka baselona? Tena ile bisolona yenyewe kabisa? Na kipigo cha leo ni laana ya kuidharau Barcelona kiasi kile... Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
901 Views
Naomba kujua wadau, nikitaka kucheki game kwenye simu naomba app
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Napenda kuwasalimu wote, Asalam Alyekum, Bwana asifiwe na Tumsifu Yesu Kristu...Amen Wakati hali ya hewa hapa jiji ikiwa shwari kabisa kajua na kajoto kwa mbali macho na masikio ya wengi yatakuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naitwa Charles Mafuru shabiki na mwanachama wa Young Africans, Nikiwa na akili timamu na pasipo kushawishiwa na yeyote pia nikiwa kama mwanasoka, sio dhambi wala sio ujinga kutoa mtazamo wangu...
19 Reactions
117 Replies
10K Views
Kwanza kabisa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba sc. Sifurahii ushindi wanaopata Yanga lkn nawapongeza Back to the topic Sijawahi kusikia kwamba kuna Msimua walimaliza msimu bila kufungwa licha...
2 Reactions
54 Replies
8K Views
Achana na performance ya Samagoal au Msuva.. Au ile ya mabeki visiki Yondani, Gadiel, Nyoni na Kapombe.. Baada ya mechi ya jana kelele zilisikika toka kwa mashabiki hususani wale wa Yanga kua...
11 Reactions
114 Replies
16K Views
Tuna viongozi uchwara wasiokuwa na uhakika wa wanachozungumza. Viporo vingi vya Simba Haji kanyamaza navyo kwenye mifuko ya tracksuit yake kimyaa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yanaitwa makombora ya mita 30 hivi na ya impossible angle,sio ya kuvizia gongagonga nini sijui,huenda yakapelekwa FIFA kujadiliwa goli bora la mwaka.Mwadui watasimulia nyieee hamjui tu.mwisho...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
matokeo ya raundi ya kwanza simba 3 vs 0 js saoura al ahly 2 vs 0 as vita club round ya pili js saoura 1 vs 1 al ahly as vita vs simba (saa 1 usiku) msimamo 1.al ahly mechi 2 point 4 2.simba...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
tumalize ubishi hapa. nani fundi kati ya hawa wawili... kuwa mkweli, ushabiki weka pembeni.
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Mchambuzi wa michezo wa radio clouds shaffii dauda amejitoa kugombea uenyekiti wa chama cha waandishi wa habari wa michezo TASWA kwa kukosa sifa ya kuwa na vyeti vya uandishi wa habari. MY TAKE...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Kipindi cha michezo cha Efm kile cha asubuhi kimejaa porojo na matangazo mengi mengi hasa ya kamali. Kipindi kinaanza saa 3 :00 lakini habari ya kwanza inaanza kusikika baada ya DK 20 huku...
5 Reactions
16 Replies
6K Views
Tetesi na habari zilizo chini ya kapeti katika klabu ya Simba inaelezwa kuwa Simba ipo kwenye mpango wa kufanya usajili wa kushtukiza ulimwengu na soka la Tanzania kwa kumsajili mchezaji wake...
1 Reactions
25 Replies
8K Views
HISTORIA FUPI AS Vita club ni timu iliyopo katika viunga vya jiji la Kinshasa nchini Congo DRC na imeanzishwa 1935 ikiwa inaitwa Reneissance baadae 1939 ikabadilishwa ikaitwa Victoria Club na 1971...
17 Reactions
49 Replies
21K Views
.....Nataka Kuangalia Game Ya Js Sauora.... Kupitia Simu.... Msaada Wakubwa. Nitumie Program Gan? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
648 Views
Hhahah maana si kwa mpovu huu
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom