Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari members!!! Nasikia YANGA wamepigwa Goli 2 Dhidi ya Sumbawanga. Golikipa alikuwa Kindoki. Kwa wale waliofuatilia hii Mechi mtujuze,Upande WANGU sikuifuatilia hii kuhusu kubikiriwa wanayanga.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwinyi Zahera ambaye ni Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga kwa kweli anaijua sana Saikolojia ya Wachezaji. Ikumbukwe kuwa, mara alipopata nafasi ya kazi ya Ukocha Mkuu kwenye Klabu ya Yanga, Klabu...
8 Reactions
29 Replies
9K Views
Game bado inaendelea tusije kupigwa 20 tu. Jana walipigwa 6 na Libya.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1.imekoswa mdhamini ligi Kuu Timu zina suffer 2.Kufungia watu Maisha wasishiriki soka (fitina na visas) 3. Kuendekeza migogoro (wambura) 4. Kukosa mipango thabiti ya kukuendeleza soka. 5...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Lucas Torreira goli dakika ya 83 na kumaliza kabisa Hudderfield
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Muda si mrefu wale wababe wa kutupiana masumbwi wataingia kuonyeshana ubabe. Jamaa wametambiana muda mrefu sana na sasa umefika wakati kutimiza tambo zao. Kila mmoja ana historia yake na anao...
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Ingekuwa mechi ya Simba na Yanga sijui ingekuwaje??
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Kama tukiamua kuweka nguvu zetu kwenye mchezo mmoja ambao watanzania wenzangu mnaona tunaweza kuumudu na kutufikisha mbali kimataifa mnadhani ni mchezo gani tungeuwekea nguvu kubwa na kuupa...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Simba wanashiriki kilabu bingwa nawataadharisha msije na visingizio hapo mbeleni najua mtasema tulikuwa tanshiriki klabu bingwa nawaambia ukweli msipoangalia mtamaliza ligi nyuma ya azam na...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Uzuri wa Sportpesa wanalipa muda huo huo
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mmiliki wa klabu ya African Lyon, Rahim Zamunda Kangezi, anapambana kuihamisha timu hiyo kutoka Dar es salaam kwenda mkoa mwingine kwa sababu ya kukosa mashabiki wa kuiunga mkono katika jiji la...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Mambo vipi Mikia na washkaji zangu wa Jangwani. Ujue kuna ukimya mmoja ambao siuelewi elewi. Vinaongelewa vingi sana kuhusu CAF kana kwamba wataenda kutwaa ndoo ya CAF hivi karibuni ili hali Dk...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Bayern Munich 3+,Genk 2+,Atletico Madrid under 5.5 Hapa Weka Hata MKE
0 Reactions
3 Replies
771 Views
1.Yanga 2.Simba 3.Coastal union 4.Mbeya city 5.Pamba fc 6.Azam fc 7.CDA Dodoma 8.Machava fc 9.Mtibwa sugar 10.Lipuli fc
0 Reactions
22 Replies
10K Views
MBappe won a worldcup with his performance. Ronaldo won a CL trophy with his performance. Messi played an outstanding season with 2 trophies Salah p,ayed an outstanding season, leading his team in...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Yaani tarehe Nne ( 4 ) Mtu pia ' Kapigwa ' hizo hizo goli Nne ( 4 ) kama kasimama vile. Sasa hofu yangu tu ni pale Siku TFF nao wakiipanga mechi ya Simba Sports Club na wasiojua Bondeni Bwawani...
7 Reactions
41 Replies
6K Views
....Napenda kuandika juu ya watani zangu Simba SC na Kuwapa Hongera juu ya Ubora na Uwezo mkubwa Walionao na Kufanikiwa kuwapa Mzigo wa Kutosha Mbambane wa Eswitini.......Ukweli usiopingika Simba...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana michezo wenzangu salaam. Ukilinganisha matatizo inayopitia timu ya Yanga na mafanikio inayoyapata, bila shaka yoyote ndipo utaamini nafasi ya kocha uwanjani. Mimi siku zote naamini mpira ni...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Bill Shankly KILA mtu aliamini hatuendi popote, wengi walitarajia kuona tunashindwa kufuzu hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu wa 2004/05. Njia yetu ilikua ni ngumu, kundi letu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom