Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

December 4 , 2018 Victoria Seychelles CAF Confederation Cup 2018 : Northern Dynamo vs Mtibwa Sugar Mtibwa Sugar walivyowasili mjini Victoria ktk visiwa vya Seychelles bahari ya hindi. Baada...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Team yetu Simba imeingia jana Nchini Eswatin kucheza na mbabane siku ya j4 mjini Manzin mlio karibu tujumuike pamoja kushangilia chama letu...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Michezo ni upendo na uleta undugu na hivyo kuweka hali ya amani popote pale duniani.Mwakyembe kwa kushirikiana na TFF wacheni kabisa kupandikiza migogoro ndani ya Yanga waacheni wafanye uchaguzi...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Ndugu wachambuzi muwe mnatupa matokeo ya KRC GENK , hata kama "Kijana wetu". Hajafunga /kucheza mechi!..sio mnaleta akifunga tu! Asanteni sana !
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya kushindwa kuifunga man utd jumamosi iliyopita klabu ya Southampton yamtimua kocha wake Mark Hughes
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kitendo Cha Manchester United kuendelea kufanya vibaya kumemfanya kocha Jose Mourinho kumuangushia jumba bovu mchezaji wake Paul Pogba. Mara baada ya kutoka sare weekend iliopita. Kocha Mourinho...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimesikitishwa kusoma katika magazeti ya leo eti TFF imepata hasara ya Tsh 500 milioni mwaka 2014, lakini kilichosababisha hasara hiyo ndo kimenifanya niruke mita 1000 kimanga kwa mshangao Sababu...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Hakuna cha Ronaldo wala Messi, ni haki yake anastahili. 3. Messi 2.Ronaldo 1.Modric Bollon Dor for Modric
4 Reactions
66 Replies
9K Views
Dah inauma sana ukiona mpaka Mtu mzima analia hivi ujue inatia hasara.Tff na waamuzi badilikeni ase 1.uwanja una madimbwi na matope 2.kisha Refa anakuja kuchezesha hovyo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Moja kwa moja niende kwenye mada,leo ilikuwa London derby kati ya Arsenal na Spurs uwanja wa Emirates, arsenal walikuwa wa kwanza kabisa kupata goli dakika kumi mwanzo kwa tuta ila spurs wakaja na...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Sintofahamu yaendelea kuikumba Yanga FC, Kakolanya na Yondani hawatacheza kwenye mechi ya leo saa kumi dhidi ya Tanzania Prisons Yanga yenye alama 35 ikiwa na michezo 13 inaendelea kuwa kinara wa...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Mbona ameondoka na timu imeimarika ? Full Time : Arsenal 4 - 2 Totenham Hotspurs .
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6.. Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam...
6 Reactions
208 Replies
31K Views
Jamani kuna yeyote anafahamu wapi naweza kuona live streaming ya hii game?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Taarifa kutoka katika klabu hiyo zinaeleza kuwa Habibu Kyombo alifanyiwa vipimo hivyo jana majira ya saa 7:00 mchana katika makao makuu ya klabu ya Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini na sasa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mashabiki wa arsenal mjifanye kama mnajikuna matokeo yenu tunayo arsenal 1-2 spurs
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanzania imeanza vizuri katika mashindano ya wabunge yanayoendelea Bujumbura nchini Burundi baada ya kung`ara katika mchezo wa Volleyball. Kwenye mchezo wa Volleyball, wabunge wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Nionavyo binafsi, Mpenda soka yoyote yule ni lazima awe mwanachama au mpenzi wa timu fulani huku pakiwepo na upande pinzani. ikumbukwe hakuna fomula moja katika kuchagua au kupenda timu...
0 Reactions
4 Replies
997 Views
Tumecheza mechi 3 kwa siku nane tena tunasafiri mkoa kwa mkoa wachezaji wanachoka ila kwa perfomance ya leo nimefurahi sana. Jambo lingine lililonifurahisha wachezaji wangu wanacheza mechi bila...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom