Klabu za As Vita ya DRC Congo na zamalek ya misri zipo tayari kumnunua kwa Dola 200,000 ( ambazo ni sawa na Sh460 milioni),.
Meneja wake alisema fedha hizo zitakagawanywa mara tatu, Simba...
efmtanzaniaRegrann from @tvetanzania - Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF imetupilia mbali rufaa ya Ndg Michael Wambura aliyefungiwa maisha kujihusisha na soka baada ya kupitia hoja zake za kukata...
Timu ya mpira wa miguu Yanga Afrika imbeibuka na ushindi wa magoli matatu huku vyavu zao zikiwa hazijaguswa. Magoli ya Yanga yamefungwa na Heritier Makambo(dk 20), Mrisho Ngassa(dk 53) na Ajibu...
Mahakama kuu yamlejesha Michael Richard wambula kwenye nafasi zake, yaani umakamu wa Rais pamoja na uenyekiti wa MKOA wa Mara, maana yake ni kuwa Nyamalani anapoteza sifa za kaimu makamu wa Rais...
I came across this website talking about the 1xbet bookmaker platform in Nigeria. I was shocked to even know that the bookmaker is in Africa. Please, since when has it been around?
VIFUATAVYO NI VIWANGO VYA FIFA KWA NCHI YA TANZANIA KWA WANAUME NA WANAWAKE
KWA TAKWIMU HIZI INAONYESHA DHAHIRI KAMA WANAWAKE WA TANZANIA WANASAKATA SANA KABUMBU TOFAUTI NA WATANZANIA AU KUNA...
Leo nilibahatika kuangalia mechi ya mtibwa sugar ya confederation cup(caf)kupitia azam TV..kiukweli nimeshangaa sana,yani imekuaje hawa mtibwa wacheze mexhi kubwa kiasi hiki!?kwani yanga hawapo...
Kuna baadhi ya nchi zimeanza kuruhusu matumizi ya bangi. Je ni sawa kwa mchezaji kucheza mpira wa miguu ikiwa ni mvuta bangi?
Kwasababu wachezaji walevi wa pombe wapo na wanajulikana ( akina...
Kwa wenzangu wa camp nou, jamani tupo sawa kweli? Tukumbuke tuko No 2 msimamo la liga
Psv ni timu yakuishinda 2-1 kweli? Tena wametukosa nyingi za wazi!
Vipi tukikumbana na psg Kwa hali hii...
Nadhani hapa kila mtu anayo kumbukumbu ya timu zilizokuwako mtaani kwake enzi hizo akiwa bado kinda,wengine kwa kuzisikia
wengine kwa kuziona live.Mimi kwetu kijiji zilikuwako za vijiji tu...
Mtibwa sukari wana wa madizini kutoka pale turiani morogoro leo watakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Northern dynamo kutoka pale Ushelisheli, ikumbukwe kuwa Mtibwa wana zaidi ya miaka 14...
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Afrika(CAF), Issa Hayatou na aliyekuwa Katibu Mkuu, Hicham El Amrani wapigwa faini ya USD Milioni 27.9(Zaidi ya Tsh. Bilioni 64) kila mmoja
Mahakama ya...
Kwa heshima kubwa kabisa Leo simba inaanza safari ya kimataifa na inaanza na timu kutoka uswetu
Nipo Taifa tayari kwa kuwaletea mpambano huu live
Tayari watu wameshajaa nje ya uwanja hamasa Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.