Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF) limeshatuma malalamiko yao kwa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) likidai kuwa timu ya wanawake ya Equatorial Guinea ilichezesha wanaume wawili kwenye...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi nina waswas sana pale kuna kitu kinafichwa, na nisifiche kuna ubadhirifu wa pesa za club. Haiwezekani mtu anaejiamini akaogopa uchaguzi tena anagawa kaki eti watu wamshindikize tff na...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Hakuna sababu yoyte ya maana kwa nini kikosi ni duni. Kocha anamchango mkubwa kea kufanya vibaya, kucheza chini ya kiwango. Nawaona wachezaji hawana presha. Sioni sababu kwa nn Pogba anacheza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Yani jamaa hafichi chuki zake kwa special one. Hata walivyomfunga juve jamaa bado anamponda tu utadhani alitamani mani wafungwe. Mimi si shabiki wa Mani ila nawaombea washinde. Tena wawafunge...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Huyu jamaa Ronald na Mesi hawaingii kabisa. Skills zake ni level ya zidane kipindi kile huyu ni lever ingine kabisa. Kuna siku atauzwa hata paund Milioni 200 .
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Baada ya MAN U kumfunga Juventus hapo jana ni rasmi sasa CHELSEA ndiyo timu pekee katika Ligi 5 bora Ulaya ambayo haijapoteza mchezo wowote tangu kuanza kwa msimu wa 2018/2019 katika mashindano yote
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nmesikitika sana na tabia za kipuuzi na kijinga walizoonesha wanayanga.huu ni ubwege. Manji hataki kuwa mwenyekiti.nyie wanaume mnawezaje lazimisha kuwa ninyi bado mnamtambua na mnalazimisha...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Mzuqa Baada ya ushindi wao dhidi ya Juve Turin wachezaji wa Mani walionekana wenye furaha sana walpotua jiji la manchester. Hii pia imewaongezea morali kuikung'uta sitee wikendi hii. Pogba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Aliyekuwa mkufunzi wa klabu ya Chelsea Antonio Conte amekataa kufanya kikao na timu hiyo na anatishia kuwapeleka mahakamani kwa mshahara wake uliosalia, baada ya kufutwa kazi mwezi Julai huku...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Wanaweza wakashinda mechi bila ya kuwa na Vicent Company, wameshafanya hivyo mara kibao. wanaweza pia shinda bila Sergio Aguero, na hili linaonekana mara nyingi tu. swali ni je ni wapi Man city...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jose Mourinho jana alipoteza mechi ya pili mfululizo katika mechi 3 …Ni mara ya kwanza kwa Jose kufungwa 3-0 nyumbani katika Maisha yake….Hii inaongeza hali ya sintofahamu ndani ya kikosi cha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Kamati ya Maadili limemfungia maisha kutojihusisha na soka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati yake ya Uchaguzi, Wakili Revocatus Kuuli baada ya kukutwa na...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Check out this 11 odd game 3614 UEFA Champions League CSKA Moscow - Roma X2 1.24 3615 UEFA Champions League Valencia - BSC Young Boys GG 1.78 3617 UEFA Champions League Bayern Munich - AEK Athens...
0 Reactions
1 Replies
516 Views
Ni leo jioni kijana huyu ataibeba Tanzania kimataifa huko New York Marekani atakapo shiriki na wanariadha wengine 50,000 kutoka duniani kote watanzania tumpe sapoti kwa kumtia moyo. Rekodi za...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Timu yetu ya taifa imeelekea South Africa kwa ajili ya maandalizi ya mechi dhidi ya Lesotho ajabu ni hili wametaja wachezaji tu Lakini viongozi hawajatajwa au ndo Yale mheshimiwa alisema wachezaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wachezaji wa Leicester City wamewasili nchini Thailand kwa mazishi ya mmiliki wa klabu ambaye alifariki kwenye ajali ya helikopta. Jamie Vardy na nahodha wa klabu Wes Morgan ni baadhi ya wachezaji...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
today's tips
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Wakuu, Kwa kipindi kirefu najitahidi angalau niwe na mapenzi na hizi timu zetu, soka La ndani, nashindwa kabisa. Mimi ni mpenzi Wa soka, na ni mzalendo haswa, ila mambo ya VPL, habari za soka LA...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukibet kwa Akili pesa ipo tatizo woga mbaya sana sasa hapa ningeweka 50,000 ningekamua 900,000 ila ukiliwa sasa unaweza kuonekana chizi ukatembea unaongea peke yako njia mzima....Kubeti ni zaidi...
1 Reactions
19 Replies
39K Views
Back
Top Bottom