Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa elimu yangu ndogo katika maswala ya masoko ya mitaji na hisa najuwa kwamba uwekezaji kwa njia ya hisa ufata taratibu kazaa Kwanza nilazima watafutwe wataalamu wakuthamanisha thamani ya timu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni baada ya wapiga kura tuliotangaziwa awali kuongezeka kutoka 1400 hadi 1728 , wamezaana lini haifahamiki ! ikumbukwe kwamba Mwina Kaduguda anagombea ujumbe. Hii si mara ya kwanza kwa Mwina...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Dakika 90 zimekwisha uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kati ya Ndanda FC na Dar Yanga Afrika, Yanga wamelazimisha sare ya Gori Moja kwa Moja bila kufungana, Na wafungaji wa magoli ni Jafary...
2 Reactions
55 Replies
9K Views
MSHINDI NAFASI YA MWENYEKITI -Swedi Mkwabi WASHINDI NAFASI YA WAJUMBE BODI YA WAKURUGENZI. -Asha Baraka -Hussein Kitts -Dkt Zawadi Ally -Selemani Said -Mwina Kaduguda. MAONI YANGU: Uchaguzi...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
Patashika ya ligi kuu Tanzania (TPL), kuendelea tena leo Jumamosi, Novemba 3, 2018 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti nchini ambapo mechi kali na ya kusisimua itakayovuta hisia za...
9 Reactions
132 Replies
15K Views
BENNO DAVID KAKOLANYA MICHEZO 7 CLEAN SHEETS 6 GOLI 1 *KAMA KUNA KIPA MWENYE RECORD KAMA HII MPAKA SASA NDANI YA LIGI KUU ILETE HAPA, NAACHANA NA SOKA KABISAAAA*
16 Reactions
63 Replies
12K Views
Siku hiyo haitakuwa uwanja wa Taifa , lakini hatimaye soka la Tanzania litafanya muunganiko mmoja matata sana utakaokumbukwa milele . Mungu zibariki Simba na Yanga .
1 Reactions
11 Replies
2K Views
"Kila mechi tunatengeneza nafasi za kufunga lakini kama washambuliaji hawafungi tutafanyaje? Mfano nafasi aliyopoteza Makambo kwa kichwa pale hata mama yangu angeweza kufunga,” Mwinyi Zahera...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Matokeo Mkti-Sued Mkwabi kura 1579 kayi ya 1628 Wajumb: Asha Baraka. -1180 Hussein Kitta. - 958 Dr Zawadi. - 830 Seleman Harub. -740 Mwina Kaduguda -577 Elia Alfred...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Uchaguzi SimbaSC, Crecentius Magori ametangazwa na Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simba SC Holding Limited. Magori ni mwenyekiti wa kamati ya...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Nadhani TCRA wawe pia wanatathmini ubora wa kile wateja wanachopewa.Hiki kipindi kina Quality ndogo sana.Nusu nzima wanaweza wahoji masao bwire na Tobias kifaru.Hakuna maandalizi kabisa.Kipindi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chama cha Soka Mkoa wa Mara kimeilalamikia CCM kwa kuruhusu tamasha la muziki (Fiesta) kufanyika katika Uwanja wa Karume na hivyo kuharibu eneo la kuchezea mpira. Chama hicho kimesema kilitumia...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwanasoka Vincenzo Iaquinta aliyekuwa akiichezea Klabu ya Juventus na Timu ya Taifa ya Italia amehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa makosa ya kujihusisha na Kikundi cha Kihalifu cha Ndrangheta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kocha wa Timu ya taifa ya Libya ambaye amewahi kuzifundisha kwa nyakati tofauti timu ya taifa ya Kenya na vilabu vya Usm Alger na Es Setif bwana Adel Amrouchi amekunwa na kiwango cha kiungo Fei...
3 Reactions
41 Replies
9K Views
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania amepewa heshima ya kuvaa jezi maalum kwenye mchezo wa leo wa ligi kuu ya Ubelgiji kati ya timu yake ya KRC Genk dhidi ya Club Brugge kutokana na kuwa kinawa wa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nipo hapa kwenye kibanda umiza na jamaa wawili watatu tunatazama mpira wa Yanga na Lipuli. Kwa kweli Yanga ni tia maji tia maji. Mpaka sasa dakika ya 65 wana goli 1 tu. Mpira umepoa...
9 Reactions
140 Replies
15K Views
Waungwana Kristu/Asalyaleykum.... Waungwana mi ni mgeni kiasi katika biashara hii ya kubeti. Naombeni mnijuze kampuni gani zuri kwa ajili ya kubet ni lini? Kati ya MBET, SPORTPESA, MERIDIAN na...
0 Reactions
14 Replies
13K Views
Kwa mujibu TFF inayoongozwa na ma-nazi wa simba, kupitia afisa habari wake Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Mohamed Isa Banka ni mchezaji halali kabisa wa Mtibwa Sugar, kwani Yanga walishindwa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Fainali ya kwanza ya michuano ya Caf kati ya Al Ahly na Esperance.Saizi ni Half time Al ahly wanaongoza bao 1-0 Dakika ya 58 Al Ahly wanapata bao la pili Mechi inaonyeshwa live zbc 2
1 Reactions
0 Replies
802 Views
Watanzania akili zetu zimelala sana wanao taka Manji aendelee kuwa mwenyekiti sio kama ni Kiongozi mzuri ila eti ni kwa sababu ana pesa Hayo mambo yamepitwa na wakati kilabu kubwa kama Yanga kuka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom