Tham khảo luận văn các đề tài luận văn luật hành chính, luận văn thạc sĩ các chuyên ngành như luật kinh tế, luận hình sự, luận dân sự, luật hành chính,… Tham khảo thêm những đề tài, tài liệu để hỗ...
Mshambuliaji tegemezi wa club ya Everton Sigurdsson G raia wa Iceland ukimlinganisha na mshambuliaji wa club ya KRC Genk Samata M raia wa Tanzania utaona sababu kubwa ya Everton kumtaka samata...
Usiku wa kuamkia Leo Bondia Hassan Mwakinyo alimgaragaza bondia Joseph Sinkala kutoka Dar kwenye round ya 2 kwa TKO na hivyo Mwakinyo kupata mikanda 2.
Jionee jinsi Bondia Sinkala alivyopigwa TKO
Kivumbi cha ligi kuu Tanzania (TPL) kuendelea tena leo Oktoba 28, 2018 kwa mechi nne kupigwa katika viwanja tofauti huku gumzo likiwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam saa 1:00 usiku...
Hii imetokea kwenye game kati ya Wenyeji Leicester dhidi ya wageni Westham United ambayo imemalizika kwa sare ya goli 1- 1
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba Mh Mwenyekiti hakuwemo ndani ya...
Huyu jamaa huwa sielewi kabisa.ikitokea akaenda kuchezea team yake ya Taifa huwa kama anaenda kunoa makali.akirudi anarudi na makali mapya.
Nadhan TFF waangalie suala hili kwa umakini isije ikawa...
Salamu,
Jana mida ya Saa 1 hivi nikiwa live TBC Radio,nikisikiliza matangazo ya mpira wa Simba na RUVU, MATANGAZO YALIKATIZWA GHAFLA NA KUJIUNGA NA IKULU ! Kwa kuwa mimi TBC huwa nasikiliza mpira...
Habari wana JF,
Nimefuatilia baadhi ya Michezo kwa baadhi ya timu na kugundua kuwa kuna uonevu wa makusudi au kutokujua. Michezo inayozihusisha Simba na Yanga zinachezwa jioni saa 10 kama timu...
Mchezaji wa timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB), Murshid Ally (mwenye jezi ya rangi nyekundu) akiwania mpira na mchezaji wa Benki ya Afrika Tanzania (BOA) Hussein Rajab katika mchezo wa ligi...
'Tawi la Yanga lazidi kupukutika'.. ndivyo waweza kusema juu ya Singida United ambao ni 'tawi' la Yanga. Hii inakuja baada ya beki wao kisiki, Mganda Shafiq Batambuze kusaini rasmi mkataba wa...
kama kawaida mwana mbagala katupia dakika ya 84 ila kama kawaida ya ujinga wa defence ya genk goal likasawazishwa dakika ya 90 lakini bado wanaongoza ligi
Samatta kafikisha goals 8 yupo kwenye...
Timu hii ilidharaulika sana hasa msimu huu.Ajabu,pamoja na ubovu wao na kudharauliwa kote huko,KILA MECHI WANASHINDA!
Ni nini SIRI ya MAFANIKIO YA TIMU HIYO ILIYOCHUKULIWA POA HAPO KABLA?!
Nashangaa Mourinho anavyohangaika kumsajili Nemanja Matic au Eric Dier kama viungo wa ulinzi yaani namba 6.
Kwanini asimsajili Sergio Busqet, kiungo matata katika nafasi ya Defensive Midfielder...
Wakazi wa Dar kupitia vhama cha mashabiki wa soka wamemuomba Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Paul Makonda pamoja na mfanyabiashara maarufu mzee Mengi wawskodie basi litakalowasafirisha hadi Lesotho...
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepanda katika list ya viwango vya soka vya dunia FIFA iliyotolewa hii leo Alhamisi Oktoba 25, 2018
Katika viwango hivyo vilivyotolewa na FIFA, Taifa Stars...
Ni Europa league, Genk vs Bestikas ambapo Samatta atacheza dhidi ya mlinda mlango mbovu Karius aliyekuwa Liverpool.
Lne up ishatoka Samatta kaanza kama kawa
An elderly Brighton fan has died after being taken ill before their Premier League game against Wolves.
The club said the fan attended the home game at the Amex Stadium with his son and was...
Mo Salah wa msimu uliopita sio huyu wa msimu huu. Kasi ya kufunga imepungua sana,umakini ndani ya box la adui umepungua pia, amekuwa ni mchezaji mwenye papara na kupoteza mipira kirahisi sana.
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.