Ndugu zangu!Natumai mpo wazima wa afya.. Ni striker/namba 9 yupi kwako alikuwa bora?
DIEGO MILLITO/INTERNAZIONAL
IBRAHIMOVIC/BARCELONA
HERNAN CRESPO/CHELSEA
DE LIMA/REAL MADRID
Kwangu...
Mzuqa
Nililetaga uzi wa huyu jamaa miaka miwili iliyopita kwenye ID yangu pendwa ya Copenhagen mods wakaipotezea faster.
Ngoja niirudie.
Ni hivi summer 2016 jumamos flani nakumbuka ilikuwa...
Kikosi cha Timu ya Wananchi na Mabingwa wa Kihistoria kitakachoanza leo dhidi ya Watoto wa Shule Alliance FC a.k.a Alliance Schools.
FULL TIME| Yanga 3 - 0 Alliance FC
17’ Mins Makambo (...
AMMY NINJE ATHIBITISHWA KUWA MKURUGENZI WA UFUNDI TFF. KAMATI NDOGO ZAFANYIWA MABADILIKO
Kamati ya Utendaji iliyokutana Jumamosi Oktoba 20, 2018 Makao Makuu ya TFF, Ilala jijini Dar ilipitia...
Kwa aliyebahatika kutazama game ya barca na Spurs atakuwa shahidi,
Sijui ni vipi fifa wanapanga vigezo kumpata mchezaji bora
Nimemuangalia Luka Modric Ktk game mbili ambazo zote Real Madrid...
Kama DStv vile, napenda kuupa hongera uongozi wa CMG kwa uamuzi wao wa kumshirikisha mchezaji mstaafu Amri Kiemba katika kipindi cha michezo cha siku ya Jumapili mchana kuanzia saa saba mchana...
**Mwanzilishi wa mpira wa miguu (Modern Football) unaochezwa leo duniani ni nani?
Ebenezer Cobb Morley alizaliwa tarehe 16 Agosti 1831 na alifariki dunia tarehe 20 Novemba 1924.
Anajulikana kama...
Tanzania Premier League (TPL) inaendelea tena leo ambapo kutakua na mtanange wa kukata na shoka katika dimba la Taifa. Katika mechi hii Bingwa Mtetezi Simba SC anawakaribisha Stand United.
Simba...
Timu ya Simba sc imepania kuiadabisha Stand United kwa kinachoelezwa ni FURAHA iliyotokana kupatikana kwa boss wa timu hiyo Mo hivyo watalazimika kumpoza na kumfariji kwa ushindi mnonoooo. Wakati...
Mshambuliaji wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi apata majeruhi ya mkono katika mchezo wa jana wa Barcelona dhidi ya Sevilla
Katika mchezo huo Messi alisaidia upatikanaji wa...
Habari wana soka kindaki ndaki wa jf
Niende kwenye maada maoja kwa moja.Tangu nianze kuona ligi kuu Tanzania bara na kuhudhuria mechi nyingi za ligi hii ghafla nilijikuta najiuliza maswali mengi...
Basketball is relevant again. The NBA Board of Governors have bestowed upon us some new rules that should make the 2017-2018 season's product even more competitive. The 2017–18 NBA season will be...
Yale matatizo sugu ya Man Utd kesho jumamosi yatarudi upya wakati Chelsea itakapoialika Man Utd katika uwanja wake wa Stamford Bridge.
Ikumbukwe kocha Jose Mourinho wa Man Utd amekalia kuti kavu...
Habari wanaJF.
Kwa wale wa FIXED MATCHES nimewaletea njia tatu rahisi zinazoweza kutumiwa kwenye Android kugushi MESSAGE na MIKEKA.
1. FAKE TEXT MESSAGE
Hapa matapeli wengi hutumia hii app kutuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.