Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wanatafuta kocha wa makipa ..
0 Reactions
1 Replies
416 Views
-Bodi ha Ligi ya Tanzania Bara imeahirisha mechi tatu zinazohusu vilabu vya Simba, Yanga na Azam ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo inatarajia kuingia kambini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ligi Kuu Tanzania bara TPL, kuendelea kutimua vumbi kwa wakati huu wa saa 19.00 usiku, ambapo KMC kutoka wilaya ya Kinondoni, Dar kuwakaribisha Yanga SC katika uwanja wa Taifa jijini Dar es...
3 Reactions
206 Replies
19K Views
Ushindi wa jana wa simba wa magoli 5 dhidi ya Alliance umegubikwa na utata..Alliance waliingia uwanjani bila ya kocha wao mbwana makata ambaye alijiondoa kwenye benchi la ufundi mara baada ya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
MCHEZAJI ROBIN VAN PERSIE ATANGAZA KUSTAAFU KUCHEZA SOKA MWISHO WA MSIMU 2018/19 Mshambuliaji huyo wenye miaka 35 kwa sasa anaichezea klabu ya Feyenoord ya Uholanzi alipoanzia kucheza soka la...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Bondia Hassan Mwakinyo amesaini mkataba wa miaka mitatu na kampuni kubwa zaidi ya kubashiri nchini ya SportPesa.SportPesa imesaini mkataba huo na kuutangaza leo ingawa ni kiasi gani imefanywa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara ya mwisho simba kuchukua ubingwa ilikuwa mwaka 2012,baada ya miaka minne kupita simba imefanikiwa kutwaa tena ubingwa au kombe ambalo dar-es-salaam young afrika walilichukua mpaka Tff...
8 Reactions
24 Replies
7K Views
Kama wewe n mfatiliaji mzuri wa mpira wa miguu utakubaliana na mimi kwamba timu tajwa hapo juu ndio znaongoza kwa mashabik hapa tanzania....tupeane mawazo ilikuaje wao tu na hakuna upinzan...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Petr Kellner Taarifa mbalimbali kwenye duru za michezo zinaeleza kwamba mabilionea wawil Roman Abramovich na blionea wa kutoka jamhuri ya Czech aitwae Petr Kellner wanataka uuziana timu ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa vile hakuna sababu yoyote ya kitaalam wala ya kisoka itayomridhisha Mtanzania yeyote mpenda soka hata kama ni kipofu au kiziwi , basi bila shaka zipo sababu zingine zilizosababisha Kamati ya...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Baada ya mapumziko ya siku 2, hatimae TPL inaendelea leo (24/10/2018) tena. Bingwa Mtetezi, Simba SC anawakaribisha 'Watoto wa Sekondari' Alliance FC katika dimba la Taifa Stadium. Mechi hii...
13 Reactions
162 Replies
18K Views
Orodha ya timu bora za soka kwa wanaume iliyotolewa na FIFA leo oktoba 25, Taifa Stars imeshika nafasi ya 136 ikiwa imepanda kutoka nafasi ya 140 kwa mwezi uliopita Uganda iliyo nafasi ya 79...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana au ilikuwa hamna kabisa mchezaji ligi kuu Uingereza aliokuwa na uwezo wa kuwasiliana kwa lugha adhimu ya kiswahili, miaka imeenda na mambo yamebadilika...
6 Reactions
31 Replies
7K Views
Toka Ligi Kuu ya Tanzania Bara imeanza msimu wa 2018/2019 kwa kujumuisha timu 20 kwa lengo la kuboresha Ligi lakini na kuongeza wigo wa timu nyingi kushiriki kumekuwa na tatizo kwenye kamati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naipenda sana Arsenal toka kipindi kile cha akina Tom Adam na David Seaman........lakini huo ujumbe begani mwa Ozil mmmh ndo naona Wizara yetu ya Mali ya Asili na Utalii wanatakiwa kuufanyia kazi.
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira. Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake...
9 Reactions
287 Replies
51K Views
Kati ya Jonas Gerrad Mkude na Athumani chuji wa kwenye ubora wake nani fundi sana ukizingatia wote wanacheza nafasi moja. Manara anasema Mkude habari nyingine je wewe una maoni gani
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Baada ya kilimanjaro stars kuvurunda sana Michuano ya Cecafa wakubwa kocha wa timu Hiyo Ninje akipenda kutumia neno Untill next time ameibuka na kusema watanzania wampe nafasi kwani amekuja na...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Usiku wa kuamkia leo klabu ya Esperance de Tunis ya nchini Tunisia iliishindilia mabao 4-2 klabu ya De Agosto ya nchini Angola katika nusu fainali ya pili ya michuano ya CAF na hivyo klabu ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wewe ndio kocha, na timu yako ina magolikipa hawa wafuatao, ungemachagua nani kuanza golini kwako kutokana na fomu yake ya sasa? 1.Ter Stegen 2.Cortous 3.De Gea 4.Alisson 5.Oblak
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom