Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezaji John R. Bocco wa timu ya Simba katika mechi na Mwadui iliyochezwa hivi majuzi huko Shinyanga alipata kadi nyekundu hivo kwa taratibu za kimataifa inapaswa akae benchi mechi inayofuatia...
3 Reactions
61 Replies
11K Views
Kuna mtu anaeweza kutoa historia kamili ya huyu mtu? Katokea wapi? Kasomea nini?kafikaje hapo?
0 Reactions
39 Replies
20K Views
Natangaza kubet nyumba ya urithi.. iwapo hapo jpili tutafungwa na hao kina bocco ..na kwanza naskia bocco hachezi hiyo jpili... ni aibu kubwa sisi wa kimataifa kufungwa na simba au mbumbumbu...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
kwanza nitoa pongezi kwa Luca Modric kwa kuwatoa hawa jamaa wawili waliotawala hizi tuzo miaka kumi sasa! Mwaka huu hakuna cha Ronldo wama Mesi! mtu mzima kwachukua! Mesi alienguliwa kabla ya...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuelekea mechi ya Kariakoo Derby au Ilala Derby baina ya Simba na Yanga Jumamosi mengi huwa yanazungumzwa. Kuna wachezaji mastaa huwa wanang'aa na kujikuta wanatukuzwa na mashabiki wao. Pia kuna...
3 Reactions
44 Replies
8K Views
Bila kumung'unya maneno wanazi na wazandiki wa soka duniani hawamtendei haki Luka Modric. Wamekuwa wakimu-underrate na kumuona mchezaji wa kawaida. Lakini kwa misimu kama mitatu Luka yupo katika...
25 Reactions
111 Replies
13K Views
Ni uwezo mdogo wa kukata vipande stahiki vya kuonesha, ni ushamba au ni nini? Highlight ya mpira wa miguu u-tube haiwezi kuwa dk 30, 20 au hata 15, labda ka ni ya mieleka Hivi unakaa nusu saa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Goli bora "Puskas Award" -Mohammed Salaa (Liverpool vs Everton) Kocha Bora -Didier Deschamps ( France ) Kipa Bora - Thibaut Courtois ( Real Madrid & Belgium) Kocha Bora Wa Wanawake- Reynald...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Tofauti na zamani mabeki walikuwa wanakaba tuu ila sasa mambo yamebadilika sasa hivi mabeki wa pembeni ni kama mawinga.. tucheki hapa top ten ya mabeki wa pembeni hatari... 1:marcelo_ huyu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Tarehe 30/09/2018 itakua ni mwendo wa .... Intro: Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa../ (Meeesen Selektaaa) Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa.. Simbaa../ Verse 1: Simba chama la wana we...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu ni mfanyakazi uwanja wa Taifa akiwa katika maandalizi ya kuutayarisha uwanja kuelekea mchezo wa leo TPL. Inawezekana vipi huyu mfanyakazi wa uwanja huu kuu wa Taifa, asiwe na vifaa vya...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo (23/09/2018) wachimba dhahabu toka Mwadui wanamkalibisha Bingwa Mtetezi wa TPL, Simba SC katika muendelezo wa ligi kuu.. Mechi hii inapigwa katika dimba la CCM Kambarage lililopo hapa mkoani...
1 Reactions
186 Replies
16K Views
Yanga SC na Singida United ni ngumu kuwatenganisha ... Kwanini? Shabiki lia lia wa Yanga SC, Mwigulu Nchemba.. Ndiyo mlezi wa Singida United ... Leo timu yake inafungwa, eti anashanglia ...
3 Reactions
95 Replies
10K Views
Baada ya sie wakimataifa kumpapasa mwigulu na team yake.. sasa anaefuatia ni huyo mbumbumbu na yule kocha wao mwanamieleka hatari hulk Hogan!! Tarehe 30 sio mbali sanaaa.. halafu ole wenu mng'oe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yanga kwa sasa ipo hoi kiuchumi hadi kufikia kutembeza bakuli lakini itafanya vizuri sana uwanjani kwa kuwa haina cha kupoteza kwakuwa hata usajili wao sio wa kutisha kama wa wapinzani wao wa jadi...
14 Reactions
40 Replies
5K Views
ivi kwanini baada ya mapumziko team zinabadilishana magoli?
0 Reactions
2 Replies
625 Views
Naye si mwingine bali ni Meddie Kagere a.k.a MK14. Mpaka sasa katika ligi zote dunia hii hakuna kama yeye. Kwanini? Ungana nami. Huyu mnyama mpaka sasa kafunga goli 10 peke yake. Mchanganuo wa...
18 Reactions
115 Replies
11K Views
Mtani wangu.. Nipe 5?! Huyu askari magereza anazingua.. Niachieni nimpeleke sero. Fuso likijaribu kumzibia njia Cristiano Ronaldo wa Uganda. Oyaa wana.. Huyu jamaa tuanaenda kumpunzisha...
5 Reactions
6 Replies
7K Views
Mnyama huyooooo
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom